.mkuu mheshimiwa katoa mfano ikiwa umesimama juu ya gar na sio upo ndan ya gariBro fanya utafiti kwanza, unasema asilete habari za kwenye vitabu wakati hata wewe hayo mambo umeyasoma sehemu fulani....
Ukiwa kwenye gari ambalo lipo kwenye mwendo na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na lile gari.... ndio maana gari likifungwa breki ghafla utajikuta kama unavutwa kwenda mbele ni kwa kuwa wewe bado unakuwa upo kwenye mwendo wakati gari linakuwa limesimama. Pia hiyo ndio sababu ikitokea gari limegonga kitu mfano ukuta watu waliopo ndani ya gari kurushwa kupitia kioo cha mbele, hiyo ni kwa kuwa gari linakuwa limesimama ghafla huku likiwaacha wao wakiwa kwenye mwendo.
mfano wako huo uliotoa ni kwamba ukisimama juu ya hilo gari ambalo lipo kwenye mwendo halafu ukaruka juu basi utatua pale pale kwa kuwa na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na hilo gari.
mkuu msome Newton na umuelewe
Muulize kwann kuna kupwa na kujaa kwa baharmtoa mada unamaanisha kuna sehemu ukifika utasema apa dunia imeishia?,na kama ipo flat na hakuna gravity kwanini maji ya bahari ayamwagiki uko mwisho ni sawa na kumwaga maji juu ya meza?
Mi mwenyewe nashangaa eti dunia inazunguka !
Mbona mi kila siku niko pale pale sizunguki nikafika hata china ?
Unaakili sana wwMKUU..! HUO NI UPOTOSHAJI.
Kuhusu speed
Unasema; > Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie. Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
Hebu fikiria upo kwenye gari lenye mwendo fulani (lets say 80km/hr),na ndani kuna nzi anaranda randa tu humo, tuchukulie huyo nzi yupo mbele kwa dereva na anataka aifike siti ya nyuma, je, kwa huo mtazamo wako unafikiri ataweza kuifikia hiyo siti kwa kuruka na kuganda hewani na kusubiri siti ya nyuma imfikie mahali alipo kisha atue, bila yeye kusafikiri kutoka mbele hadi nyuma kwenye hiyo siti?
Pili, Kuna ndege inaitwa North American X-15, nafikiri ndiyo ndege inayoongoza kwa speed kubwa, inatembea kwa 7,200 km/h.
View attachment 466011
Hiyo sio speed ndogo mkuu, sasa tuchukulie upo humo ndani, unataka kuniambia utaifeel hiyo speed eti kwa sababu tu ni kubwa?
Kuhusu gravity
Unasema;Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
Kwanza, unatakiwa ujue kuwa force ya gravity huathiriwa na medium (fluids), hapa nina maanisha kuwa kitu kikiwa kwenye fluid(hewa au kimiminika) yeyote huwa kuna force inayokinzana na gravity, inaitwa upthrust, kiwango cha upthrust kinategemea nature ya fluid yenyewe(viscosity), pamoja na mass ya kitu chenyewe.
Halafu pia ujue kuwa gravity haijashindwa kushikilia vitu vidogo, hao wadudu na ndege wanaoruka huruka kwa msaada wa hewa (inayo-offer upthrust kwa msaada wa mabawa yao), and trust me, isingekuwa hewa wasingeweza kuruka. Na huwa wanatumia nguvu kubwa kupata momentum ya kuruka juu kukinzana na gravity, hadi watakapopata desired momentum ndio wanarelax. Lakini kwa wadudu wadogo sana garavity huwa inaeffect ndogo sana kwao(kama jinsi ilivyo kwa unyoya mwepesi unaoelea angani),hii ni kwa sababu hewa inakuwa inaoffer upthrust kubwa inakaribiana mno na gravity. Ndio maana wadudu kama mbu,utaona kama hawathiriwi na gravity, ila sio kweli. Effect huwa ipo ila nayo inakuwa cancelled na upthrust ya hewa.
