Habari wakuu,
Nilituma maombi ya kazi reborn international, sasa leo wamenijibu kwa email kuwa nimechaguliwa na natakiwa niende kwenye mafunzo yao tarehe 22 mwez huu.
Sasa kilichonistua na kuja kuuliza hapa ni wao kuniambia niwatumie tsh 51000 kwa mpesa/tigo pesa au benki na vyeti vyangu kupitia email ili waweze kuvihakiki hivyo vyeti kupitia kwa mwanasheria/mtaalam wao kabla ya tarehe 15 mwezi huu wa 3.
Je wakuu mnaonaje, na kama kuna mwakilishi au yeyote anaejua kuhusu reborn international naomba unifahamishe maana naona kama kuna dalili za kuingizwa mjini/choo. Naombeni msaada wenu wakuu, nilipe hiyo hela au usanii tu.
=====================
Tangazo hili halina dalili ya ukweli

Habari. Mnamo mwezi uliopita kuna organisation inajiita REBORN INTERNATIONAL walitangaza nafasi za kazi kwa malipo ya Tsh 4,530,000/= kwa miezi mitatu kwa position ya Civic and Voters Education Officers concerning with Tanzania Referundum Support Project. Mnamo jana wameanza kujibu waliomba na kuwaambia wamefanikiwa kupata nafasi hizo na kuwaambia kwamba wa scan vyeti vyao na kuvituma kwa mwanasheria wao vikiambatana na Tsh 51,500/= as a verification fee inayotumwa kwenye namba walizoweka ama kwenye akaunti ya Twiga Bancorp Bank.
PLEASE AND PLEASE WADOGO ZANGU MNAIBIWA SO MSITUME HIZO PESA. NAWASILISHA.
Tangazo hili halina dalili ya ukweli
- Tovuti zote walizotaja kwenye maombi ya kazi hazina uhusiano wa moja kwa moja na kazi wanazofanya na nyingine haijasajiliwa kabisa
- Tangazo kukimbilia kutaja mshahara(unaovutia maombi) na nafasi(idadi kubwa) kabla ya mambo ya msingi kwenye ajira husika kama vigezo na majukumu
- Cha zaidi, kama mleta mada alivyolileta. Kuambiwa atoe pesa kwanza na kwenda moja kwa moja kwenye mafunzo(ajira) bila kupitia mchakato wowote wa kupata hio ajira(angalau hata usaili wa ulaghai)