sir mood
Member
- Feb 16, 2018
- 66
- 51
1.je ukweli ni nini?
2.ukweli ni UPI?
3.kwanini asilimia kubwa ya watu wanaojaribu kutafuta ukweli huishia pabaya(ama huko ndo mahala sahihi pa watafuta ukweli??)
4.je dini zetu,serikali zetu,tamaduni zetu nk zimejengeka katika ukweli???
4.je ukweli una maana katika jamiii??
5.je ukweli unajenga ama unabomoa jamiii husika??
6.je ukweli unanafasi katika maisha ya mwanadamu ??
7.je kuna haja yakuishi katika ukweli??
Haya ni baadhi ya maswali ambayo Mara kwa Mara nimekuwa nikijiuliza nakujikuta bado sina majibu....hebu tujadiliane kidogoo wadau