Ukweli mchungu huu ila ndo ivo

Thamani ya msichana ni uwezo wa kutatua matatizo yanayomkabili. Kubana mapaja sio thamani ya msichana.
Sawa mkuu, ila huyo mama alisema hivo kwasababu alijua hiyo thamani unayo izungumzia wewe kwa waschana wa sasa ni wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…