Ukweli kuhusu hii forum ya jukwa la elimu

Ukweli kuhusu hii forum ya jukwa la elimu

maharco

Senior Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
116
Reaction score
35
Mimi tangu nianze kuomba misaada ya kielimu humu ndani sijawahi kusaidiwa hata kidogo mfano kuna siku niliomba mwenyewe ana Link ya vitabu vya CPA mpaka Leo kimya na members wapo tuu pia niliomba mwenyewe ana maswali ya CPA ya kuhusu bonds kimya.

Ila MTU akianzisha tuu Uzi wa kumponda kiongozi yeyote wa kisiasa comments hata 10000 atapata huwezi amini Mimi huwa nashangaa Mara mwingine utaona yuko busy kumponda mtoa Uzi eti inaonekana wewe ni jipu eti kisa kakosea typing error tuuu au hujui kingereza yaani hakuna msaada jukwaa la elimu
 
wengine hatujasoma hayo mambo tutakutumia nn ndg inabid tumute tu man
 
Pole mkuu inawezekana wale ambao wana uwezo wa kukusaidia hawajapita hapa au hawaja liona. Maombi yako ni either uwe unachukua CPA au unayo mkononi. Watu wa aina yangu hata wangetaka kukusaidia hatujui tuanza wapi. Usikate tamaa uliza tena kwa kuframe maswali yako kwa njia tofauti na uliyotumia mwanzo unaweza kupata response.
 
hili jukwaa limejaa wanafunzi wa sekondari na vyuo so ukiuliza vitu vya ki utu uzima kidogo watamute
 
Jamaniii naombaa kuuliza second selection zinatoka lini wapendwa mwaka huu maan nimesbri sana mpaka nimechoka
 
Naombenii mnishauri kuhusu second selection mwaka huu zinatoka kweliiii au tukalime tu
 
Back
Top Bottom