Ukweli kuhusu kilimo cha machungwa

Mkuu muheza unalimia wapi tuonane tubadilishane mawazo...mimi nipo kwa fungo ndio nimeanza mwanzo kabisa kwa upande wa kilimo cha machungwa.
 
Ndugu unalimia wapi, kwa taarifa yako mchungwa unaweza kubeba mpaka machungwa 1500 ingia mashambani uhakikishe
Kiwango kinachojulikana na sisi wataalamu ni Kati ya matunda 250 na 350, tena si kwa mti wenye umri wa miaka mitatu. Kwa mti wa umri huo hata machungwa mia moja hayafiki.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo langu siyo kubishana mkuu. Nakifafamu ninachozungumza. Naona namba imepanda toka 800 hadi 1500. Nimekagua mashamba ya machungwa tanga na morogoro kwa miaka 27. Kama unapata hayo machungwa 800 hadi 1500
kwa mti mmoja nakupongeza Sana! Ila uwezekano wa unachosema kuwa sahihi ni chini ya asilimia 0.0000001.
 
Ndugu unalimia wapi, kwa taarifa yako mchungwa unaweza kubeba mpaka machungwa 1500 ingia mashambani uhakikishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mchungwa ni kama mazao megi tu ya kudumu zaidi ya miaka mitatu, mzao wa kwanza huwezi kupata idadi kubwa ya matunda.

Kadiri mizao/uzao au miaka au miezi inavyo ongezeka ndipo idadi ya matunda huongezeka hadi kufikia peak, kisha mazao yanaanza kupungua.

Mimi nabisha kwa sauti kubwa kuwa mchungwa wa miaka mitatu unaweza kufikisha machungwa 800 hadi 1500.
Ongea ukweli tu kama kweli una uzoefu wa kulima machungwa au mazao mengi ya kudumu.
 
Hapo sijasema kwamba mchungwa wa miaka mitatu kwamba unafikisha machungwa 800 bali nimesema mchungwa unaweza kufikisha machungwa 800 mpaka 1500 ndugu kuna mbegu inaitwa jafa inaweza kuzaa mpaka machungwa 3000 kwa mti mmoja ila tu haina soko na pia kumbuka mchungwa unaweza kufikisha mpaka miaka 30 ya maisha yake
Mkuu mchungwa ni kama mazao megi tu ya kudumu zaidi ya miaka mitatu, mzao wa kwanza huwezi kupata idadi kubwa ya matunda.

Kadiri mizao/uzao au miaka au miezi inavyo ongezeka ndipo idadi ya matunda huongezeka hadi kufikia peak, kisha mazao yanaanza kupungua.

Mimi nabisha kwa sauti kubwa kuwa mchungwa wa miaka mitatu unaweza kufikisha machungwa 800 hadi 1500.
Ongea ukweli tu kama kweli una uzoefu wa kulima machungwa au mazazo mengi ya kudumu.
 
Mavuno ya mwaka sasa msasa huo
20200510_125800.jpg
 
Hapo sijasema kwamba mchungwa wa miaka mitatu kwamba unafikisha machungwa 800 bali nimesema mchungwa unaweza kufikisha machungwa 800 mpaka 1500 ndugu kuna mbegu inaitwa jafa inaweza kuzaa mpaka machungwa 3000 kwa mti mmoja ila tu haina soko na pia kumbuka mchungwa unaweza kufikisha mpaka miaka 30 ya maisha yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaffa na mipamba kata mzee hiyo itakupotezea utajiri,weka kitu valencia ukishindwa msasa upige hela fasta wakenya ndio soko letu kuu milele na milele.
 
Nimelima machungwa nyumbani kwangu. Miche imeshambuliwa na wadudu hasa kipindi cha mvua. Nitumie dawa ipi? Japokuwa nisingependa kutumia hizi za kiwandani.... kupunguza madhara yatokanayo na dawa hizo za viwandani. Asante
Miche umeipanda lini??
hiyo miche ni ya milimao au michungwa??
 
Miche Ina zaidi miezi 7 .... Limao, chungwa na chenza. Nimeona Leo pia Kuna ukungu mweupe kwenye hasa kwenye Limao.
Piga picha uweke hapa ili tuexperience by seeing itakuwa rahisi kidogo.
 
Kiwango kinachojulikana na sisi wataalamu ni Kati ya matunda 250 na 350, tena si kwa mti wenye umri wa miaka mitatu. Kwa mti wa umri huo hata machungwa mia moja hayafiki.
Jamaa s mkulima,machugwa 800-1000 MTU WA miaka 3?Hata kama WA miaka 7uwezi pata matunda 1000.Labda anaipigia Debe miche yake au dalali WA ardhi
 
Mkuu mchungwa ni kama mazao megi tu ya kudumu zaidi ya miaka mitatu, mzao wa kwanza huwezi kupata idadi kubwa ya matunda.

Kadiri mizao/uzao au miaka au miezi inavyo ongezeka ndipo idadi ya matunda huongezeka hadi kufikia peak, kisha mazao yanaanza kupungua.

Mimi nabisha kwa sauti kubwa kuwa mchungwa wa miaka mitatu unaweza kufikisha machungwa 800 hadi 1500.
Ongea ukweli tu kama kweli una uzoefu wa kulima machungwa au mazazo mengi ya kudumu.
Huyo hana uzoefu wowote kwenye machungwa kasome google tu kwenye mafunzo ya motivation speakers.

Mimi nina uzoefu kidogo wa machungwa nilianza kulima toka mwaka 2006 Katika miaka yote hiyo ni mara chache sana kukuta mti umefika walau machungwa mia 600 nasema hivyo nimebahatisha mara chache sana mchungwa kuwa na machungwa kiwango hicho na hii hutegemea na msimu na msimu na utunzaji wa machungwa.

Labda aseme hiyo breed inatoa kiwango hicho vinginevyo ni uongo tu. Mchungwa wa miaka mitatu ukijitahidi sana labda 50 mpaka 70 tofauti na hapo haiwezekani
 
Ni kweli mkuu,mchungwa wa miaka 3 hata machungwa 10 ni bahati mno,kiukweli yanaanzaga machache sema tu ukichuma kwa ujumla shamba zima la ekari 1 au 2 ndio yaweza fika 600 au 1000 kutokana na ukubwa na wingi wa miti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom