L Lughano1 Senior Member Joined May 19, 2013 Posts 125 Reaction score 2 Nov 5, 2015 #1 Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?
Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?
KIWAVI JF-Expert Member Joined Jan 12, 2010 Posts 1,817 Reaction score 700 Nov 5, 2015 #2 Komaa na maisha yako achana na mambo ya wagu Nani alikuambia huyo umjuaye ndio babako ?
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,055 Reaction score 16,509 Nov 5, 2015 #3 Ukishajua itakusaidia nin?
N Nshemetse JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 436 Reaction score 26 Nov 5, 2015 #4 Lughano1 said: Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili? Click to expand... Namfahamu baba yake Jacqeuline Ntuyabaliwe Mengi miaka mingi sana. Mimi na Dr. Ntyuabaliwe tulizaliwa kijiji kimoja cha Kalinzi, Kigoma na tulianza shule pamoja enzi hizo. Dada yake Dr. Ntuyabaliwe anaitwa Regina na anaishi pale Kalinzi hadi leo.
Lughano1 said: Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili? Click to expand... Namfahamu baba yake Jacqeuline Ntuyabaliwe Mengi miaka mingi sana. Mimi na Dr. Ntyuabaliwe tulizaliwa kijiji kimoja cha Kalinzi, Kigoma na tulianza shule pamoja enzi hizo. Dada yake Dr. Ntuyabaliwe anaitwa Regina na anaishi pale Kalinzi hadi leo.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Nov 5, 2015 #5 Huyo ni muha wa kigoma sio mtz kivipi, japo mama ake ndo alikua shombe sijui shombe wa wapi
Ghosryder JF-Expert Member Joined Jul 6, 2014 Posts 10,708 Reaction score 4,577 Nov 5, 2015 #6 Majungu sasa hayo!
T The Elephant JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 4,356 Reaction score 4,654 Nov 5, 2015 #7 Lughano1 said: Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili? Click to expand... Kwani Kinana wazazi wake unawafahamu? Anayejua atujuze pia
Lughano1 said: Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili? Click to expand... Kwani Kinana wazazi wake unawafahamu? Anayejua atujuze pia
B Bidyanguze_ JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 888 Reaction score 5 Nov 5, 2015 #8 Evelyn Salt said: Huyo ni muha wa kigoma sio mtz kivipi, japo mama ake ndo alikua shombe sijui shombe wa wapi Click to expand... Ninavyofahamu mimi bibi yake mzaa mama wa Kylnn alikuwa mswahili na babu yake alikuwa mzungu. Ndio maana mama yake Kylnn ni shombeshombe.
Evelyn Salt said: Huyo ni muha wa kigoma sio mtz kivipi, japo mama ake ndo alikua shombe sijui shombe wa wapi Click to expand... Ninavyofahamu mimi bibi yake mzaa mama wa Kylnn alikuwa mswahili na babu yake alikuwa mzungu. Ndio maana mama yake Kylnn ni shombeshombe.
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,029 Reaction score 10,025 Nov 5, 2015 #9 Huyo ni mtu wa nkulunziza.
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Nov 5, 2015 #10 Mijitu mingne bhana, ww mbona baba yako ni Gwajima lakn ww unalijua hilo?
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 Nov 5, 2015 #11 Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Nov 5, 2015 #12 Elungata said: Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili Click to expand... Na iitwe press conference tupewe mrejesho
Elungata said: Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili Click to expand... Na iitwe press conference tupewe mrejesho
K kiker JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 1,042 Reaction score 595 Nov 5, 2015 #13 Elungata said: Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili Click to expand... Mbona wewe unaonekana kama mjaluo wa kenya?..uhamiaji mfuatilieni huyu..anaonakana ni nyan'gau huyu!
Elungata said: Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili Click to expand... Mbona wewe unaonekana kama mjaluo wa kenya?..uhamiaji mfuatilieni huyu..anaonakana ni nyan'gau huyu!
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 660 Nov 5, 2015 #14 Acha majungu wewe mtoto wa kiume!
K Kasenytenbda JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 332 Reaction score 3 Nov 5, 2015 #15 Jamani muogopeni Mungu semeni ukweli. Jina la mama yake Jacqueline ni Elizabeth Nutting.
T Tutubert JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 512 Reaction score 0 Nov 5, 2015 #16 Elungata said: Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili Click to expand... The Elephant said: Kwani Kinana wazazi wake unawafahamu? Anayejua atujuze pia Click to expand... Kwanini tunafanya siasa kwenye kitu hichi. Tuwaache wazazi wa Jackie wapumzike.
Elungata said: Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili Click to expand... The Elephant said: Kwani Kinana wazazi wake unawafahamu? Anayejua atujuze pia Click to expand... Kwanini tunafanya siasa kwenye kitu hichi. Tuwaache wazazi wa Jackie wapumzike.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 7,759 Reaction score 14,474 Nov 5, 2015 #17 hata nkapa kwake nchumbiji
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Nov 5, 2015 #18 Hata mimi nifah sio Mtanzania......kazi kwako. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Nov 5, 2015 #19 Teh Teh hiyo unayo sema sintofahamu umeifahamia wapi?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Nov 5, 2015 #20 Kasenytenbda said: Jamani muogopeni Mungu semeni ukweli. Jina la mama yake Jacqueline ni Elizabeth Nutting. Click to expand... Mmmh we nae, sasa hapa uongo ni upi na huo ukweli wako ni upi
Kasenytenbda said: Jamani muogopeni Mungu semeni ukweli. Jina la mama yake Jacqueline ni Elizabeth Nutting. Click to expand... Mmmh we nae, sasa hapa uongo ni upi na huo ukweli wako ni upi