Mkuu hapa alikuwa anamaanisha purukushani za ndoa nyingi zilivyo sasahivi kuwa unakuwa huna uhakika wa mali ile muda wowote linaweza tokea loloteUnajua mkuu Bujibuji, kodi ya mwaka hapa mjini unajenga nyumba ya kueleweka huko tunakotoka.
Binafsi kama naweza kupanga mjini na wazazi wangu hawaishi sehem nzuri siwezi kabisa kuwa comfortable hata kama naishi Oysterbay/Masaki.
Mwita Maranya anachotaka ni amani na furaha kwenye ndoa yake, unadhani mwaJ akiwa na furaha ya kuona wazazi wake wanaishi kwenye nyumba nzuri hajisikii vizuri? na hilo haliongezi uimara na upendo kwenye ndoa?
Kuna baraka zake unapowakumbuka wazazi kwa kuwapatia sehem nzuri ya kuishi hasa kama uwezo unaruhusu, usiseme kujenga kwa wakwe ni kama kujenga kwenye hifadhi ya barabara mkuu.
Mkuu hapa alikuwa anamaanisha purukushani za ndoa nyingi zilivyo sasahivi kuwa unakuwa huna uhakika wa mali ile muda wowote linaweza tokea lolote
Daahhh umeongea neno zuri sanaUmkondo wa Swize kabla ya kuoa unatakiwa umtangulize Mungu, wanawake wengine wana mikosi, na wengine wana pepo la ufukara.
Haya mambo si rahisi rahisi aiseeee
thubutu,mbona tukimpeleka marehemu kwao tukikuta nyumba za ajabu tunamlaumu marehemu hakujenga kwao wakati alikuwa na pesa,kwanini tusiwaseme wazazi kwanini hawakujenga sio wazazi wote wana uwezo wa kujenga nyumba nzuri ndo maana nguvu zao wanawekeza ktk elimu ya watoto wao ili wawakomboe kimaisha,kama una akili timamu huwezi kuwatelekeza wazazi wako kijijini kisa hawakujijenga kabla hawajazeeka hizi ni porojo tu ukute ww umeshajenga huko unatuzuga hapa.
Aisee umeongea ukweli, kuna jamaa namfahamu alipewa zawadi ya kiwanja kwenye harusi na baba mkwe. Kajitahidi kasimamisha ghorofa yake 1. Siku hizi kila akigombana na mkewe neno la kwanza ni "kama umenichoka uondoke uniache na nyumba yangu na wanangu"kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
Ok ukichukulia huo mfano sawa ila ukichukulia hiyo content yake kwenye uzi ni kwamba ishu sio kujenga ila ishu risk ya kujenga ukweni akaifaninisha ni sawa na risk ya kujenga kwenye hifadhi ya barabara kwa maana muda wowote linaweza tokea lolote. nahilo swala la kuwaachia hao wazazi wa mke hata kama mkiachana ndio huko kujenga kwenye hifadhi ya barabarani kwaana inakuwa tena sio mali yako ukisoma thread ya 86 naona jamaa ameelewa kama nilivyofikiri na katolea mfano kabisaSasa kamanda ukishawajengea nyumba hiyo si ni mali yao? au mkiachana na wife unachukua kila ulichowahi kuwasaidia?
Kama nimemuelewa Bujibuji, amelinganisha kauli ya MwaJ na yangu hapo juu, tatizo la Mwita Maranya kujenga gorofa kwa wakwe kabla ya kujenga kwao na alipoamua kujenga kajenga kibanda.
oa mmachame kama hujajenga tena wanaleta familia nzima ukiishi naye
wachagga sio maskini wa akili kama wewe na hasa hao wamachame nafikiri unawafananisha huwa hawajishindilii kwa watu na ukiwwakuta ni kwa muda tu wanatega ramani aisee i respect those pipo .unawafananisha na wapare wasammbaa na wadigo.
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
Mwanamalundi hizo gharama unamdai nani? mwenzako au wakwezo?Nakubaliana na wewe 100%. Mkitalikiana na mwenza wako inaleta tabu na kusumbua sana kudai gharama ya pesa uliyotumia kujenga ukweni.
Mwanamalundi hizo gharama unamdai nani? mwenzako au wakwezo?Nakubaliana na wewe 100%. Mkitalikiana na mwenza wako inaleta tabu na kusumbua sana kudai gharama ya pesa uliyotumia kujenga ukweni.
Mwanamalundi hizo gharama unamdai nani? mwenzako au wakwezo?Nakubaliana na wewe 100%. Mkitalikiana na mwenza wako inaleta tabu na kusumbua sana kudai gharama ya pesa uliyotumia kujenga ukweni.
i agree with you Bujibuji ni lazima kuomba toba sana kwa Mungu ili husikutane na mwanamke mwenye mapepo na majanga mengineUmkondo wa Swize kabla ya kuoa unatakiwa umtangulize Mungu, wanawake wengine wana mikosi, na wengine wana pepo la ufukara.
Haya mambo si rahisi rahisi aiseeee
no, no mama yangu hawezi kuishi pangoni halafu nikaenda kujenga ukweni, thats impossible kamanda BujibujiKutafuta ujiko tu, mjini huna hata kiwanja, baba yako anaishi pangoni wewe unakopa hela saccos ukajenge ukweni
Mi thijaelewa, unamzungumzia mwanamke kujenga ukweni au mwanaume kujenga ukweni? Maana wote, mke na mume wana wakwe...
We KyanaKyoMuhaya, mi sijawahi sikia mwanamke kujenga ukweniWotewote Ngalikihinja, mapenzi acha tu, ukiwa na wazazi wenye upendo lazima wajengewe.
Kama hali ndiyo hiyo (kwa Wamakonde) afadhali kuoa Mchagga.BONGOLALA mademu wa kichagga na kimakonde wepi noma?
Nasikia ukioa Mmakonde, ukaenda Mtwara kikazi, basi imekula kwako, kurudi kwenu ni sawa na embe lililoanguka ulirudishe mtini.
Hata mimi nilikua siamini kama naweza kujenga ukweni lakini sijui walinilisha nini bwana nimewajengea na gari ya kubeba majani ya ngombe nimewanunulia. Unachezea Mpalestina wewe?