Ukweli kuhusu sony flagship za zamani

Ukweli kuhusu sony flagship za zamani

jay-millions

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
4,479
Reaction score
11,486
Wakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake nini na udhaifu wake nini? Karibu tujuzane wakuu
 
Ogopa sana hizo simu zinazokuja kwa jina la sijui used mara refurbished iyo ni kamali unacheza hapo, ukiweka hilo kichwani hutapata tabu, simu unakuta ilitoka 2016 mpaka leo, almost 6 yrs, kua makini mkuu, yalisha nikuta na sony xperia z5 sina hamu.
 
Ulikutwa na nini kiongozi?
 
Wakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake nini na udhaifu wake nini? Karibu tujuzane wakuu
Ni used za Japan,

Ubaya wake ni kama Refurbished nyengine, Simu haiwi refurbished bila kuwa na tatizo, unaweza bahatika likawa tatizo dogo ama likawa ni tatizo kubwa.

Uzuri wake unapata simu nzuri kwa bei nafuu mfano Xz1 ni equivalent ya S8, assume sina uwezo mara 100 ununue hio na tatizo kuliko kununua simu mpya ya 150k.

Pia simu za Sony kwa Around 70k unaweza unlock bootloader hata kama ni ya mtandao kama hizo Sony za Docomo, kama unapenda kuchezea simu unaweza weka Custom rom.
 
Angalau kwa siku mtu anaichaji mara mbili au moja?
Xperia 10 iV ni mpya imetoka ngumu kupata refurb ila hii unaweza tumia siku 2 mpaka 3 matumizi ya kawaida. Inaweza play video masaa 32 mfululizo kabla ya kuzima, ama kuperuzi masaa 21.

Realistically xz1 compact refurb yake unapata kwa hio bei (mimi pia naimiliki hio simu) kasimu fulani kadogo sana kiumbo kama iphone SE ama iphone 5 hivi. Yenyewe nayo uhakika inakaa na Chaji siku nzima masaa kama 9 mixed usage bila kuzima kioo
Screenshot_20210424-123957.png

Niliwahi chukua hii screenshot zamani kidogo, mx player saa 1 na dk 32, movie nzima hio imekula asilimia 8 tu. Hapo On screen lisaa 1 dk 50 ila simu ina asilimia 89 bado, so roughly masaa 9 ama 10 inatoboa kioo kikiwa on, matumizi ya kawaida mpaka siku 2 labda.

Nyengine ambazo unapata refurb ila bei kidogo ni hizo Xperia 5 na 10 III hizi around 300k kuendelea huko ughaibuni.
 
Back
Top Bottom