Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.

Nimesoma kitabu cha dan brown k8naitwa deception point kiukweli hayo mambo hayapo, watu wanafanya technology zao ila wanazugia aliens ili kuwaficha watu

salumu mitema,
Mkuu,
Asante sana kwa comment hii.

Maana, naona watu sijui wamelipwa ili kueleza huu uongo wa wazungu koko kuwa ni kweli.
While nothing do exists which is called aliens.
 
Nilishawahi kusikia habar za viumbe hawa kuwa "walishawahi kudondosha kitu kama kalamu walipokuwa wanapita Urusi
Pia,walishawah kumchukua m2 mmoja na ng'ombe nchini Marekani kwa kumvuta kwa mionzi
Tusidharau lisemwalo lipo!
 
I am not a defender of white pigs they call us baboons , chimpanzees and the like.

Up to this moment I am working with them and living together in one apartment and sharing ana office so, don't be emotional when it comes to that racisms and name callings its a common phenomenon whether you like it or not.

Kwa hiyo usinipangie kuhusu kuwaita wazungu kuwa ni wazungu koko au White pigs.

Back to the topic on board.

Pyramids ziko Egypt.

Ni kwa nini na wewe usijiulize kwamba, nini kilifanya zikajengwa Egypt na siyo USA, Europe , Asia au Australia ama huko South Africa?

Ni kwa sababu aliens walikuwa wanaogopa kuvuka na kwenda kujenga ulaya au USA!?

Any way, Egypt ni Taifa la tofauti sana katika bara la Afrika inapokuja kwenye issues za vumbuzi mbalimbali wa hapo kale mfano, hesabu, calendar , irrigation.
Au vyote hivyo ni aliens walivumbua hadi kesho Egypt wako vizuri mfano, kwenye irrigation schemes.

Mwisho, kumbuka kuwa hizo video zimetengenezwa na wazungu koko kwa hiyo hakuna jipya walichokifanya isipokuwa ni kujiandikia documentary tu kuhusu wanachotaka kuaminisha watu.

Kwa mfano, Afrika tulikuwa na zeze ila wazungu koko, waka copy na wakaenda wakatengeneza gitaa sasa kama zeze ingekuwa kwamba wazungu wangeshindwa ku- copy and paste lazima wangeanza kuambia na kuandika story kama hizo za kuwa huko Afrika kuna zeze imetegenezwa na aliens.

Mfano, gitaa la Mzungu ni la mwaka 1950 wakati sisi hapo kuanzia mwaka wa 1 tunapiga zeze huko Tanzania.

Kama wanakuita hivyo, give them a good name instead, just to make a difference!

Na kama kweli situtaion yenu iko hivi kama unavyonieleza, basi mnahitai msaada kwa Kisaikollojia, wewe na hao wenzako. Kwa mimi nikiwa na mtu yeyote yule halafu akajidai ku-misbehave kama vile unavyodai wewe, huwa nina passive reaction ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi tena kurudia, regardless of tittle, financial position or whatever, na actually atajiona ime-fireback kwake!

Dharaiu/ ubaguzi huwa unasababishwa na target person ku-respond kuwa amebaguliwa au amedharauliwa. Bila target person kujisikia hivyo hakuna dharau wala kubaguliwa. Na mimi nilishasema siku zote kuwa unapokuwa uko na wazungu halafu unakuwa na vijitabia vya kujitenga tenga nao, na kwa sababu wengi wao hawajahi kufika huku kwetu, kadri unavyozidi kujitenga nao, wao nao wanazidi kujitenga na wewe kwa kudhani kuwa unawabagua. Matokeo yake wao wataanza kukutuhumu kuwa wewe ni mbaguzi bila wewe kujua na wakati huo huo wewe unawatuhumu kuwa wao ni wabaguzi, kumbe ni wewe mwenyewe umesababisha wakubague. Ni lack tu ya emancipation kichwani. Send me anywhere nitaishi na watu na hakuna atakayenibagua na hakuna nitakayembagua. Mawazo duni sana haya.

However, this is out of context of the topic we are trying to discuss here, ila mwishowe nimeona ni-respond. Nashauri uwe na tabia ya kuwa-appreciate watu for the good qualities they have na hautakuwa mtumwa wa hayo mambo yanyooonekana yamesjhika mizizi sana kwenye akili yako. Moreover, you must necessarily love people, whether good or bad, regardless of their race. Huu ndiyo uhuru wa binadamu uliofichika! Ck njema sana.
 
