Just talker
Member
- Jan 6, 2021
- 50
- 63
HOJA FIKIRISHI SANA, TOO DEEPUKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU.
Na: @justtalker
Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao utauishi sijui kama naeleweka.
Namaanisha hivi, kwa mfano huu ni mwaka 2021, mbele yetu kuna miaka yote kuanzia 2022, 2023, 2024 na kuendelea. Kwahiyo kama labda utaishi hadi 2050 labda kabla ya kukata roho basi kuanzia 2022 hadi 2050 kila mwaka upo tayari, sio kila mwaka utafika au utauona ila ipo hivi inapo fika mwisho wa mwaka ulipo kwa mfano ilipo fika tarehe ya mwisho ya 2020 kuingia 2021 wewe wa 2020 uliishia 2020 wewe wa mwaka huu ni mwingine sio yule wa mwaka Jana tena ila mungu anakuwekea kumbukumbu ya miaka yote ambayo wewe wa miaka hiyo uliiishi. Kwa maana nyingine niseme kama umepangiwa kuishi miaka 50 duniani basi kuna akina wewe watu 50 ambao kila mmoja yupo mwaka wake kuanzia mwaka wa kuzaliwa hadi mwaka wa mwisho wa kufa.
Kwamaana hiyo ikifika tarehe ya mwisho ya mwaka 2021 ukiwa umelala utakapo amka usingizini mwaka 2022 kama utakuwa ulikuwa umelela basi wewe ni wa mwaka 2022 sio huyu wa mwaka huu. Na kama hauta lala utafika hadi 2022 basi ujue mpo wawili wewe wa 2021 na wewe wa 2022 ila utakapo lala basi wewe wa 2021 hautaamka tena utayeyuka atakaye amka ni wewe wa 2022.
Kuna jamaa aliwahi kusafiri kwenda maisha ya mbele ( time traveling 🧳) alipo fika alijiona yeye wa mwaka huo alio enda japo dunia haikumuamini lakini hii inaonesha kuwa mwaka alio enda ulikuwa na yeye mwingine wa mwaka huo ambaye alimkuta ashazeeka.
Ni suala ambalo lakufikirika sana, lakini ukifikiria kuhusu time traveller utanielewa zaidi. Ndiyo maana hata zile movie za kurudi nyuma au kwenda mbele zinamuonesha mtu aliye rudi nyuma au kwenda mbele pamoja na mwingine yeye wa mwaka huo alio enda kuuona.
Swali la kujiuliza kwanini kama mwaka Jana kuna kitu kilikuumiza bado kitaendelea kukuumiza Wakati wewe sio yule aliye umizwa, au kwanini kama ulikuwa una makovu au alama yoyote haitafutika. Majibu yake ni kuwa mungu tayari anayo taswila yako ambayo alikuumbia ya maisha yako yote, maisha ya binadamu ni kama script ambayo tayari ishaandikwa. Mungu ni mmoja binadamu kwasasa tupo billion 7 na zaidi ujiulize anawezaje kutuangalia kila siku kila mmoja wetu pasipo kukosea, utaniambia wapo malaika wanao tuangalia inaweza kuwa kweli labda lakini hata malaika sio wote wazuri maana hata shetani alikuwa akiishi mbinguni akaasi kwahiyo siaamini kama mungu ataziamini taarifa zote atakazo pewa na malaika.
Sasa je? Mungu anawezaje kutuangalia wote, majibu ni kuwa kila binadamu maisha yake tayari yashatengenezwa toka kuzaliwa hadi kufa kwake, kwahiyo kazi ya mungu ni kuendelea kuwaumba wengine, na kazi ya malaika ni kutulinda dhidi ya matatizo yanayo tunyemelea watu wake mungu ambayo wao tayari wanayajua kwa miaka yetu yote ya mbele hadi kufa kwetu.
No wachina sio inakuwa mwezi wa pili, kila mwaka ni siku tofauti na mwezi tofauti itategemeana na aina ya mnyama wa mwaka huo.Nimependa hoja yako
Ikiwa kama kila tarehe 31 ya mwisho wa mwaka tunapoingia mwaka mpya watu wote tunakufa, je vipi kwa hao wachina ambao mwaka mpya wao ni mwezi wa pili?
Kwanza hongera kwa hoja yako.ok twendelee, Ukisema maisha ya binadam ni script ambayo ilisha andikwaa so humans they have no future only God have.UKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU.
Na: @justtalker
Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao utauishi sijui kama naeleweka.
