Ukweli mchungu CCM itashinda kata zote

Kwahiyo CDM ikishindwa ndiyo itakuwa furaha yako na kukua kwa demokrasia nchini?

Mitazamo mingine mibovu kwelikweli!! Sasa kama inajulikana CCM huwa inashindishwa hata pale wanaposhindwa si bora vyama vya upinzani vifutwe tuwe tunaokoa pesa na kodi za wanachi katika mchezo ambao mshindi anajulikana iwe his ama mvua .

Pathetic!!!
Usikurupuke kucoment kabla ya kusoma na kuelewa.
 
Nimeona watu wakifurahia mafuriko na mapokezi wanayoyapata viongozi wa chadema maeneo mbalimbali unnakofanyika uchaguzi mdogo wa madiwani.
Lakini ukweli ni kwamba ccm itashinda kata karibia zote na ndio maana wao hawana mbwembwe maana wanajua wanachokifanya, Ccm isiposhinda itashindishwa ili kuonesha kuwa rais anakubalika miongoni mwa wananchi hivyo basi chadema isijipe matumaini ya kushinda.
Ukweli mchungu ni kwamba chadema inashiriki ila mshindi anajulikana, hakuna mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi na katibu tawala atayekubali chadema ishinde kwenye eneo lake.
Chadema elekezeni nguvu zenu kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, uchaguzi huu hamna chenu.
Ukweli mchungu, nilishalisema hili tokea mwanzo na kuna uzi jamaa huuu humu.
 
Wakiweka mawakala waaminifu ushindi uko pale pale.
Huku kwetu uchaguzi uliopita mawakala wa CHADEMA na mawakala wengine wakuisadia cdm wakitumia mwavuli wa UPDP walikuwa walimu, kada ya afya na graduates waliokuwa mtaani. Huku ccm ikitumia wazee wasio jua kusoma na kuandika. CCM walipigwa na kuragazwa mapema sana cdm ikachukua halmashauri kwa mara ya kwanza na pia mp akawa CDM.
 
Ccm Sasa wamekwisha. Hakijawali kuwa kipindi kigumu kwao kama Sasa. Viongozi WA serikali hawawezi kulazimisha ushindi labda kama wamejiandaa kuleta fujo ambazo zitawashinda
 
Huku kwetu uchaguzi uliopita mawakala wa CHADEMA na mawakala wengine wakuisadia cdm wakitumia mwavuli wa UPDP walikuwa walimu, kada ya afya na graduates waliokuwa mtaani. Huku ccm ikitumia wazee wasio jua kusoma na kuandika. CCM walipigwa na kuragazwa mapema sana cdm ikachukua halmashauri kwa mara ya kwanza na pia mp akawa CDM.
Sasa hivi huo wizi hautakuwepo
 
Kwahiyo CDM ikishindwa ndiyo itakuwa furaha yako na kukua kwa demokrasia nchini?

Mitazamo mingine mibovu kwelikweli!! Sasa kama inajulikana CCM huwa inashindishwa hata pale wanaposhindwa si bora vyama vya upinzani vifutwe tuwe tunaokoa pesa na kodi za wanachi katika mchezo ambao mshindi anajulikana iwe jua ama mvua .

Pathetic!!!
Pia nashangaa..kama kweli tunabana matumizi,kwanini tunafanya chaguz ilhali ccm wanajua matokeo...unafk wa kiwango hiki ni hatari sana.
 
Huku kwetu uchaguzi uliopita mawakala wa CHADEMA na mawakala wengine wakuisadia cdm wakitumia mwavuli wa UPDP walikuwa walimu, kada ya afya na graduates waliokuwa mtaani. Huku ccm ikitumia wazee wasio jua kusoma na kuandika. CCM walipigwa na kuragazwa mapema sana cdm ikachukua halmashauri kwa mara ya kwanza na pia mp akawa CDM.

Yah yawezekana kabisaa matokeo ya udiwani sio Changamoto kama ubunge na urais.
 
Yah yawezekana kabisaa matokeo ya udiwani sio Changamoto kama ubunge na urais.
Ubunge siyo tatizo sana labda DED/Kiongozi wa tume ngazi ya jimbo apindue matokeo kwa utashi wake au waliomteua lakin matokeo halisi mnaweza kuwa nayo kwa kukusanya kutoka kila kitu cha uchaguzi.
 
Back
Top Bottom