Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

Mpe salamu mwambie ukawa unaendelea wanachama wa cuf wamempuuza na Eliza boni sasa hana tena habari za ukawa tangu yeye aende Kigali mwambie maalim seif yuko imara tena sawa sawa kesho asisahau kuangalia mafuriko ya watu wakienda kuchukua fomu
 
mwambieni ukawa wamekuwa ngangari zaidi ya alipokuwepo.
 
... Hopeless kabisa ..!! Kichwa cha habari kabisa .. unabutua hivyo na umetulia kama hujafanya kosa lolote.

Kigari cha matope au cha karatasi ... !!?
 
Ccm wamempoteza huyo, akitoka huko aende Tabora kusimamia kilimo cha viazi
 
Mbona amemuacha Polepole..nilisikia wanaenda wote kama kumbikumbi
 
To b honesty sijaona madhara yoyote kwa kuondoka kwa Lipumba UKAWA.

Alishindwa kujua luwa UKAWA ndio waliokuwa wanambeba yeye na c yeye anawabeba UKAWA.

Namkumbua sana Fred Mpendazoe!
 
Huyo dogo ni wa ikulu na ndio deal maker wa lipumba kukubali mzigo uingie kwenye akaunti na kusepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…