Namaanisha hivi, kwa mfano huu ni mwaka 2021, mbele yetu kuna miaka yote kuanzia 2022, 2023, 2024 na kuendelea. Kwahiyo kama labda utaishi hadi 2050 labda kabla ya kukata roho basi kuanzia 2022 hadi 2050 kila mwaka upo tayari, sio kila mwaka utafika au utauona ila ipo hivi inapo fika mwisho wa mwaka ulipo kwa mfano ilipo fika tarehe ya mwisho ya 2020 kuingia 2021 wewe wa 2020 uliishia 2020 wewe wa mwaka huu ni mwingine sio yule wa mwaka Jana tena ila mungu anakuwekea kumbukumbu ya miaka yote ambayo wewe wa miaka hiyo uliiishi. Kwa maana nyingine niseme kama umepangiwa kuishi miaka 50 duniani basi kuna akina wewe watu 50 ambao kila mmoja yupo mwaka wake kuanzia mwaka wa kuzaliwa hadi mwaka wa mwisho wa kufa.
Kwamaana hiyo ikifika tarehe ya mwisho ya mwaka 2021 ukiwa umelala utakapo amka usingizini mwaka 2022 kama utakuwa ulikuwa umelela basi wewe ni wa mwaka 2022 sio huyu wa mwaka huu. Na kama hauta lala utafika hadi 2022 basi ujue mpo wawili wewe wa 2021 na wewe wa 2022 ila utakapo lala basi wewe wa 2021 hautaamka tena utayeyuka atakaye amka ni wewe wa 2022.
Kuna jamaa aliwahi kusafiri kwenda maisha ya mbele ( time traveling 🧳) alipo fika alijiona yeye wa mwaka huo alio enda japo dunia haikumuamini lakini hii inaonesha kuwa mwaka alio enda ulikuwa na yeye mwingine wa mwaka huo ambaye alimkuta ashazeeka.
Ni suala ambalo lakufikirika sana, lakini ukifikiria kuhusu time traveller utanielewa zaidi. Ndiyo maana hata zile movie za kurudi nyuma au kwenda mbele zinamuonesha mtu aliye rudi nyuma au kwenda mbele pamoja na mwingine yeye wa mwaka huo alio enda kuuona.
Swali la kujiuliza kwanini kama mwaka Jana kuna kitu kilikuumiza bado kitaendelea kukuumiza Wakati wewe sio yule aliye umizwa, au kwanini kama ulikuwa una makovu au alama yoyote haitafutika. Majibu yake ni kuwa mungu tayari anayo taswila yako ambayo alikuumbia ya maisha yako yote, maisha ya binadamu ni kama script ambayo tayari ishaandikwa. Mungu ni mmoja binadamu kwasasa tupo billion 7 na zaidi ujiulize anawezaje kutuangalia kila siku kila mmoja wetu pasipo kukosea, utaniambia wapo malaika wanao tuangalia inaweza kuwa kweli labda lakini hata malaika sio wote wazuri maana hata shetani alikuwa akiishi mbinguni akaasi kwahiyo siaamini kama mungu ataziamini taarifa zote atakazo pewa na malaika.
Sasa je? Mungu anawezaje kutuangalia wote, majibu ni kuwa kila binadamu maisha yake tayari yashatengenezwa toka kuzaliwa hadi kufa kwake, kwahiyo kazi ya mungu ni kuendelea kuwaumba wengine, na kazi ya malaika ni kutulinda dhidi ya matatizo yanayo tunyemelea watu wake mungu ambayo wao tayari wanayajua kwa miaka yetu yote ya mbele hadi kufa kwetu.
Hilo swali nishalifikiria sana hadi silipatiii majibu. Binafsi naona haiwezi kuwezekana ile walijaribu kufanya vile ila haiwezi kuwa reality. Ninacho weza kukiamini ni kuwa ukienda mbele au kurudi nyuma hauwezi kuchange kitu chochote labda utashuhudia tu. Kuna muda nawaza ukirudi nyuma huenda hata ukiwasemesha wasikusikie wewe utakuwa mtazamaji tu na wasikuone kwasababu kwenye hayo maisha uliyo rudi nyuma kuyaona wewe haukuwa kuyaishi tofauti na ukienda miaka ya mbele kuna uwezekano wakakuona kwakuwa ni sehemu ambayo unaishi tayari.Kwanza hongera kwa hoja yako.ok twendelee, Ukisema maisha ya binadam ni script ambayo ilisha andikwaa so humans they have no future only God have.
pili kulingana na hoja yako iyo ya mtu kiwa mpya kila mwaka By physical body its okey hata biology inakubali. Lakin The mind is still the same , Humans we are the same, lakin memories ndo zina tutofautisha.
