Ukweli kuhusu ndoa

Eti unakuta binti uchumbani akipewa pesa anakataa aonekane sio muhitaji, kesho kaingizwa ndani hadi suruari anasachi.
Chochote ukionacho kwenye uchumba tambua ni feki anapalilia ndoa.
Tabia halisi ya mtu angalia wazazi wake. Mtu yeyeto kwenye ndoa hawezi ishi tofauti na alivyoona wazazi wake wakiishi.
.Kama mama yake alikuwa akimlamba makofi baba yake nae atakulamba.
.Unaoa mtoto wa msimbe atakutii vipi hali mama yake alipambana kitaa hata yeye atakuambia usimbabaishe mbona mama yake kapambana kawalea.
.Mama ana mdomo mchafu binti ataachaje kuwa na mdomo mchafu.
Baba mpigaji, muoa wake wengi mtoto ataachaje kukudunda na kuoa mke wa pili.
 
I
Oa mapema ukifika miaka 50 au 60 achana na mambo ya kuoa kama ulichelewa, zaa kusanya watoto lea.
Utakula sumu, siku hizi awatumii majambazi kuogopa ushahidi wanakuwekea sumu kwenye chai ndani ya miezi sita utakuwa KWA Yesu au kwa shetani yeye akiponda mali na marioo.
Hatari sana Dunia ya leo.
Apatae mke apata chombo bora
 
Siku hizi wengi tumekuwa washauri nasaha lakini baada ya muda tunakuja humu humu kujisifu jinsi tunavyowadanganya wanawake na kuwapa mimba halafu tunawakimbia.
 
Eti msimbe ndio nn
 
Unapooa tazama asili, ni wachache sana wenye kumudu kuishinda asili. Mtu ni copy ya wazazi wake
 
Mkuu ungekazia na kijna kataa ndoa kwa mwishon ingependeza.
 
Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.
Mtoto yeyeto sio wa kwako mzazi huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako sio wake mlee ipasavyo akatunze ndoa yake, usimlishe sumu.
Watoto hawaishi na wazazi mda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa mda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.
Ndoa ni copy ya jinsi wazazi wao walivyoishi kwenye ndoa.
 
Hapa usitupangie! Vi pullet vyenyewe vinatutaka sisi sasa tufanyeje? Vitavigonga hivyo hivyo! Mavi-jana yenyewe mmgeukia ushoga, mnatembea mmevaa Pampers sasa sisi wazee tuache kuwahudumia hao watoto wadogo?
 
Ala! Kumbe nilikua nafeli padogo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…