Ukweli kuhusu fermists(virusi)

Ukweli kuhusu fermists(virusi)

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,163
Reaction score
33,647
Kumekua na sumu mbaya sana inayosambazwa na wanawake wapotoshaji wanaojiita "wapigania haki sawa" katika andiko langu nitawatambua kwa neno "virusi". Hawa virusi wamefanikiwa kuchota akili za wanawake wengi sana kitu kilichopelekea athari mbaya kwenye jamii zetu miaka ya hapa karibuni mfano ongezeko kubwa la talaka na ndoa kuvunjika, ongezeko la single mothers, ongezeko la matukio ya kikatili wanayofanyiana wanandoa n.k, hii ni kwa sababu hakuna mwanaume timamu atakaekubali kuwa chini ya mwanamke au kulingana mamlaka na mwanamke ndani ya nyumba sasa pale unapolazimisha kwenda tofauti na iyo kanuni ya asili ndipo matatizo kama hayo yanajitokeza. Nitafafanua aina 3 za virusi.

1. Ambao thamani yao imeshuka kwenye soko la mahusiano. Hawa ni wale virusi ambao umri umeshaenda wapo kwenye miaka 35-40+ . Katika umri walionao ni ngumu kumpata mwanaume wa kutulia nae na kufanya maisha (hakuna kidume atanunua gazeti jioni) kwaiyo kujipa moyo hawa virusi wanajifanya wapigania haki hili ionekane hana mwanaume kwa sababu hayumbishwi kimisimamo lakini ukweli ni kwamba anaishi na maumivu makali moyoni na hawawezi kurudisha miaka nyuma na kulekebisha pale walipokosea. Hakuna mwanamke asiependa kuwa na mwanaume wa kumfariji, kumwelezea namna siku yake ilivyoenda na kumpa ulinzi n.k

2. Walioachika. Hawa ni wale virusi ambao wameachika na wameshindwa ku-move on kwaiyo bado wanaishi na heartbreaking. Wanaingia kwenye movements za 50/50 kutokana na kushindwa kuondoa kile kinyongo moyoni na kutumia hizi harakati kama defensive mechanism ionekane mume au wanaume kwa ujumla ndo wenye matatizo. Ukiona status za mwanamke whatsapp au instagram zenye caption za i love myself, am ceo of my life, am superwoman, and the likes ujue ni yeye.

3. Wenye ulimbukeni wa mafanikio. Ukweli ni kwamba kiasili mwanamke hana stamina ya kuhimili nyakati zake za mafanikio kwa busara. Tangu mdogo mwanamke ameshakuzwa kwa mawazo kwamba atakapovunja ungo ataondoka nyumbani na kwenda kutunzwa na mumewe ikiwa yeye atatakiwa kumtii na kumuheshimu mumewe kama malipo ya matunzo anayoyapata sasa pale ambapo anapata mafanikio na kuweza kujitunza mwenyewe anapatwa na ulimbukeni wa kuona kwamba hakuna nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake ivyo haoni ulazima wa kumheshimu na kumtii mumewe maana kama ni matunzo yeye pia anao uwezo wa kujitunza.

Ukweli ni kwamba wanachokifanya hawa virusi sio kupigania haki sawa ila ni kupandikiza kiburi na jeuri kwa wanawake wenzao pamoja na kuchochea uadui wa kijinsia kitu ambacho kinapelekea migogoro katika familia na ndoa baada ya mahusiano ya wenzao kufa na kuwa wapweke kama wao basi hapo ndo hawa virusi wanapata relief ya moyo, waswahili wanasema "msiba wa wengi ni sherehe". Na kama unavyojua ukiyumbisha ngazi ya familia kwenye jamii basi umeyumbisha generation husika yote. Kwa usalama wa maadili ya vizazi vijavyo mamlaka husika zinapaswa kuwaangalia hawa virusi kwa jicho la tatu na kuwapiga breki au kuwapa msaada wa kisaikolojia.

Hawa virusi wanahitaji msaada wa kisaikolojia maana tatizo lao ni la kisaikolojia zaidi mbaya zaidi wao wenyewe hawajui kama wana matatizo na wanaona wanachokifanya ni sahihi maana mara nyingi matatizo ya kiakili muhusika huwa ajui kama ana matatizo mfano mgonjwa wa akili pale milembe hajijui kama ana matatizo ya akili.

