Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

Siyo kweli,, utawala uliotawala eneo kubwa enzi hizo ni Asyria, ambayo ndo iliangushwa na Babylon (babel),
Lakini babeli yenyewe ilikuja kuangushwa na Persian Empire,
So utawala wa Persian ndo ulitapakaa sehemu kubwa hadi asia na urusi huko,, then utawala mwingine uliochukua sehemu kubwa ni ottoman empire,
Na pia kiasi Roman empire ambayo baadae ilimeguka ikawepo pia Byzantine empire,
Modern empire iliyotawala eneo kubwa ni British empire, ikiwa na makoloni america, Africa na sehemu za ulaya,,
Swali kubwa watu wanapaswa kujiuliza king solomon anaesifiwa alitawala eneo lipi kubwa la kutoshea sifa anazopewa
 
So mtiririko uko hivi, civilization ilianzia mesopotamia today iraq,, sumeria ndo jamii ya mwanzo mwanzo, then zikafuata kingdom ndogo za Hurian, Akkadian,, baadae sana ndo ukaibuka ufalme wa Asyria,, then babel, then persia, then Alexandra The great------->
 
Mi ninacho juwa kuwa unapozungumza kuhusu dunia kipindi icho ni ile sehemu ya mashariki ya kati nchi ya Israeli na nchi za kiarabu na maeneo yaliyozunguka nchi hizo ndo dunia ya zamani kwa hiyo Babel ndo ilikuwa inatawara nchi hizo.
Unakua mpaka Misri, Sheba, (Ethiopia) Kushi (Sudan)
 
Watu wote duniani wanaitwa Binadamu yani bin adamu na hakuna bin jiwe kwa sababu ni ubin wa adamu
Je neno hili Binadamu linatumika dunia nzima au ni kwenye kiswahili tu nataka kuona ubin wa adamu katika lugha nyingine kwa mifano tuwekee hapa ili tuconfirm hichi ulichosema

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Yan mpaka leo unaamini hizo hadithi??
kwa hiyo hata vita tunavyo ambiwa vya uganda na tanzania ni hadithi tu kama za half lela ulela etii....yaani una ishi ishi tuu hujui na na wewe ulie kizazi cha leo utakuja kuwa hadithi wa vizazi vijavyo ....
 
hahahahaaa dah! Alikuwa anatafuta u headmaster nini...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…