ichumu lya JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,649 Reaction score 2,805 Feb 14, 2019 #1 Wakuu naomba kujua ukweli juu ya siku hii maana kuna mkanganyo wengi wahusisha siku hii na ushirikina wengine wakiihusisha na Upendo naomba kujua kwa wenye uelewa mpana. Najua wengi ni bendera fuata upepo. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba kujua ukweli juu ya siku hii maana kuna mkanganyo wengi wahusisha siku hii na ushirikina wengine wakiihusisha na Upendo naomba kujua kwa wenye uelewa mpana. Najua wengi ni bendera fuata upepo. Sent using Jamii Forums mobile app
princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,194 Reaction score 2,063 Feb 14, 2019 #2 Najua wajua na nnajua kuwa unajua..Lakini jee..?!Unataka kujuzwa zaidi?!
ichumu lya JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,649 Reaction score 2,805 Feb 14, 2019 Thread starter #3 Kweli mkuu Nisaidie kama una link itayonipa michango tofauti. princemikazo said: Najua wajua na nnajua kuwa unajua..Lakini jee..?!Unataka kujuzwa zaidi?! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu Nisaidie kama una link itayonipa michango tofauti. princemikazo said: Najua wajua na nnajua kuwa unajua..Lakini jee..?!Unataka kujuzwa zaidi?! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,194 Reaction score 2,063 Feb 14, 2019 #4 ichumu lya said: Kweli mkuu Nisaidie kama una link itayonipa michango tofauti. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna uzi upo kwenye jukwaa hilihili unaitwa "Historia fupi kuhusu siku ya wapendanao(Valentine day)"umeelezea mkuu,ucheki
ichumu lya said: Kweli mkuu Nisaidie kama una link itayonipa michango tofauti. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna uzi upo kwenye jukwaa hilihili unaitwa "Historia fupi kuhusu siku ya wapendanao(Valentine day)"umeelezea mkuu,ucheki