Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
hicho kitengo kilikuepo au umepachikwa tu.?Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
Huyu hawezi kukosa njaa,maana hataki kujishugulisha,kwa kifupi ni mzembe,anafikikiri siasa itamtoa kimaisha!sasa hauna njaa tena si kama ulivyokuwa Misri eeeh!
aisee tufafanulie kuhusu lile sakata la madiwani 8 Bukoba imekuwaje tena, maana tunaambiwa umoja na mshikamano ndiyo nguzo yenu sasa kimenukaje nukaje huko?Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
Mkuu unasimamia kitengo hiki.?
View attachment 107240View attachment 107241
Na huyu ndio kamanda wenu.?View attachment 107243
Mkuu unasimamia kitengo hiki.?
View attachment 107240View attachment 107241
Na huyu ndio kamanda wenu.?View attachment 107243
Ganzi bwana hujaacha vituko 2.
Sasa digrii yako ya ualimu na ukuu wa kitengo cha habari vinaendaje?? Wakati uko upinzani ulikuwa ni mmoja wa watu wanaopinga mambo ya kupeana vyeo kama zawadi, halafu na wewe umeangukia huko huko kwenye kupewa cheo kama zawadi, poor you...
Njaa zinaharibu maisha yenu vijana, kama ungekubali kufanya kazi yenye hadhi na heshima kubwa ya ualimu ambayo umeisomea, na ambayo imekulea na kukusomesha, kwa kuwa mama yako alikuwa Mwalimu, usingeingia huku kwenye kudhalilika kwa kupewa tuvyeo twa kijinga kama huto. Kwa taarifa yako ni kuwa siku utakapopingana na aliyekupa hicho cheo (Mwigulu Nchemba) kwa hoja au akuombe kitu ambacho wewe haukubali kumpa jamaa atakufukuza hiyo kazi maana haikutangazwa kokote, umepewa tu kama zawadi na hauna sifa za elimu wala uzoefu wa kuifanya. Kwa kifupi hauna Job Security mkuu...