Ukweli kuhusu wanawake wenye makalio makubwa

Mamamyangu wa kambo bana ana makalio nakubwa sana halafu, mrefu huyoooo wewe
 
MTAMBO WA KUZALISHA FUNGUS,

WE JIANDAE KUWEKA MKONO MMOJA MFUKONI KUZUGIA ETI UNA TAFUTA CHANGE ILIYOPOTELEA HUKO
 
Wengi hupenda kutumia jina la misambwanda kwa wanawake wenye makalio makubwa

Ni wanawake ambao wakipita sehemu hasa vijiweni lazima waache gumzo kuhusu ukubwa wa misambwanda yao

Ila utafiti nilio ufanya kuanzia mwaka 2011 mpaka mwaka huu 2019 nimegundua kua
Wanawake hawa wenye misambwanda mkubwa huolewa na wanaume maskini

80% wanaume maskini ndio wanao waoa wanawake wenye makalio makubwa
Huku 20% wanaume matajiri na wenye uwezo nao huwaoa hao wanawake wenye makalio makubwa

80% wanaume matajiri huwaoa wanawake simple wenye miili ya kawaida
Matajiri wengi huwa wanapotaka kuoa hawaangalii kigezo cha makalio makubwa, na huwa hawapendi Kabisa..

Matajiri wengi huwatumia wanawake wenye makalio makubwa kama sehemu ya kupita tuu na sio kuoa

Utafiti Wangu umeishia hapo
Kama unabisha njoo na hoja zilizo jitosheleza
hili lina ukweli ila sio katika mtazamo wa matako makubwa ila iko hivi...mwanaume akitaka kuoa ama akioa yeye anaeka investement yaani transalation mtu anayeweza kuongoza familia hata kama yeye hayupo,,,ila kwa mwanamke mtu anayejitokeza kumuoa ni yule mwanaume atakaye eza kumtosheleza katika mahitaji yake ya kila siku ila hayo mamabo ya familia mara nyingi uwa yanakuja baada ya kuolewa ndo maana sometimes utakuta mwanamke anaweza kumuacha mtu anayempenda na kumuamin na akaenda kuolewa na mtu anayeweza kumtunza ila manaume hata kama atakua na mademu wazuri kiasi gani kama hawajitambui ataoa kimwanamke ambacho kila mtu anaweza kumshangaa ila yeye anakua anajua kilicho ndani ya huyo mwanamke,,,,ukija suala la makalio na kwamba wanawake walio wengi japokuwa sio wote kwanza wanatongozwa sana kwa sababu ya tamaa ya ngono na kila mtu anakuja na style yake na uongo wa design mbali mbali mbali hata yeye anakuwa hajui wapi pa kushika maana kila mwanaume anaonesha kumpenda ila kiukweli ni tamaa ya ngono...pili huwa wanatumia kigezo cha mwili kwa kuringa na kukiumia kama kigezo cha uzuri na wengi wao kama kitega uchumi...naomba kuwasilisha
 
mwalimu wangu wa chuo juzi juzi kaoa mwanamke mwenye wowowo la kawaida,
Late Mengi alioa K Lynn ambae ana wowowo la kawaida..
hii mada ina ukweli ndani yake.
 
Hakuma lolote wale wananuk mav tu wazuri muangalia ila ingia uone
 
Uko sahihi sana.
Na kingine Cha kuongezea hapo ukioa mwanamke mwenye msambwanda unakuwa na kibarua kizito Cha kumlinda mara kwa mara kwa kutumia pesa na muda mwingi ili asiwe Malaya au ili asiende kwa wanaume wengine.
Kutokana na Hilo watu maskini ndio huwa Wana muda mwingi wa kubembeleza mwanamke na kumlinda ili asichukuliwe lakini watu matajiri huwa hawana huo muda kutokana na majukumu mengi aliyonayo.
Mara nyingi matajiri especially wale wanaomiliki mabiashara yao ratiba zao ni kutoka nyumbani asubuhi kwenda kwenye biashara zao kusimamia,akimaliza hayo majukumu jioni atapitia sehem Kama bar/pub,malls,cafe, restaurants n.k ili kukutana na matajiri wenzake na kupanga mipango mbalimbali ya kibiashara,kurudi nyumbani ni muda wa kulala.
Wakati mtu maskini akienda kazini kwa muhindi akiruhusiwa tu kutoka breki ya kwanza kwa mke wake.
 