Pia am not sure that God pado anaumba watu kama ilivyo andikwa kwenye Vitabu vya Dini. kuumba ulimwengu sio kazi kubwa kazi kubwa ni kuweka sheria interm of enerygies na forces kwa huo ulimwengu ili uweze kujiendesha wenyewe. mwanamke kuweza kuzaa binadam mwinginw ni mfano mzuri hapa.
Time travel and memories.
pia inakubaliana na hoya yako. ukisafir kwenda future mnayoita nyie ( lakin ukiingiza dini tu inakuwa sio future tena but kuremember your past life)
kisafir kwenda miaka mi5 mbele utamkuta mwenzako sawa, Lakin memory ya ww ulie safir itakuwa fupi kuliko ulie mkuta coz umeruka maisha hapa kati kati .
lakin kitu kinacho tuumiza kichwa ni jee inawezekanaje ni rudi nyuma ni muuwe mama yangu akiwa bado mdogo alafu bado niwe na ishi?je nimetoka wapi ?
MATRIX?
Ni sahh kusafir na mwili sio rahis lakin watu hao wapo, Walisha tokeaga hapa dunia mara kibao wengine wakiwa mbele ya muda wengine nyuma wakiwa na miili yao. lakin ninacho ona hapa ni multi universe lke projection. yana hapa tulipo kuna wengine wanaisha hapa hapa lakin hatuna interaction nao yoyote ya material world wala kimudaa.ukitoke izo parallility zika ingiliana ndo mtu hujipata umeaafir kimudaa. Ila Time travel ipo lakin hatuwez imanipulate as a personal will naweza kusema ni universe disorder of time and space singularity because the perfection of the universe it is it imperfection.Hilo swali nishalifikiria sana hadi silipatiii majibu. Binafsi naona haiwezi kuwezekana ile walijaribu kufanya vile ila haiwezi kuwa reality. Ninacho weza kukiamini ni kuwa ukienda mbele au kurudi nyuma hauwezi kuchange kitu chochote labda utashuhudia tu. Kuna muda nawaza ukirudi nyuma huenda hata ukiwasemesha wasikusikie wewe utakuwa mtazamaji tu na wasikuone kwasababu kwenye hayo maisha uliyo rudi nyuma kuyaona wewe haukuwa kuyaishi tofauti na ukienda miaka ya mbele kuna uwezekano wakakuona kwakuwa ni sehemu ambayo unaishi tayari.

I think you will perish hapo hapo coz the future will changeKwanza hongera kwa hoja yako.ok twendelee, Ukisema maisha ya binadam ni script ambayo ilisha andikwaa so humans they have no future only God have.
pili kulingana na hoja yako iyo ya mtu kiwa mpya kila mwaka By physical body its okey hata biology inakubali. Lakin The mind is still the same , Humans we are the same, lakin memories ndo zina tutofautisha.
Pia am not sure that God pado anaumba watu kama ilivyo andikwa kwenye Vitabu vya Dini. kuumba ulimwengu sio kazi kubwa kazi kubwa ni kuweka sheria interm of enerygies na forces kwa huo ulimwengu ili uweze kujiendesha wenyewe. mwanamke kuweza kuzaa binadam mwinginw ni mfano mzuri hapa.
Time travel and memories.
pia inakubaliana na hoya yako. ukisafir kwenda future mnayoita nyie ( lakin ukiingiza dini tu inakuwa sio future tena but kuremember your past life)
kisafir kwenda miaka mi5 mbele utamkuta mwenzako sawa, Lakin memory ya ww ulie safir itakuwa fupi kuliko ulie mkuta coz umeruka maisha hapa kati kati .
lakin kitu kinacho tuumiza kichwa ni jee inawezekanaje ni rudi nyuma ni muuwe mama yangu akiwa bado mdogo alafu bado niwe na ishi?je nimetoka wapi ?
MATRIX?
