pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 656
Kumekuwa na habari nyingi kuhusu kupungua kwa nguvu za kiume. Kwa maana rahisi kipungua nguvu za kiume ni hali ya kushuka kwa uwezo wa kufanya mapenzi kunakoambana na biungo kutotoa ushirikiano .wanasema wanaume siku hizi tatizo limekuwa kubwa.
Ukweli kwa mtazamo wangu kisayansi.
Sidhani kama kuna utafiti uliofanyika kitaifa kutafuta ukubwa wa tatizo kwa nchi yetu au hata mkoa.
Kuna tofauti kati ya kuripoti kuna tatizo na kulijua tatizo. Sifikiri kama tatizo limeongezeka ila nafikiri watu wamekuwa wawazi sana kuongelea habari za mahusiano.
Licha ya hayo yapo mambo ambayo yaweza kuchangia lakini haimaanishi ndio kusababishia cha moja kwa moja
1.technologia inaweza kuchangia kwa watu kutojihusisha na ngono ya moja kwa moja maana wqnamaliza kivyao hivyo kuhisi kama tatizo kumbe watu wanaangalia ponograph sana.
2. tatizo linaweza kusababishwa na saikolojia ya kuogopa kutokumridhisha mwanamke..
3. inaweza kuwa kushuka kwa euphoric feelings. Samahani sina neno la kiswahili ila namaanisha kushuka kwa mhemuko sababu ya kuzoeana.
4. hali ya maisha inavyozidi kuwa changamoto muda wa kutulia kufanya mambo hayo kwa ufasaha unakuwa mdogo
5. Matarijio makubwa kwenye mahusiano ambayo huishia kuleta frustration
6.kujihusisha na wanawake wengi. Unakuta mtu ana michepuko minne alafu mke tupo.mapenzi ya wizi mchana alafu usiku urudi ukamridhishe mkeo.
Nafikiri kwa kuangalia hizo sababu hatuwezi kusema kuna tatizo la kuishiwa nguvu za kiume maana na sababu zinaweza kudhibitiwa na mtu akawa katika hali ya kawaida.
Lakini mambo mengine ni imani na saikolojia tu.
Nashauri wanasayansi wachangamkie fursa hizi kufanya tafiti kuanzia dar au mijini hadi vijijini.
Binafsi hypothesis yangu ni kwa hakuna tofauti kati ya nguvu za kiume za zamani na sasa. Tatizo tunaliona sana maana watu wanaweza kulizungumzia kwa uwazi.