Wosia kwa dada zangu ambao mpo 15-30+ nyie ndio kundi ambalo hawa virusi wanalilenga kwaiyo msikubali kuingia kwenye mtego wao. Hawa virusi wana tabia ya kujipost mitandaoni sehemu za starehe au wapo locations nzuri na caption za kuonesha kwamba wana furaha kuishi maisha ya uhuru ukweli ni kwamba wana-fake tu furaha kiuhalisia wanaishi na maumivu makali sana moyoni kwaiyo msipotoshwe na maisha yao ya kwenye mitandao na media nyie bado mna safari ndefu katika career na mahusiano yenu. Muheshimu, mpende na mtii mwanaume wako, jua nafasi yako kama mwanamke ndani ya nyumba na mwachie mwanaume wako nguvu ya utawala ndani ya nyumba. Elimu yako, mafanikio yako kiuchumi yasikupotoshe hata dunia ipinduke kamwe haiwezekani mwanamke na mwanaume wakawa na nguvu sawa vinginevyo mwanaume aamue tu kujishusha kwa sababu yupo na wewe kimasilahi kwa lugha ya kisasa wanaitwa mario.

Kaka zangu pia kwa andiko hili sijamaanisha kuwapa go ahead ya kuwafanyia undava wake zenu. Mpende mkeo, mjali, msikilize, timiza wajibu wako kama kichwa cha familia. Mdhibiti mkeo na binti yako kuangalia sana vipindi vyenye mahudhui kama ya wanawake live ya joyce kiria na tamthilia nyingi za kizungu na kifilipino mahudhui mengi ya vipindi kama hivi ni sumu kwenye ustawi wa ndoa na mahusiano katika jamii zetu za kiafrika na pale ambapo mkeo anapokengeuka jaribu kuwa mkali au kutumia nguvu kidogo ila usitumie violence.
 
Masculinity arguments.
 
Mkuu waachie usiwashauri watashituka waache tu wajiue/wajinyonge Kwa ulimi wao shingoni
 
Ni tamaduni na jamii zao ndo wanafunzwa wakidanganywa na kivuli cha elimu ya kukariri angalia kimambi, kiria wengi wanatokea kanda moja .
 
Feminism ideology imeanzishwa ili kuzika na kupambana na Patriarchy yaani mfumo dume.

Ila ukitazama kisayansi na kitaalamu katika eneo la sociology na psychology utagundua kuwa feminism haina maudhui ya kumsaidia mwanamke katika kutafuta haki wala stahiki zake.

Feminism kwa ilipofikia sasa imekuwa ni expression ya feminity freedom. Tazama most feminists wanafanya nini na muda katika maisha yao. Utaona wazi wana ratiba za kupoteza muda bila kutazama future itakuwaje.

Utasikia travel the world and get to know yourself better. Kwahiyo atakuwa anafanya kazi anasave na kutumia pesa kukata tiketi za ndege na kulipia mahotel ili kupata accomodations. Mwisho wa siku for what gain other than kujifurahisha na kutengeneza personal memories ambazo hazina social, political, wala financial benefits zaidi ya kufurahisha nafsi.

Majority ya ajenda za feminists ni kumtoa mwanamke katika natural order na kumpa artificial order ya kuishi kupitia artificial and fake perceptions. So mfano, wanamsawishi binti atumie muda wake wa ujana yaani from early years za miaka 18 hadi 30 akifanya mambo ambayo hayahusiani na maisha ya mwanamke kimsingi mfano kupata watoto kwa wakati, kujifunza malezi, kujifunza mahusiano ya ndoa, kujifunza social skills za kuishi kama mwanamke anayejihehsimu katika jamii etc.

Feminism ni adui wa patriarchy na matriarchy ambazo ndizo mifumo rasmi na natural za kimaisha kati ya mtu mume na mtu mke.

Mwenzake na feminism ni Masculinism. Hii masculinism ni expression ya uanaume katika namna ya kukana benefits za mwanamke same as ilivyo feminism expression ya uanamke katika namna ya kukana benefits za mwanaume katika maisha.

