Ngoja nikubaliane na wewe kwamba walikuwa hawana vibali, walijenga kanisa, walikuwa wakiuza madawa ya kulevya etc.
Lakini hata huku bara kuna watu wamejenga kiholela kutokana na ulegevu wa serikali yetu lakini sijaona hata siku moja wananchi wakichukua sheria mikononi kuvunja nyumba husika. Iweje nyinyi Wazanzibari leo mchukue sheria mkononi ya kuvunja vibanda tena vya wabara, wakati mnayo serikali ambayo ingeweza kufanya hivyo?!
Jamani hawa wazanzibari wanasumbuliwa na UBAGUZI. Sio siku nyingi zilizopita walichoma makanisa ambayo yalijengwa kwa vibali, wakachoma baa za wabara ambazo zilikuwa na vibali vya kufanya biashara. Sasa leo wanakuja hizo lame excuse za vibali na utumbo, wanafikiri tumesahau.
Sasa ni hivi hao wabara wote waliochomewa vibanda vyao lazima walipwe fidia kwa kodi zenu ni AMRI. Failure do so tunakuja (Watangayika) kuwakalia kimabavu maana mmezoea kutawaliwa. The balls is in your coat i.e KUTAWALIWA KIMABAVU au KULIPA FIDIA