achana na hiyo misitari ya kubuni.Hata sielewi hili swali lako sijui unamaanisha north pole na south pole labda ufafanue kidogo. Kwani mkuu ulishawahi kuiona mistari ya latitude na longitude au X,Y,Z naomba ufafanuzi wako ili nipate kukujibu.
Asante nime kuelewa.Hakuna hiyo midude ilokaa kama mnara katika dunia ambayo wewe umeipa jina la muhimili muhimili wa dunia kwa kiingereza axis ni sawa na kusema kuiitoboa dunia kuanzia north pole mpajka south pole yaani juu na Chini huku north Pole na south pole kama utaingalia ramani ya dunia kipitia tufe zipo chini na juu
Sasa dunia kupitia prinsple ambazo zimewekwa hujizungusha katika axis yake (muhimili) na dunia hujizungu kutoka magharibi kuelekea mashariki na hii kusababisha jua kuchomoza mashariki kuzama magharibi
Nb muhimili ni kipenyo kutoka north pole kueleke south pole
Na sio kitu kingine
Soma post ya Mr Q, ame nielewa.Hata sielewi hili swali lako sijui unamaanisha north pole na south pole labda ufafanue kidogo. Kwani mkuu ulishawahi kuiona mistari ya latitude na longitude au X,Y,Z naomba ufafanuzi wako ili nipate kukujibu.
Upo sahihi kabisa, muhimili ni IMAGINARY, siyo kitu hai ni cha kubuni. Nadhani mtoa mada kwa swali lako hilo kama muhimili ungekuwa unaonekana kwa macho, ungeleta pia maswali haya:Jibu ni hakuna mhimili unaoonekana kwa macho. Muhimili wa dunia ni wa kufikirika. Ila imekuwa assumed kuwa dunia inajizungusha katika muhimili wake. Na kumaliza huo mzunguko wake kwa masaa 24 kitu ambacho kinapelekuwa kupatikana usiku na mchana.
Sahihi kabisa mkuu ndicho kitu nilicho kuwa nikijiuliza paka muda mwingine nilikuwa nikiona tuna danganya tu nawala hakuna hivi vitu ila wewe ume nifumbua macho nime pata mwanzo ngoja nika some saidi nita rejea.Upo sahihi kabisa, muhimili ni IMAGINARY, siyo kitu hai ni cha kubuni. Nadhani mtoa mada kwa swali lako hilo kama muhimili ungekuwa unaonekana kwa macho, ungeleta pia maswali haya:
~Umetengenezwa kwa material gani? chuma, plastic, au mbao?
~Je, kama ni mhimiili wa chuma, vipi miaka yote hii usipatwe kutu na kuvunjika, hatimaye dunia ikaanguka?
Maswali hayo na mengine mengi yangepata majibu kama tu, mhimili ungekuwa unaonekana.
Masomo ya jiografia na sayansi kwani siku hizi hayafundishwi shule za Msingi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba?
Kama yanafundishwa basi kuna shida sehemu Wallahi!!!!
Soma Yeremia 31:37 ndio utajua kua hakuna mwanadamu anayeweza kujua misingi ya dunia au hata hiyo mihimili