Masculinism kwasasa imeanza kupata nguvu na feminists wamejua wanaichukia kwasababu wanajua itakuwa muarobaini wa feminism, yaani mwenye kiburi atakutana na mjeuri.

Kwasasa Masculinism ideology inakwenda kwa jina la MGTOW yaani Men Go Their Own Way ikimaanisha wanaume wa mataifa ya magharibi ambao wamekerekwa na kutoridhishwa na mifumo ya serikali especially US na UK , Canada, Sweeden and other western countries kushikamana zaidi na Feminism agenda na kuwakandamiza wanaume especially kwenye maeneo ya ndoa kupitia sheria za child custody, child support, alimony, restraining order etc.

Hizi sheria zimekuwa zikitumiwa vibaya na wanawake kuwasumbua wanaume kwasababu wanakiburi cha kutetewa na serikali.

So kwasasa MGTOW movement imeanza kujiestablish kwa kasi ambapo wanaume wamejiamulia kutojihusisha na wanawake na kuishi selfishly kama vile feminists.

Wanatumia muda kutafuta pesa na kuwekeza hiyo pesa kama mitaji ya biashara na faida inayopatikana wanawekeza katika kufurahia maisha kwa kununua magari ya bei kama Ferrari, BMW etc yaani gari za bakora, badala ya kununua nyumba ya familia wananunua Studio apartments za kisasa zinazojengwa kibachelor sana na zinakuwa za kijanja sana, lakini pia bajeti nyingine wanawekeza katika kulijilipia huduma bora za afya kwenye vituo vya afya, wanajoin gyms na kuweka miili fiti, na kudate na wanawake chini ya Female Wall age yaani below 25 years of age au below 30 years for fun not permanent commitment relationships.

Hii inawatoa katika kadhia ya kugombana na wanawake katika maeneo yanayowalazimu kisheria. Pia inawapunguzia bills ambazo si lazima mfano, kulipia gharama za babysitter, kulipia mortgage yaani mikopo ya nyumba, kulipia bills za nyumba kama umeme, gas, heat, Wifi, cable tv, medical cover, life insurance, na vikolokolo vingi.

Majority ya hawa Masculinits wanakiri maisha yao yameimprove with less stress and responsibilities sababu ya kuishi nje ya mfumo ambao umekuwa confined au umetengenezwa kuwabana wao zaidi na kubenefit mwanamke atakae kuwa nae.

Wanakiri savings , imeongezeka, wanaweza kumudu bills na gharama za maisha ya comfort na luxury, wanaweza kudate wanawake wadogo zaidi na wenye energy nzuri zaidi ya mapenzi wasio na matatizo au mawenge ya kisaikolojia, wana higher magnitude ya financial liquidity na cash flow zime improve na wanapata muda wa kukimbiza ndoto zao nyingi na kuzimanage kama kufungua migahawa, mahotel, firms za tech, etc.

Pia takwimu zinaonyesha wanaume wengi ambao wamefuata mfumo huu wa MGTOW wamekuwa na muonekano wa age young na sio ku age old. Kuna mojawapo ya video ilikuwa inaonyesha tofauti ya wanaume wa miaka ya nyuma na sasa, mwanaume wa miaka ya nyuma miaka 35 hadi 50 anakuwa ni babu. Ila hawa wasasa mtu anamiaka 50 ila mtazame mfano R. Kelly, 50cent, Nick Cannon, etc the likes.

Hii imewafanya wawe life coaches kwa young males ambao kwasasa wanajifunza namna mpya za kuexist katika jamii hii ambayo Patriarchy system imechezewa na MATRIARCHY system ipo on autopilot kama Masculinits.

Kimsingi hii kitu ikishika kasi sidhani kama kuna feminists ataeweza shika mic kuongea lolote bila kupewa majibu ya kumkalisha chini.
 
Ni kweli mkuu kuna haja ya wanaume kuangalia namna ya kupambana kivyao vyao maana ukiangalia hata mifumo ya kiutawala na sheria inakandamiza sana jinsia ya kiume na hata hii kitu wanawake wanajua thats why most of them they abuse it they act childish in the way can't be tolerated but they know they will get along with it coz mfumo upo upande wao mfano child support mtoto akiwa kwa mama baba anawajibika gharama la malezi lakini mtoto akiwa kwa baba mama hawajibiki kwa chochote bila kujali uwezo wao kifedha huu ni utapeli ambae anaishi na mtoto ndio awajibike gharama za malezi kama mwanamke anataka mwanae aishi maisha ya gharama zaidi ambayo awezi kuyamudu na anafikiri baba wa mtoto anaweza basi ampeleke mtoto akakae kwa baba yake kuliko kusumbuana kwa child support ni upigaji tu maana asilimia kubwa inaishia kwa matumizi ya mama mtoto hata ukiangalia taasisi zinadai zinatetea haki za watoto almost zote zimetilia mkazo kwa watoto wa kike, leo kuna nafasi maalumu kwa ajiri ya wanawake bungeni, hata kwenye kuapply kazi kuna matangazo yanayosema women are more encouraged to apply hii sio sawa kabisa
 
Sijasoma yote ila kupitia ndoa ya zuhra yunusi nimeamini wanawake wengi wanatamani ndoa sema ndio hivyo wanajifanya sitaki nataka nasikia bibie yule enzi zake alikuwa anaringa sana leo jioni ameamua kuoa yeye maana pale huwezi kusema ameolewa
 
Feminism ideology imeanzishwa ili kuzika na kupambana na Patriarchy yaani mfumo dume.

Ila ukitazama kisayansi na kitaalamu katika eneo la sociology na psychology utagundua kuwa feminism haina maudhui ya kumsaidia mwanamke katika kutafuta haki wala stahiki zake.

Feminism kwa ilipofikia sasa imekuwa ni expression ya feminity freedom. Tazama most feminists wanafanya nini na muda katika maisha yao. Utaona wazi wana ratiba za kupoteza muda bila kutazama future itakuwaje.

Utasikia travel the world and get to know yourself better. Kwahiyo atakuwa anafanya kazi anasave na kutumia pesa kukata tiketi za ndege na kulipia mahotel ili kupata accomodations. Mwisho wa siku for what gain other than kujifurahisha na kutengeneza personal memories ambazo hazina social, political, wala financial benefits zaidi ya kufurahisha nafsi.

Majority ya ajenda za feminists ni kumtoa mwanamke katika natural order na kumpa artificial order ya kuishi kupitia artificial and fake perceptions. So mfano, wanamsawishi binti atumie muda wake wa ujana yaani from early years za miaka 18 hadi 30 akifanya mambo ambayo hayahusiani na maisha ya mwanamke kimsingi mfano kupata watoto kwa wakati, kujifunza malezi, kujifunza mahusiano ya ndoa, kujifunza social skills za kuishi kama mwanamke anayejihehsimu katika jamii etc.

Feminism ni adui wa patriarchy na matriarchy ambazo ndizo mifumo rasmi na natural za kimaisha kati ya mtu mume na mtu mke.

Mwenzake na feminism ni Masculinism. Hii masculinism ni expression ya uanaume katika namna ya kukana benefits za mwanamke same as ilivyo feminism expression ya uanamke katika namna ya kukana benefits za mwanaume katika maisha.

Masculinism kwasasa imeanza kupata nguvu na feminists wamejua wanaichukia kwasababu wanajua itakuwa muarobaini wa feminism, yaani mwenye kiburi atakutana na mjeuri.

Kwasasa Masculinism ideology inakwenda kwa jina la MGTOW yaani Men Go Their Own Way ikimaanisha wanaume wa mataifa ya magharibi ambao wamekerekwa na kutoridhishwa na mifumo ya serikali especially US na UK , Canada, Sweeden and other western countries kushikamana zaidi na Feminism agenda na kuwakandamiza wanaume especially kwenye maeneo ya ndoa kupitia sheria za child custody, child support, alimony, restraining order etc.

Hizi sheria zimekuwa zikitumiwa vibaya na wanawake kuwasumbua wanaume kwasababu wanakiburi cha kutetewa na serikali.

