Ukweli kuhusu kutongoza

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
945
Reaction score
772
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi zinazoponda wanaume wa siku hizi kuwa hawajui kutongoza.

Nikashangaa sana sasa kama wanaume hawajui kutongoza inakuwaje wanawapata wanawake.

Challenge nInayoleta jamvini kama kweli kuna mafundi wa kutongoza wamewahi kuwatongoza embu weka humu hiyo mitongozo inayoweza shinda tuzo za Grammy ili vijana wajifunze.

Nitahitimisha kuwa mlikuwa mnazoza tu baadae.
 
wewe ni domo zege sema tukupe mistari.


swissme
 
Wanawake wa siku hzi hawatongozwi wanakuja wenyewe we una score tu.

Ni jinsi unavyojiweka...play like ur the prize/trophy to be won utaja niambia. Otherwise mtaishia kurusha vocha tu wenzio wala. Tehe
Mwanaume ukiona unaambiwa hujui kutongoza basi huna hela au bahili..
Technic zenu zina uhusiano??
 
Wanawake wa siku hzi hawatongozwi wanakuja wenyewe we una score tu.

Ni jinsi unavyojiweka...play like ur the prize/trophy to be won utaja niambia. Otherwise mtaishia kurusha vocha tu wenzio wala. Tehe

Your Genius dude
 
"Kutongoza kuna Maneno & Mazingira yake, wewe jiulize mtu anatongoza demu asubuhi hata mswaki hajapiga guess nn kitatokea?"
 
kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake

Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake

Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu

Huyo alivunja rekodi aiseeeeee...............!!!!!
 
ivi wanawake wametengeneza formula ya kutongoza? bas waiandike na waitangaze ili ifuatwe
 
Kutongoza hakuna kanuni bwana, kwanza miili yenu mtongozaji na mtongozwaji huwa inaongea zaidi kama mko pamoja na maneno huwa ni kujazia tu. Hii ni maalum kwa watu wanaojaribu kuanzisha uhusiano katika uhalisia tu. sio wajasiriamali wamapenzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…