jamaa inabidi alete hoja za kujitoshelezaMuulize kwann kuna kupwa na kujaa kwa bahar
Kama dunia kwel ingekuwa flat hayo maji yanayondoka yasingerudi
Niambie utatumia ndege gani mie ntakukatia tiketi! Kama hutaki basi. Hunidai hatudaianiHebu nichangieni hela,mwaka 2022 niende mars nione niwaletee mrejesho😀
Hao NASA waongo tu.wanaatuchorea DUARA kwa rangi zao halafu wanasema wamefika mwezini kupiga picha dunia kumbe ni fake photos,hakuna kitu km hicho dunia bado ni tambarare kinachoonekana kuwa dunia ni DUARA ni muundo wa Jicho pamoja na horizon tu.kwani hata hizo camera nazo zimetengenezwa kwa mfumo wa Jicho.hakuna kitu kama hicho wazungu hasa hao NASA waongo wakubwa ,hakuna hata picha moja waliowahi kupiga kuonesha dunia kiuhalisia ,wao wanaona mabara tu ambayo kwa jicho wanaona ni DUARA lkn sio DUARA
Dunia kama ni DUARA maisha yasingewezekana. .
Dhana ya dunia kuwa ni Duara inabidi tutafakari upya. Kuwaamini wakina newton katika dunia ya leo yataka moyo. Mfano mdogo, Katika ramani ya Dunia inayoonekana picha yake huwa inaonesha dunia nzima, ingekuwa duara tusingeona dunia nzima kwa ukubwa wa dunia. Pili, hakunaga picha kutoka chini iliyopigwa tuone umbo la antctica, tatu kuna mbingu ya blue juu tunaiona, kila sehemu ya dunia ukienda unaiona, je nayo ni duara.FAHAMU UKWELI KUNTU KUHUSU DUNIA YETU.
Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.
Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;
> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.
> Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
> Dunia inazunguka kuelekea east, hvyo ndege ikipaa west na ikawa inalekea east na ikawa inatembea 500miles/hour basi basi destination yake inatakiwa iwe inaiacha mara mbili maana spidi ya dunia kuzunguka ni kubwa.
kwa upande wa gravity.
> Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
ukweli kuhusu flight mbalimbali
> Hakuna flight inayopita juu ya antarctica, mtu akitokea south africa anaenda south america lazma apitie kwanza europe ili kurefuel kwanini akati kutokana na shape ya dunia yao huyo mtu anaeza akanyooka moja kwa moja.
> Kwa dunia ya flat ukitoka south africa ni straight hadi south america na europe ipo katikati.
> Kwa dunia ya flat antarctica continent ndo kwenye ukingo wa dunia na ukipitiliza umetoka duniani, hivyo basi hata wataalam wanaamini ya kwamba ndege ya malaysia na yenyewe ilipoteza dira na kupita juu ya antarctica hvyo kutoka nje ya dunia.
Wanasema pia ili mwezi upatwe lazma dunia iwe katikati ya jua na mwezi.. ila kuna cases kibao mwezi unapatwa na watu ambao kwa bado ni mchana wanauona mwez juu.....
Hayo ni machache tu kwa leo... the shape of the earth its computerized.. the picture of earth from the moon its made in hollywood studios.
kabisa yaanUmejibu Vyema.
Aliyeleta Uzi hakuwa na akili nadhani alifeli Fizikia sekondary
wewe jamaa ni Genius, heshima yako mkuu.
Umetisha sana mkuu cha kushangaza wanaobisha wao hawaleti fact na kutuonesha uhalisia wa hiyo dunia flati inaumbo gani, mraba,mviringo au pembetatu au iregural shape tusubiri atujibuKama dunia ni flat tuambie umbo lake likoje ni mviringo kama sarafu au ni mstatili au umbo gani?? Na kama ni mstatili au duara mfano wa sarafu tupia picha tuone ukingo wake.
In addition hapo ulipoongelea ..ni kwamba Effect ya gravity ina depend na factor moja kubwa sana ambayo ni weight( uzito) wa kitu ...MKUU..! HUO NI UPOTOSHAJI.