mizy gajo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 801
- 888
Sina maneno mengi ya kuandika ila natumaini kila mtu ni mzima humu...
Niende moja kwa moja kwenye swali juu ya mtazamo ninao tamani kufahamu kuhusu kipaji..
je kipaji ni kitu special mtu anajaliwa na muumba wake kulingana na imani?
au kipaji ni sehemu ya mazoea juu ya jambo fulani unalolifanya mara kw mara hadi kufika stage ya uperfect.?
ukitoa majibu kulingana na imani utueleze kwa namna gani mtu unaweza ukagundua kipaji chako kwa sababu inasemekana chachu kubwa ya umaskini ni kutokutambua kipaji..na kwa mfano ukifanya jambo mara kwa mara mpaka ukaliweza na kuwa imara tunaweza tukaita kipaji..?
karibuni kwa michango..