Ukweli kuhusu maisha ya India

Yeah ni kweli South India is so welcoming. Nimesoma Ayurvedic Medicine and Hinduism..Though it was a 3 months training.. Kwa wanao taka mademu wa kihindi , they may also opt to visit Mauritius..
Naona WaMauritius hawana tofauti na wahindi
 
hahaha nimcheka kwa sauti hadi nimejamba
 
Wahindi waliozaliwa Europe au America wana vitamaduni Kama vya wazungu wanajichanganya hata na foreigner.

Lakini hao wa kuzaliwa kabisa India wanafatisha sana tamaduni zao.
 


UKWELI KUHUSU MAISHA YA KIMAPENZI INDIA, MAISHA SIO MAPENZI TU, MIMI NINGEJUA WAONGELEA MAPENZI TU NISINGEFUNGUA UZI WALA!
 
Ila yote tisa kumi India siyo wenzetu kimaendeleo !
Kule kile baada ya mita chache kuna hospitali, kuna ma Malls n.k
 

Mkuu swala la bei usibishe coz inategemea unaishi maeneo yepi!! Wapo mpaka wa zaidi ya hapo na wana watalii wanawanunua bila hofu!! Hata mie nilipiga mmoja wa Amar Market Nagar kisela nikampa rupee 2,500 kutoka 30,000/ lakini tulielewana mapema na akaridhia ni vile nae alitamani atest ngozi nyeusi so hata bure ningepata kama ningekomaa.
 

Attachments

  • Screenshot_20180530-095918.png
    40.4 KB · Views: 91
Hivi wale Akina Sharukani,san deo na Amita bachan na Raveena ndio wa India gani? Au ndio wale wanabagua watu kwao...
 
Mimi nilidhani utatueleza mambo ya maana ya kiuchumi na kimaendeleo kumbe upo ktk uchafu wa zinaaa. Bado upo na mawazo ya miaka 1960 to 1970.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…