mwalimu wangu wa chuo juzi juzi kaoa mwanamke mwenye wowowo la kawaida,
Late Mengi alioa K Lynn ambae ana wowowo la kawaida..
hii mada ina ukweli ndani yake.
Mwalimu wako wa chuo ni tajiri?anafundisha ktk chuo gani hicho kilichompatia utajiri na sisi tukaombe kazi?
 
huyo itakua ngumu kumuelezea ila cheki hawa ambao hata wewe unawajua. hakuna hata mmoja mwenye mke tipwa tipwa
shakira.pique.-m.jpeg
Savannah-Brinson_-Sports-Illustrated-Sportsperson-of-the-Year-Ceremony-2016--04-662x993.jpeg
images%20(8).jpeg
Une-semaine-apres-son-accouchement-Georgina-Rodriguez-la-compagne-de-Cristiano-Ronaldo-pose-v...jpeg
 
Hatuoi wanawake wenye misambwanda kwa kuhofia namna wazazi/walezi wetu watatuchukulia. (Huu ni ukweli mficho)

Unakuta kuna manzi unamuelewa kweli na ana bonge la msambwanda ila unaanza waza namna ya kwenda mtambulisha kwa wazee [emoji23][emoji23]

Unaanza kuwaza hivi wale wazee si wataniina mwanao na tabia mbaya ya kupenda misambwanda [emoji23][emoji23]

Wadada wenye misambwanda tunaomba mtuelewe tu, si kwamba hatupendi kuwaoa ila ni kuwa tunaona SO kwenda kuwatambulisha kwa wazee.
 
Uko sahihi sana.
Na kingine Cha kuongezea hapo ukioa mwanamke mwenye msambwanda unakuwa na kibarua kizito Cha kumlinda mara kwa mara kwa kutumia pesa na muda mwingi ili asiwe Malaya au ili asiende kwa wanaume wengine.
Kutokana na Hilo watu maskini ndio huwa Wana muda mwingi wa kubembeleza mwanamke na kumlinda ili asichukuliwe lakini watu matajiri huwa hawana huo muda kutokana na majukumu mengi aliyonayo.
Mara nyingi matajiri especially wale wanaomiliki mabiashara yao ratiba zao ni kutoka nyumbani asubuhi kwenda kwenye biashara zao kusimamia,akimaliza hayo majukumu jioni atapitia sehem Kama bar/pub,malls,cafe, restaurants n.k ili kukutana na matajiri wenzake na kupanga mipango mbalimbali ya kibiashara,kurudi nyumbani ni muda wa kulala.
Wakati mtu maskini akienda kazini kwa muhindi akiruhusiwa tu kutoka breki ya kwanza kwa mke wake.
Anaenda kucheki kama mzigo bado kutakaswa na wahuni[emoji3]
 
Hatuoi wanawake wenye misambwanda kwa kuhofia namna wazazi/walezi wetu watatuchukulia. (Huu ni ukweli mficho)

Unakuta kuna manzi unamuelewa kweli na ana bonge la msambwanda ila unaanza waza namna ya kwenda mtambulisha kwa wazee [emoji23][emoji23]

Unaanza kuwaza hivi wale wazee si wataniina mwanao na tabia mbaya ya kupenda misambwanda [emoji23][emoji23]

Wadada wenye misambwanda tunaomba mtuelewe tu, si kwamba hatupendi kuwaoa ila ni kuwa tunaona SO kwenda kuwatambulisha kwa wazee.
😂😂😂😂😂 Nimecheka khaa!!...
 
Back
Top Bottom