Sio vice versa mkuu?Hilo swali nishalifikiria sana hadi silipatiii majibu. Binafsi naona haiwezi kuwezekana ile walijaribu kufanya vile ila haiwezi kuwa reality. Ninacho weza kukiamini ni kuwa ukienda mbele au kurudi nyuma hauwezi kuchange kitu chochote labda utashuhudia tu. Kuna muda nawaza ukirudi nyuma huenda hata ukiwasemesha wasikusikie wewe utakuwa mtazamaji tu na wasikuone kwasababu kwenye hayo maisha uliyo rudi nyuma kuyaona wewe haukuwa kuyaishi tofauti na ukienda miaka ya mbele kuna uwezekano wakakuona kwakuwa ni sehemu ambayo unaishi tayari.
Sijaelewa hata sentensi mojaUKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU.
Na: @justtalker
Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao utauishi sijui kama naeleweka.
Namaanisha hivi, kwa mfano huu ni mwaka 2021, mbele yetu kuna miaka yote kuanzia 2022, 2023, 2024 na kuendelea. Kwahiyo kama labda utaishi hadi 2050 labda kabla ya kukata roho basi kuanzia 2022 hadi 2050 kila mwaka upo tayari, sio kila mwaka utafika au utauona ila ipo hivi inapo fika mwisho wa mwaka ulipo kwa mfano ilipo fika tarehe ya mwisho ya 2020 kuingia 2021 wewe wa 2020 uliishia 2020 wewe wa mwaka huu ni mwingine sio yule wa mwaka Jana tena ila mungu anakuwekea kumbukumbu ya miaka yote ambayo wewe wa miaka hiyo uliiishi. Kwa maana nyingine niseme kama umepangiwa kuishi miaka 50 duniani basi kuna akina wewe watu 50 ambao kila mmoja yupo mwaka wake kuanzia mwaka wa kuzaliwa hadi mwaka wa mwisho wa kufa.
Kwamaana hiyo ikifika tarehe ya mwisho ya mwaka 2021 ukiwa umelala utakapo amka usingizini mwaka 2022 kama utakuwa ulikuwa umelela basi wewe ni wa mwaka 2022 sio huyu wa mwaka huu. Na kama hauta lala utafika hadi 2022 basi ujue mpo wawili wewe wa 2021 na wewe wa 2022 ila utakapo lala basi wewe wa 2021 hautaamka tena utayeyuka atakaye amka ni wewe wa 2022.
Kuna jamaa aliwahi kusafiri kwenda maisha ya mbele ( time traveling [emoji3466]) alipo fika alijiona yeye wa mwaka huo alio enda japo dunia haikumuamini lakini hii inaonesha kuwa mwaka alio enda ulikuwa na yeye mwingine wa mwaka huo ambaye alimkuta ashazeeka.
Ni suala ambalo lakufikirika sana, lakini ukifikiria kuhusu time traveller utanielewa zaidi. Ndiyo maana hata zile movie za kurudi nyuma au kwenda mbele zinamuonesha mtu aliye rudi nyuma au kwenda mbele pamoja na mwingine yeye wa mwaka huo alio enda kuuona.
Swali la kujiuliza kwanini kama mwaka Jana kuna kitu kilikuumiza bado kitaendelea kukuumiza Wakati wewe sio yule aliye umizwa, au kwanini kama ulikuwa una makovu au alama yoyote haitafutika. Majibu yake ni kuwa mungu tayari anayo taswila yako ambayo alikuumbia ya maisha yako yote, maisha ya binadamu ni kama script ambayo tayari ishaandikwa. Mungu ni mmoja binadamu kwasasa tupo billion 7 na zaidi ujiulize anawezaje kutuangalia kila siku kila mmoja wetu pasipo kukosea, utaniambia wapo malaika wanao tuangalia inaweza kuwa kweli labda lakini hata malaika sio wote wazuri maana hata shetani alikuwa akiishi mbinguni akaasi kwahiyo siaamini kama mungu ataziamini taarifa zote atakazo pewa na malaika.
Sasa je? Mungu anawezaje kutuangalia wote, majibu ni kuwa kila binadamu maisha yake tayari yashatengenezwa toka kuzaliwa hadi kufa kwake, kwahiyo kazi ya mungu ni kuendelea kuwaumba wengine, na kazi ya malaika ni kutulinda dhidi ya matatizo yanayo tunyemelea watu wake mungu ambayo wao tayari wanayajua kwa miaka yetu yote ya mbele hadi kufa kwetu.
Hiyo inaitwa "grandfather paradox" katika dhana ya time travel hii ndio hoja tatanishi inayoumiza kichwa na kui challenge time tavelKwanza hongera kwa hoja yako.ok twendelee, Ukisema maisha ya binadam ni script ambayo ilisha andikwaa so humans they have no future only God have.