bushland JF-Expert Member Mar 6, 2015 7,015 4,982 Jun 13, 2016 #3 nzalendo said: Click to expand... Asanteeee
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Jun 13, 2016 #5 Mkuu naona nyie ni kizazi cha gado kumbe mpo wengi, hongera sana
MTV MBONGO JF-Expert Member Feb 18, 2016 1,261 1,222 Jun 13, 2016 #7 kweli! ila bila Mungu hufiki. maana njiani kuna vikwazo vingi sana.
The Monk Platinum Member Oct 12, 2012 20,183 45,759 Jun 13, 2016 #10 Amavubi said: vipi kuhusu pancha ya baiskeli?> Click to expand... Umeyaona hayo mabonde na milima mkuu? Sio tu pancha, baskeli yenyewe huenda akaiacha kwa vile isivyofaa kwa chochote.
Amavubi said: vipi kuhusu pancha ya baiskeli?> Click to expand... Umeyaona hayo mabonde na milima mkuu? Sio tu pancha, baskeli yenyewe huenda akaiacha kwa vile isivyofaa kwa chochote.
Victor wa happy JF-Expert Member Apr 24, 2013 11,660 11,647 Jun 14, 2016 #11 BILGERT said: Kabisaa, Click to expand... Bw bilgert tupe uzoefu