So kwasasa MGTOW movement imeanza kujiestablish kwa kasi ambapo wanaume wamejiamulia kutojihusisha na wanawake na kuishi selfishly kama vile feminists.

Wanatumia muda kutafuta pesa na kuwekeza hiyo pesa kama mitaji ya biashara na faida inayopatikana wanawekeza katika kufurahia maisha kwa kununua magari ya bei kama Ferrari, BMW etc yaani gari za bakora, badala ya kununua nyumba ya familia wananunua Studio apartments za kisasa zinazojengwa kibachelor sana na zinakuwa za kijanja sana, lakini pia bajeti nyingine wanawekeza katika kulijilipia huduma bora za afya kwenye vituo vya afya, wanajoin gyms na kuweka miili fiti, na kudate na wanawake chini ya Female Wall age yaani below 25 years of age au below 30 years for fun not permanent commitment relationships.

Hii inawatoa katika kadhia ya kugombana na wanawake katika maeneo yanayowalazimu kisheria. Pia inawapunguzia bills ambazo si lazima mfano, kulipia gharama za babysitter, kulipia mortgage yaani mikopo ya nyumba, kulipia bills za nyumba kama umeme, gas, heat, Wifi, cable tv, medical cover, life insurance, na vikolokolo vingi.

Majority ya hawa Masculinits wanakiri maisha yao yameimprove with less stress and responsibilities sababu ya kuishi nje ya mfumo ambao umekuwa confined au umetengenezwa kuwabana wao zaidi na kubenefit mwanamke atakae kuwa nae.

Wanakiri savings , imeongezeka, wanaweza kumudu bills na gharama za maisha ya comfort na luxury, wanaweza kudate wanawake wadogo zaidi na wenye energy nzuri zaidi ya mapenzi wasio na matatizo au mawenge ya kisaikolojia, wana higher magnitude ya financial liquidity na cash flow zime improve na wanapata muda wa kukimbiza ndoto zao nyingi na kuzimanage kama kufungua migahawa, mahotel, firms za tech, etc.

Pia takwimu zinaonyesha wanaume wengi ambao wamefuata mfumo huu wa MGTOW wamekuwa na muonekano wa age young na sio ku age old. Kuna mojawapo ya video ilikuwa inaonyesha tofauti ya wanaume wa miaka ya nyuma na sasa, mwanaume wa miaka ya nyuma miaka 35 hadi 50 anakuwa ni babu. Ila hawa wasasa mtu anamiaka 50 ila mtazame mfano R. Kelly, 50cent, Nick Cannon, etc the likes.

Hii imewafanya wawe life coaches kwa young males ambao kwasasa wanajifunza namna mpya za kuexist katika jamii hii ambayo Patriarchy system imechezewa na MATRIARCHY system ipo on autopilot kama Masculinits.

Kimsingi hii kitu ikishika kasi sidhani kama kuna feminists ataeweza shika mic kuongea lolote bila kupewa majibu ya kumkalisha chini.
Blaza huwa unamaliza kila kitu
 
Kanuni ya asili haiwezi vunjika mwanamke kama huna utii kuwa single mama usimuharibie mwenzio cheti chake cha ndoa.
Hakuna utii Hakuna ndoa.
 
Muasisi wa taasisi ya ndoa aliweka vitu vitatu Ili ndoa idumu.
Upendo, heshima na utii.
Na KILA mmoja kapewa wajibu wake SAsa unapotaka kuvuruga utaratibu huo haiwezi kuwa ndoa.
Mwanaume wajibu wake ni kuitunza familia yake, kutunza means ( pesa) Ili utimize mahitaji ya familia ni lazima utafute kipato. Mwanaume ni ATM ya familia.
Mwanamke ni kulea familia, mwanamke ni mratibu wa shughuli zote za familia, mwanamke ni katibu wa mume. Thus mafanikio yote ya mume nyuma yake yupo mke na kinyume chake pia. Mwanaume akikosa amani toka kwa mke wake hawezi kuwa na maendeleo kichwa kinawaza migogoro zaidi kuliko kuwaza maendeleo.
 
