nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Ni yupi huyo mkuuhapa Tanzania tunae mmoja,mbishi huyoo!
Mtaje mkuu tumfahamu ili tuweze kumkimbia.hapa Tanzania tunae mmoja,mbishi huyoo!
Uwepo au kutokuwepo kwa vampires ni suala la imani ya mtu... Ila kama unavyojua wenzetu wazungu nao wamepitia katika stages za maisha ambazo karibia jamii zote zinapitia including the so called "dark era" so kuna wakati walikuwa na imani juu ya uwepo wachawi pamoja na vampires... Kwa upande wa vampires wao waliamini kuwa ni reincarnation ya watu ambao they once existed in real life au walitokana na watu waliokufa having grudges with others so walirudi kulipa visasi na their modus operand ilikuwa ni kumg'ata mtu shingo na kunyonya damuHabari zenu wakuu!
Nimekuwa interested kujua kama kweli vampire walikuwepo kama ninavyoona kwenye movies,na kama walikuwepo hawa wanaonekana kufanana na binadamu,..je ni nini kilitokea wakawa hivyooo(kisayansi uumbaji)!??
Pia kama mpenda movie za series unaeza kuwa unaifahamu movie ya supernatural humo ndani kuna SAM NA DEAN wanapambana na supernatural things,swali jingine kuna uwezekano hiyo series ikawa inaelezea uhalisia!?
Nani mbowe au lowasahapa Tanzania tunae mmoja,mbishi huyoo!
Atleast u said...Another thing Bw. Imma ni kuwa movies are products of authors' imaginations, baasi
Out of content, kwanini usimtaje baba yako?Nani mbowe au lowasa
Kuna vitu kwenye muvi vilitabiriwa toka miaka ya 90 huko ila leo vipo na vinavitumika kwahyo haibakii tu kuwa imaginations..nnavyojua wazungu hawashindwi kufanya maajabu hayoAnother thing Bw. Imma ni kuwa movies are products of authors' imaginations, baasi
Story za vampires ni za kitambo kabla ya sinema.... Na huwezi kuwalaumu Hollywood.... Hawajawahi kuclaim kuwa matukio kwenye movie ni ya kweli... Ndio maana wanaweka categories ikiwamo fiction na documentariesVampire ni sawa tu na mambo kamavile UFO, Aliens and et.al! Ni uzushi ambao ulichagizwa sana na watafuta pesa wa Hollywood.