Habari,
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu hawa viumbe kuwa je ni
kweli wana exists au ni just myth?
Mimi ni miongoni mwa watu ambao nimekuwa nikiziuliza kuhusu huwepo wa hawa viumbe, kabla sijaendelea mbele tujue kidgo kuwa hawa ni wakina nani.
ZOMBIE, kwa kifupi niseme kuwa huyu ni living dead, ambaye hana hisia kama za binadamu wa kawaida, mfano maumivu, kuchoka n.k
ni mzoga unaoishi lakini unahitaji la kufeed on flesh mara nying ni human kulingana na movie zao(hapa sijaonglea bado kuhusu utafit niliofanya)
VAMPIRE, huyu ni kama binadamu but ana vitu extra kama ability ya ku move wapo faster stronger na wanauwezo kuishi mda mrefu bila kuzeeka, time yao ipo tofauti kidgo na binadamu. Hawa wana feed on blood n mara nying hupenda human blood
WOLVES, hii ni jamii ingine pia ambayo ni binadamu huwa na.tabia za wolves wale porin , wakat wana transform hutoa kucha, huwa na hasira, fasta na strong. Wanatabia kama mbwa
Sasa turudi kwenye mada ukweli kuwahusu. Ukiangalia movie zote utakuta wote huonyesha tabia zinazofanan kuwahusu, swali je hizi tabia wamezicreat hao movie maker au wamezitoa sehemu after kuwa study. Kuna ushirikiano ambao hufanyika kati ya wasanii wa industry zote pamoja na super existance power, hupewa maagizo yaki mision ya kureveal taratibu huwepo wao na hao viumbe
Mfano Miungu kama Zeus etc
Kuna documentary moja nilitazam kuwa kuna watu walion wolf coven, walion wolves na kwenda kulipot bt serikali ikawa inataka kufunika hichi kitu, walipimwa akili wakaonenkan wapo sawa, wakaja Fbi na lie detectors wanawafunga na kuanza kuwahoji bt walionekana wakisema kweli. But ishu haikwenda public
Kuna kipind UFOS wameonekan mara kadhaa marekani bt ishu ikawa ni confidential. Adolf hilter ndo alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kushirikiana na hao aliens na hii ipo waz ukifatilia, hata baada ya kushndwa vita wale mataalamu wake walienda USA na wakawekwa wakuu wa vitengo flan flan after miaka mingi ikiwemo yule mkuu wa NSA aliwahi kukili kuwa wanachukua idea na.ujuiz kutoka katika aliens na viumbe wengine.
Juzi kati Pop mwenyew alikuw akisema kuwa Jesus huweza kama mwizi au hata kama Alien google hicho utaona(sipo kidini hapa)
Hii yote inaonyesha kuwa tunaandaliwa kupokea viumbe vipya.
Sasa hapa juzi na hata leo Clouds wameonyesha jamaa mmoja ambaye amakuwa akiwatengeneza mazombi na amesem hutumia mifupa na minofu ya samaki na katengeneza wengi tu (Fatilia hii pia ujionee)
sasa kwa hayo yote na mengi mengine ina show kuwa hawa viumbe wapo wana exist bt ni ishu ya muda kuwa ruhusu wajizihirishe kwa human wa kawaida.
Nimeshindwa weka source kwa sasa but ukiweza google utaona mengi
MWENYE MORE INFO AU WAWEZA ULIZA AU CHANGIA KARIBUNI
No research no ryt to speek
No research no ryt to speek
mimi naojua wana exist ni cannibals kama wale wa wrong turn ila sio kwa maumbile kama yale
hizo zingine ni hadithi za kusadikika
pia source sio inshu kwa kuwa waliotunga ndio walioweka
cannibal mmoja wapo yule aliyekutwa akila nyama ya mtoto pale muhimbili kama sikosei
inabidi ufanye uchunguzi au ungelileta kama swali kuliko kuhitimisha kwamba hawa viumbe wapo
we have alota states with space cars arround the world,china,uk,russia,germany name them.but do you know it's only the americans(nassa)who report of the alliens,don't know ufos mention them.are they the only one observing such things?we are brainwashed.in whatever done in movies we think ts reallity.no.a big no.they got alota propagandas,they are good at that.
mimi naojua wana exist ni cannibals kama wale wa wrong turn ila sio kwa maumbile kama yale
hizo zingine ni hadithi za kusadikika
pia source sio inshu kwa kuwa waliotunga ndio walioweka
cannibal mmoja wapo yule aliyekutwa akila nyama ya mtoto pale muhimbili kama sikosei
inabidi ufanye uchunguzi au ungelileta kama swali kuliko kuhitimisha kwamba hawa viumbe wapo
Mkuu uchawi na mazingaombwe vipo!
Still mambo ya mazombie na mavampire ni ulimwengu wa kichawi.
Hawako kama tuonavyokwenye picha, hakuna historia ya dunia ya mahali popote inaoyonesha hao mazombie na mavampire wameangamiza.
Wachawi wakimtoa mtu mwenye mimba, hawamuui hadi ajifungue, mtoto atakaezaliwa hapo, hukuwa na kulelewa ktk ulimwengu wa kichawi.
Nadhani mnamkumbuka yule binti alieohojiwa na itv. Alisema anakunywa damu na kula nyama tu.
Kwa mtazamo wangu mazombie, wolf na mavampire ni tofauti kabisa na Ufo.
Mkuu ulishaiona ile sizan ya harry potter?
Hao cannibals wapo kabsa , ila hao wengine ni work ya superexistnc powers.....mkuu nimesom soma some books hata vya Alest crowl
Zina zungumz hivi vitu.
sometimez ni mtu kughafirika akili hadi kufikia hatua hiyo ya ucanibalism though sikatai kuna baadhi ya jamii zina historia hiyo tangu awali.americans are liars.
Yeah, nimeona. Mkuu sijasem UFOS na vampire n etc kuwa vinafanan
Bt lengo ni kushow kuwa hizi vitu vinaexist..katika ulimwengu flani, Unamin kuwa UFOS wapo???
hizo nyingine ni story kama story nyingine wolves zombies and vampires hawa exist waliotunga hayo majina na sura tabia na kazi zao wametunga wao ndio maana wakaandika hadi vitabu ila uchawi upo na cannibal wapo hadi hapa Tanzania

Mmh! Mkuu bora ungeniuliza hivi: 'Ulishawahi kuskia ufos wapo?'
in short SIAMINI still sipingi uwepo wao!
What do you think?