Ukweli kuhusu Kansa

Tatizo mwanadam amemuacha Mungu kutegemea akili zake mwenyewe, hii ndio shida.
Kabla ya viwanda magojwa makubwa kama haya, haya kuwepo.

Na tutaendelea kuangamia, mpaka tutakapofunguka na kumrudia Mungu
 
"Keep your eyes wide open.It is the world of evils and devils."There are so many conspiracy in the world,it is the matter of time,everything will be revealed.
 
Kuishi kwingi ni kuona na kusikia mengi.

Nishawahi kupita sehemu nikakuta watu wa dini flan wameitisha mkutano wanachambua maswala ya kidunia na Freemasons. Nakumbuka walisema kwamba AIDS ni mchongo wa Marekani kupunguza idadi ya watu ili wacontrol dunia.

Nakumbuka kabisa hadi leo walisema kwamba the real meaning ya AIDS ni "American Idea of Destroying Sex"

Leo pia naambiwa na Kansa ni mchongo wa wazungu ili wapige hela.

Ngoja nivute subira nisikie kesho watasema ugonjwa gani nao ni mchongo.
 
inaweza kusaidia, kuponya, kutibu au kuzuia ...

Kuuma Misuli

Ugonjwa wa Asidi Reflux (Reflux Acid)

Ugonjwa wa Arthritis

Pumu

Fizi za Kutokwa na damu

Majipu

Ugonjwa wa utumbo

Saratani

Cholesterol

Ugonjwa wa Uchovu wa muda mrefu

Kuvimbiwa

COPD

Ugonjwa wa Crohns

Ugonjwa wa ngozi

Kisukari

Diverticulum

Eczema

Fibromyalgia

Malengelenge sehemu za siri

Gout

Homa ya nyasi

Bawasiri na Rundo la Kutokwa na Damu

VVU

Shughuli ya kuzuia virusi na uvimbe: Vitendo hivi vinaweza kutokana na athari zisizo za moja kwa moja au za moja kwa moja. Athari ya moja kwa moja ni kutokana na kusisimua kwa mfumo wa kinga na athari ya moja kwa moja ni kutokana na anthraquinones. .anthraquinone aloin huzima virusi mbalimbali vilivyofunikwa kama vile herpes simplex, varisela zosta na influenza.

Shinikizo la damu

Cystitis

Ugonjwa wa Utumbo unaowaka (IBS)

Maumivu ya Viungo

Mawe kwenyeFigo

Ini

Lupus

Malaria

Migraine
.Milia

Pancreatitis

Psoriasis

Ugonjwa wa Rhematism

Scalds

Matatizo ya Sinus

Athari za Ngozi kutoka kwa Tiba ya Mionzi

Tendinitis

Neuralgia ya Trigeminal

Colitis ya Vidonda

Vidonda vya Mdomo

Vidonda vya Ngozi

Vidonda vya Tumbo

Mshipa wa Varicose

Inaweza kusaidia mifupa yako kuwa na afya kadri umri unavyosonga

Husaidia misuli yako kufanya kazi vizuri

Afya ya usagaji chakula

Bidhaa hii ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20 , amino acid 18 na enzymes.

.0787291773
 
Mimi baada ya hizi kelele nimekuja na msimamo mmoja tu..

Ni mwendo wa kula viazi,mihogo,mbatata,karanga,korosho na vyakula vyote vya asili.
Nikiumwa kifua napiga ttangawizi

Nikiwa na shida kuubwa kweli ndo naweza kwenda hospitali kwa sababu naamini katika kula vyakula vya asili vinajenga kinga ambayo itakufanya isiwe rahisi kupata infection.
 
Kiswahili cha google translate kigumu kweli
 
yani hata mm nimeshindwa kielewa hilo jiwe gumu ndio tunda gani
 
Ukitumia Akili yako Vizuri Utayaona haya yote na hauto Danganywa tena. Mnajua haya Mambo yana sababu zake na sababu zenyewe ni Mipaka ya Akili tuliyo wekewa kwenye Elimu, Dini, Afya, Siasa na Uchumi hivi ndiyo vikwazo kwa sababu vinaudanganyifu wa kutosha.
 
Tena haya mambo tunaambiwa hayana cure lakini ukweli tunaweza kutumia akili zetu tukatafuta cure.

Hata concepts mbalimbali za kisayansi nahisi kuna pahala inahitwji tuzirejee upyaa..
 
Covid 19 nao mchongo t
 

1. Una level gani ya Elimu ?

2. Make sure haupo brainwashed, Umeshawahi kutembelea taasisi ya Kansa pale Ocean Road kabla ya kuandika hii makala ?
3. Mbona vyakula ulivyotaja, ndiyo vyakula vinavyotumika na watanzania , au na Wewe utakuja kikombe cha Loliondo.


Njoo basi tujadili kuhusu kansa, usije uka mislead watu. Ni kama wale wanaosema hakuna kitu ukimwi, ni Mpango wa mzungu Tu

What is cancer ? Kwa understanding yako wewe?
 

Wewe unajua Diagnosis ya Kansa inavyofanywa? Yaani do you know what it takes hadi we reach to conclusion that , you have a cancerous cell in your body ., do you know ?
Conspiracy ni mbaya sana
 

Haya tuambie tubahitaji kutumia mg ngapi za Vit B17 ili watu wasidevelop malgneous tumor cells ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…