Fanya biashara ya kuitisha seminani kweli kabisa lakini sasa nifanye biashara gani?
HahahFanya biashara ya kuitisha semina
Umewachapa kwelikweli,kuongea kwingi hapo hana hata kamradi kakufuga kuku hata wawiliMotivational speakers noma saana lkn cha ajabu wanaishi kwa hela za viingilio tu hapa town,hawanaga biashara nyingine yoyote ile
Hahah mkuu jamaa kwa kuponda mishahara ndo wenyewe hao.Waulize wenyewe ofisi zao wanauza Product/Service gani utabaki unashangaa tu.Umewachapa kwelikweli,kuongea kwingi hapo hana hata kamradi kakufuga kuku hata wawili
Ulitaka waishi kwa pesa gani?Timu kubwa za ulaya zina pesa kwa sababu ya viingilio vya mashabikiMotivational speakers noma saana lkn cha ajabu wanaishi kwa hela za viingilio tu hapa town,hawanaga biashara nyingine yoyote ile
Unahamisha magori?.jadili alicho post achana na yeye hata kama anashindia mihogo au anaishi kwa shemejiUmewachapa kwelikweli,kuongea kwingi hapo hana hata kamradi kakufuga kuku hata wawili
Jadili maada achama na Personer attack. Kuanza ku attack mtu ni dalili za kwamba huna uwezo wa kujenga hojaHahah mkuu jamaa kwa kuponda mishahara ndo wenyewe hao.Waulize wenyewe ofisi zao wanauza Product/Service gani utabaki unashangaa tu.
Eti mshahara ni kama rushwa kwako,hahah
Kwani kuuza genge sio biashara? Au uliambiwa biashara ni kuwa na Yard ya kuuza Magari?Kuna mmoja kama hawa akawa anajisifia kuwa aliacha kazi akajiajiri anatuponda kwelikweli anadai yeye ameshatoboa maisha ile anainuka suruali inabonge la kiraka na kiatu kimepinda upande,Mungu si athumani nikakutana nae kumbe anauza genge
Ukweli mchungu lakini ndo hivyo,umesomeka sana kiongozi kwa kweli tubadili mindset yetu kuhusu ajira.(1.) Mshahara wako hautakutajirisha. Maana bosi wako sio mpumbavu wa kiwango hicho.
(2.) Mshahara wako umepangwa ili kutosheleza mahitaji yako ya kila siku na hata ukizidi, hauwezi kukufaa kwa siku 100 zijazo. Sana sana hulautoshlezi kabisaaa.
(3.) Ikiwa kampuni yako inakupa thamani halisi ya huduma unayoitoa, ujue wanafanya kazi kwa hasara na hakuna wajiri mwehu kwa kiwango hicho.
(4.) Mara baada ya kupata ajira (HIRED), wakati wowote unaweza fukuzwa kazi (FIRED) au kustaafu (RETIRED), unaweza pia kujiuzulu wakati utapochoka (TIRED)
(5.) Mshahara ni rushwa unayopewa ili kusahau ndoto, familia, uhuru, kujiheshimu, thamani halisi ya elimu yako, maisha ya kijamii na malengo mengine binafsi.
(6.) Watoto wako hawataweza kurithi nafasi yako katika kampuni hiyo uliyoajiriwa. Ajira sio urithi. Amka kijana.
(7.) Kama mshahara wako hautoshi kulipa bili zako na mahitaji mengine mengi ya msingi na kukubakishia akiba. Yatosha sasa kujiandaa kwa umaskini baada ya kuacha kazi.
(8.) Ikiwa wewe ni mwajiriwa waza zaidi ya kula na kuvaa. Waza uzee, waza magonjwa yanayoweza kukufanya ukalala kitandani kwa muda mrefu ikiwemo kupooza. Utakapo patwa na haya utaweza tumia akiba yako na ikakufaa, je itatosha?
(9) Kuwa mfanyakazi ni sawa na kuwa mtumwa, kuwa mwajiriwa ni sawa na kuwa mke. Kwani unaishi kwa maelekezo ya bosi, wala huwezi kujiamulia tu bila ruhusa ya bosi.
(10.) Kwenye jarida la Forbes linalo ripoti watu matajir duniani, ulishawahi ona tajiri aliyeajiriwa?
Unalojambo la kuufanyia mshahara wako. Tumia mshahara wako kama ufunguo wa kukufikisha kwenye malengo yako.