Sawa Mfuate mwenzio kwny NWO mkatoane sadakaWe usikimbilie kumtukana.mtu bila utafiti na uelewa. Haya nyie ambao sio makafir jana tu mmeua wanafunzi kibao Garisa bila hatia eti kwa jina la Allah! unadhani Mungu anafurahia unyama huo.
Acheni kuuana kwa sababu ya mavitabu ya riwaya yaliyoletwa kwenye majahazi.
MEYIIII maana yake nn?View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.
Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.
Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.
MEYIII hapo ninaniMEYIIII maana yake nn?
ukitaka kuamini huyu mtoa mada hamnazo.. atajibu maswali mengi ila likifika MEYIII anakula kona... sababu anajua MEYI ni shetani aliyemshawishi kumkataa mungu wake... tumpeni pole tu kashadumbukia pabaya!!!!
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.
Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti mbali mbali zilizo fanywa. Naomba unaposoma bandiko hili usiegemee kwenye Imani yoyote weka akilizako huru.
Kwanza kabisa ninaanza kwa kueleza kuwa Imani zote hapa duniani zimeanzishwa na wanadamu kwa malengo tofauti tofauti. Na kunaimani zingine zimewekwa kwa malengo ya watu fulani wanaojua siri fulani ili kuwapumbaza watu wasiweze kujua siri hiyo.
"Aaaa! ni kitu gani hapa Annael unataka kuongea?" Kuna watu wenyenguvu sana duniani waliweka OWO (Old World Order) Kwa ajili ya kuwanufaisha wao na familia zao na ukoo wao tu. Kwa hiyo hakuna hata mmoja anayeruhusiwa kujua siri yoyote kuhusu dunia na maisha ya wanadamu. Zikawekwa dini hususani dini za (Kikristo, Kiislam na Kiyahudi) Lengo lake ni kuwafanya watu wasihoji chochote. Na kuwa wanakubaliana na kila kitu kilicho andikwa kwenye vitabu ambavyo vinatumika kwenye imani zao. Ni siri kubwa imefumbwa na ni mtu tu mwenye kutafakari anaweza akajaribu kuhoji na kujihoji mwenyewe.
Hebu tujaribu kupiti a hapa kidogo Illumination: the Secret Religion - God
Kuna siri nzito sana ambayo siyo mda mrefu itakuwa wazi maana hakuna tena kuficha. Kila mtu anatakiwa kuwa huru na kufanya kilicho chema aonacho. Hizi vita, Njaa na ugomvi wa kila namna ni kutetea mslahi ya wao.
Hebu jaribu kufikilia kwa nini nchi ya Marekani watu wenye nguvu wametoka kwenye jamii moja? skull and bones
Hebu pitia hapa kidogo: List of Skull and Bones members - Wikipedia, the free encyclopedia
Wana falsafa, Sayansi na wanaHisabati ndio waliokuwa wanajua siri hii. Mtu akiwa anajua Falsafa, hisbati, Sayansi na Mystery huyo mtu atakuwa yuko juu sana na atajua mengi mmno kuhusu ulimwengu na watu.
"Annael mbona unanichanganya ni nini tena hapa?" Aaah hebu tulia kidogo unmfahamu jamaa mmoja anaitwa Pythagoras? hebu ngoja ni kukumbushe alifanya proof ya theory fulani ya kihesabu kuhusu triangle ambayo ni A² + B² = C²
Unakumbuka sasa? Huyu jamaa alitoa siri nyingi sana zaidi ya hiyo ni mtu wa kwanza kujiita kuwa yeye ni mwanafalsafa alikuwa anafanya mambo ya Mystery, Hisabati, Sayansi na Falsafa. Huyu jamaa alifanya vitu vingi sana ambayo jamii fulani fulani zinatumia na kuelimishana wao kwa wao katika level tofauti tofauti.
Pythagoras aligawa elimu hiyo katika degree 10 na kuweka ndani ya Pembe tatu
View attachment 240072
Formula hiyo jamii nyingi sana zinaitumia. Hebu ngoja kidogo. "Umecheki vizuri hilo umbo? Umeona nini hapo.
Aaah ni kama pilamidi hivi ambalo nyuma ya dolla ya malekani lipo!!! haa! sasa ni nini maana yake sasa?
Hebu check dolla ilivyo hapa:
View attachment 240078
Hebu tulia kidogo kwanini sasa hapo kenye pilamidi kuna kama kitu kina ng'aa? oooh jamani si ni mbwembwe tu za kupamba dolla?
Hapana siyo mbwembwe ni uhalisia wanamanisha wanachofanya hapo siyo kama pesa yetu tunaweka fisi mara tembo mara nini. Halafu kwenye dola kunamanaeno yanasema:novus ordo seclorum maana yake ni "New order of Ages"
Sasa ni wakati wa kuamka kutoka usingizini na kuachana na OWO kuabudu watu huku wamejificha kwenye dini na kutupumbaza sisi.
Nilazima tuwe na NWO ambayo ni mpya ya kutufanya sisi kuwa huru na siyo kutumikia watu wachache.
Maelezo mengine nitaendelea kutoa.
umetumwa ww kutufundisha habar za gza,ushindwe kwa jina la YESU KRISTOHebu naomba tupitie hapa kidogo:
Illumination: the Secret Religion - The New World Order
tena awambie tushazoea mateso. tunayapendaKawajibu tumesema hatutaki
Hawana jipya hizotena awambie tushazoea mateso. tunayapenda