Hivi kwani binadamu hawawezi kutengeneza UFo?
Binadamu mpaka muda huu anaweza kutengeneza tu ndege isiyokuwa na Rubani, yaani DRONE. UFO's ni binadamu wenye maumbile tofauti na sisi, wanaosadikika kuwa na akili ya hali ya juu sana, na wana vyombo vya kusafiria vya teknlojia ya hali ya juu sana, na ambavyo vina uezo wa kusafiri kwa kasi ya hali ya juu sana. Kwa ufupi UFOs wanatumia Teknolojia ambayo hatuna duniani kwa sasa hivi. Hata wale wana-Sayansi wanaojadili kuhusiana na ule ujenzi wa Pyramids za Giza, Misri, wamekiri kabisa wakaema kuwa kuweza kufanya yale yote yanayoonekana yamefanywa kweye Pyramids hizo kwa sasa, itahitaji tuwe na Teknolojia ambayo kwa muda huu haijaweza kuwepo hapa duniani
 
No necessity of writing too much as you did. Its a fire by fire response.

Any way , endelea kuamini kuwa kuna viumbe waitwao Aliens while, I know the whole game.

Mfano, unaweza ukasema kuna vita ya waasi na serikali nchini DRC au ni wazungu koko wanapiganisha watu ili wao wachume Mali asili za DRC!!

Ukipata jibu la DR Congo, naamini utaelewa kuwa hakuna aliens wala zombie.
 
Nilishawahi kusikia habar za viumbe hawa kuwa "walishawahi kudondosha kitu kama kalamu walipokuwa wanapita Urusi
Pia,walishawah kumchukua m2 mmoja na ng'ombe nchini Marekani kwa kumvuta kwa mionzi
Tusidharau lisemwalo lipo!

Wewe hata Mbeya, ng'ombe aliliwa hewani mifupa ikadondoka yote akiwa imemalizika Nyama zote. Ila inasemekana ni ushirikina.

Kwa nini, hicho cha USA kifanyike mara moja tu!?
Kwa nini isiwe mara kwa mara?

Wazungu koko, wanampoteza mtu ila kwa njia za kiutata kidogo ili watengeneze ufatiliaji kuwa mgumu.

Mfano, mwingine, ni ndege ya MH 370 Boeing 777 ya Malaysia airline nayo mtu anaandika eti imedondoka, mara aliens wameichukua wakati game yote iko wazi.

Any way, mtu kama hawajui wazungu koko unafiki wao basi, pana siku watamwambia kuwa yeye ni mti naye atakubali.
 
comrade igwe ,
Asante kwa kuweka hiyo picha ya Obama, ndiyo hicho nilichokuwa nimeandika hapo kwanza kuwa wazungu koko, ukiwazidi jambo , ukawa smart than them lazima watakutengenezea name callings.
 
No necessity of writing too much as you did. Its a fire by fire response.

Any way , endelea kuamini kuwa kuna viumbe waitwao Aliens while, I know the whole game.

Mfano, unaweza ukasema kuna vita ya waasi na serikali nchini DRC au ni wazungu koko wanapiganisha watu ili wao wachume Mali asili za DRC!!

Ukipata jibu la DR Congo, naamini utaelewa kuwa hakuna aliens wala zombie.
Sikatai uwepo wa propaganda lakini pia haimaniishi kuwa "similar natural phenomena" hazipo, eti simply tu kuna propaganda!
 
Binadamu mpaka muda huu anaweza kutengeneza tu ndege isiyokuwa na Rubani, yaani DRONE. UFO's ni binadamu wenye maumbile tofauti na sisi, wanaosadikika kuwa na akili ya hali ya juu sana, na wana vyombo vya kusafiria vya teknlojia ya hali ya juu sana, na ambavyo vina uezo wa kusafiri kwa kasi ya hali ya juu sana. Kwa ufupi UFOs wanatumia Teknolojia ambayo hatuna duniani kwa sasa hivi. Hata wale wana-Sayansi wanaojadili kuhusiana na ule ujenzi wa Pyramids za Giza, Misri, wamekiri kabisa wakaema kuwa kuweza kufanya yale yote yanayoonekana yamefanywa kweye Pyramids hizo kwa sasa, itahitaji tuwe na Teknolojia ambayo kwa muda huu haijaweza kuwepo hapa duniani
Mkuu UFO ni undefined flying Objects.

usifananishe na Aliens... Hao aliens inasadikika wanatumia ufo kama usafiri wao.

sasa nnachouliza hapa ni kuwa ,binadamu hawezi kutengeneza ufo au aliens ... nikimaanisha ""something like robot"
linalofanana na ufos
 
UFO- unidentified flying object ni acronym inayotumika kuelezea chombo chochote cha anga ambacho si kutoka duniani ie. hakijatengenezwa kwa utashi wa mwanadamu
 
Back
Top Bottom