Ndoa ni mume na mke lakini mwanamke anabeba 80% ya utimilivu wa familia. Mume hata awe wa hovyo lakini kama mwanamke kasimama familia itasonga, ushuhuda wengi mama ndio waliohangaika ikiwemo kupika hd pombe kujiuza Ili wao wasome baada ya baba kukimbia au kufariki.
 
Joyce koria kashindwa ndoa mbili sababu ameshindwa kuishi leo anaishi mapito aliyopitia hii ndio shida ya watu wengi waliopitia manyanyaso kwenye makuzi yao wanashindwa kuachilia ule uchungu waliopitia thus hata wakipata mtu sahihi bado watamvuruga ataondoka. Ukichunguza asilimia kubwa ya wanawake wengi watesaji na wanyanyasaji wakubwa wanakuwa walipitia maisha hayo yaani kupitia kunyanyasika kwa ndugu au mabosi zao wakiwa kama dada wa Kazi huwa wanakuwa tayari wameshazivaa zile roho za unyanyasaji nao huwa wanyanyasaji wakubwa kwa wengine.
 
Lengo kuu la tathmilia zote zikiwemo season za mapenzi ni kubomoa ndoa hii ni ajenda ya siri either madirector wanajua au wanatumika pasipo jua.
Angalia maudhi yaliyopo kwenye tamthilia hizo bila kujali lugha iwe za kiswahili, kifilipino, korea nk lengo kuu ni upotoshi kwa wanawake kwa sababu wao wanacopy wayaonayo na kuyaingiza kwenye maisha yao halisi na wakiyaingiza nature inakataa ndipo misuguano inapojitokeza.
Hizi tamthilia zinawabomoa zaidi wanawake kuliko kuwajenga. Tamthilia zote hazifunzi heshima na utii adabu na upendo nyingi ni matusi, makelele, kauli chafu, vurugu, maneno machafu, ubinafsi, tamaa zaidi za kupata. Angalia kama Kibibi wa huba dstv tabia zile za ukali na ukosefu wa staha ndizo uingizwa kwenye akili ya mwanamke nae kwa kuona Yale anayofundishwa uyabeba na kwenda kupractice kwenye maisha halisi kuivunja ile kanuni ya asili kifuatacho ni talaka hapa lengo la ajenda nyuma ya tathmilia limetimia. Lengo kuu la talaka ni kuisambaratisha familia na familia ikishambaratika Jamii usambaratika Jamii ikishambaratika taifa usambaratika thus tuna viongozi wa hovyo sababu wanatoka kwenye familia za hovyo zisizosambaratika kisha taifa zima ndio uathirika. Taifa ujengwa na familia.
 
Feminism ideology imeanzishwa ili kuzika na kupambana na Patriarchy yaani mfumo dume.

Ila ukitazama kisayansi na kitaalamu katika eneo la sociology na psychology utagundua kuwa feminism haina maudhui ya kumsaidia mwanamke katika kutafuta haki wala stahiki zake.

Feminism kwa ilipofikia sasa imekuwa ni expression ya feminity freedom. Tazama most feminists wanafanya nini na muda katika maisha yao. Utaona wazi wana ratiba za kupoteza muda bila kutazama future itakuwaje.

Utasikia travel the world and get to know yourself better. Kwahiyo atakuwa anafanya kazi anasave na kutumia pesa kukata tiketi za ndege na kulipia mahotel ili kupata accomodations. Mwisho wa siku for what gain other than kujifurahisha na kutengeneza personal memories ambazo hazina social, political, wala financial benefits zaidi ya kufurahisha nafsi.

Majority ya ajenda za feminists ni kumtoa mwanamke katika natural order na kumpa artificial order ya kuishi kupitia artificial and fake perceptions. So mfano, wanamsawishi binti atumie muda wake wa ujana yaani from early years za miaka 18 hadi 30 akifanya mambo ambayo hayahusiani na maisha ya mwanamke kimsingi mfano kupata watoto kwa wakati, kujifunza malezi, kujifunza mahusiano ya ndoa, kujifunza social skills za kuishi kama mwanamke anayejihehsimu katika jamii etc.

Feminism ni adui wa patriarchy na matriarchy ambazo ndizo mifumo rasmi na natural za kimaisha kati ya mtu mume na mtu mke.

