Ukweli mchungu kuhusu CHADEMA

Ukweli mchungu kuhusu CHADEMA

Tatizo ni Zitto,
Jamaa hawataki kusikia jina Zitto
Nakumbuka yale maneno Lema aliyoniambia kuhusu Zitto.
Huyu jamaa anawaumiza vichwa sana makamanda,
Kumfukuza mnaogopa,
Kumbakisha mnaogopa,
Yaani Zitto ni sawa na mmakonde mwenye nchle.
ukichimama nchale, ukitikichika nchale, ukitembea nchale, sasa sijui chadema wafanyaje kuhusu Zitto
Kweli huyu jamaa ni Zitto kama jina lake
MODS huyu mgonjwa ana ID ZAIDI YA 4 humu bdo mnamuacha 2
 
Ni vizuri kupokea ushauri kama yanayosemwa ni kweli!
 
Back
Top Bottom