Mwenzake na feminism ni Masculinism. Hii masculinism ni expression ya uanaume katika namna ya kukana benefits za mwanamke same as ilivyo feminism expression ya uanamke katika namna ya kukana benefits za mwanaume katika maisha.

Masculinism kwasasa imeanza kupata nguvu na feminists wamejua wanaichukia kwasababu wanajua itakuwa muarobaini wa feminism, yaani mwenye kiburi atakutana na mjeuri.

Kwasasa Masculinism ideology inakwenda kwa jina la MGTOW yaani Men Go Their Own Way ikimaanisha wanaume wa mataifa ya magharibi ambao wamekerekwa na kutoridhishwa na mifumo ya serikali especially US na UK , Canada, Sweeden and other western countries kushikamana zaidi na Feminism agenda na kuwakandamiza wanaume especially kwenye maeneo ya ndoa kupitia sheria za child custody, child support, alimony, restraining order etc.

Hizi sheria zimekuwa zikitumiwa vibaya na wanawake kuwasumbua wanaume kwasababu wanakiburi cha kutetewa na serikali.

So kwasasa MGTOW movement imeanza kujiestablish kwa kasi ambapo wanaume wamejiamulia kutojihusisha na wanawake na kuishi selfishly kama vile feminists.

Wanatumia muda kutafuta pesa na kuwekeza hiyo pesa kama mitaji ya biashara na faida inayopatikana wanawekeza katika kufurahia maisha kwa kununua magari ya bei kama Ferrari, BMW etc yaani gari za bakora, badala ya kununua nyumba ya familia wananunua Studio apartments za kisasa zinazojengwa kibachelor sana na zinakuwa za kijanja sana, lakini pia bajeti nyingine wanawekeza katika kulijilipia huduma bora za afya kwenye vituo vya afya, wanajoin gyms na kuweka miili fiti, na kudate na wanawake chini ya Female Wall age yaani below 25 years of age au below 30 years for fun not permanent commitment relationships.

Hii inawatoa katika kadhia ya kugombana na wanawake katika maeneo yanayowalazimu kisheria. Pia inawapunguzia bills ambazo si lazima mfano, kulipia gharama za babysitter, kulipia mortgage yaani mikopo ya nyumba, kulipia bills za nyumba kama umeme, gas, heat, Wifi, cable tv, medical cover, life insurance, na vikolokolo vingi.

Majority ya hawa Masculinits wanakiri maisha yao yameimprove with less stress and responsibilities sababu ya kuishi nje ya mfumo ambao umekuwa confined au umetengenezwa kuwabana wao zaidi na kubenefit mwanamke atakae kuwa nae.

Wanakiri savings , imeongezeka, wanaweza kumudu bills na gharama za maisha ya comfort na luxury, wanaweza kudate wanawake wadogo zaidi na wenye energy nzuri zaidi ya mapenzi wasio na matatizo au mawenge ya kisaikolojia, wana higher magnitude ya financial liquidity na cash flow zime improve na wanapata muda wa kukimbiza ndoto zao nyingi na kuzimanage kama kufungua migahawa, mahotel, firms za tech, etc.

Pia takwimu zinaonyesha wanaume wengi ambao wamefuata mfumo huu wa MGTOW wamekuwa na muonekano wa age young na sio ku age old. Kuna mojawapo ya video ilikuwa inaonyesha tofauti ya wanaume wa miaka ya nyuma na sasa, mwanaume wa miaka ya nyuma miaka 35 hadi 50 anakuwa ni babu. Ila hawa wasasa mtu anamiaka 50 ila mtazame mfano R. Kelly, 50cent, Nick Cannon, etc the likes.

Hii imewafanya wawe life coaches kwa young males ambao kwasasa wanajifunza namna mpya za kuexist katika jamii hii ambayo Patriarchy system imechezewa na MATRIARCHY system ipo on autopilot kama Masculinits.

Kimsingi hii kitu ikishika kasi sidhani kama kuna feminists ataeweza shika mic kuongea lolote bila kupewa majibu ya kumkalisha chini.
Under MGTOW ukitaka kuwa na mtoto/watoto unafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom