tusitumie notes za shule hapa mkuu... okay kwa mfano upo juu ya semi trailer alaf gari linatembea, upo kwenye kichwa cha semi unataka ufike mwsho! ukiruka juu si utafika mwsho wa semi trailer kama linatembea? wanasayansi wanasema maji ya bahari yanashikiliwa na gravity? hyo gravity ni kubwa kiac kwamba haao samaki wacngeweza kumove.MKUU..! HUO NI UPOTOSHAJI.
Kuhusu speed
Unasema; > Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie. Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
Hebu fikiria upo kwenye gari lenye mwendo fulani (lets say 80km/hr),na ndani kuna nzi anaranda randa tu humo, tuchukulie huyo nzi yupo mbele kwa dereva na anataka aifike siti ya nyuma, je, kwa huo mtazamo wako unafikiri ataweza kuifikia hiyo siti kwa kuruka na kuganda hewani na kusubiri siti ya nyuma imfikie mahali alipo kisha atue, bila yeye kusafikiri kutoka mbele hadi nyuma kwenye hiyo siti?
Pili, Kuna ndege inaitwa North American X-15, nafikiri ndiyo ndege inayoongoza kwa speed kubwa, inatembea kwa 7,200 km/h.
View attachment 466011
Hiyo sio speed ndogo mkuu, sasa tuchukulie upo humo ndani, unataka kuniambia utaifeel hiyo speed eti kwa sababu tu ni kubwa?
Kuhusu gravity
Unasema;Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
Kwanza, unatakiwa ujue kuwa force ya gravity huathiriwa na medium (fluids), hapa nina maanisha kuwa kitu kikiwa kwenye fluid(hewa au kimiminika) yeyote huwa kuna force inayokinzana na gravity, inaitwa upthrust, kiwango cha upthrust kinategemea nature ya fluid yenyewe(viscosity), pamoja na mass ya kitu chenyewe.
Halafu pia ujue kuwa gravity haijashindwa kushikilia vitu vidogo, hao wadudu na ndege wanaoruka huruka kwa msaada wa hewa (inayo-offer upthrust kwa msaada wa mabawa yao), and trust me, isingekuwa hewa wasingeweza kuruka. Na huwa wanatumia nguvu kubwa kupata momentum ya kuruka juu kukinzana na gravity, hadi watakapopata desired momentum ndio wanarelax. Lakini kwa wadudu wadogo sana garavity huwa inaeffect ndogo sana kwao(kama jinsi ilivyo kwa unyoya mwepesi unaoelea angani),hii ni kwa sababu hewa inakuwa inaoffer upthrust kubwa inakaribiana mno na gravity. Ndio maana wadudu kama mbu,utaona kama hawathiriwi na gravity, ila sio kweli. Effect huwa ipo ila nayo inakuwa cancelled na upthrust ya hewa.
cjasema gravity imeshndwa shikilia maji..... alaf pia water takes its own level,, kama dunia ipo globe maji yangekuwa yanamwagika chini...Gravity kushindwa kushikilia maji ya bahari!!!!? Jibu ni :: "Every thing remain in its state of rest or motion unless outside force acted upon!" Newtons 1st Law
Chini ambayo ni wapi???? Mkuu dunia haipo juu ya meza. Nenda kasome kwa vizuri universe! Then urudi hapa kurekebisha ulichoandika.cjasema gravity imeshndwa shikilia maji..... alaf pia water takes its own level,, kama dunia ipo globe maji yangekuwa yanamwagika chini...
Bro fanya utafiti kwanza, unasema asilete habari za kwenye vitabu wakati hata wewe hayo mambo umeyasoma sehemu fulani....tusitumie notes za shule hapa mkuu... okay kwa mfano upo juu ya semi trailer alaf gari linatembea, upo kwenye kichwa cha semi unataka ufike mwsho! ukiruka juu si utafika mwsho wa semi trailer kama linatembea? wanasayansi wanasema maji ya bahari yanashikiliwa na gravity? hyo gravity ni kubwa kiac kwamba haao samaki wacngeweza kumove.
Umejibu Vyema.MKUU..! HUO NI UPOTOSHAJI.
Kuhusu speed
Unasema; > Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie. Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
Hebu fikiria upo kwenye gari lenye mwendo fulani (lets say 80km/hr),na ndani kuna nzi anaranda randa tu humo, tuchukulie huyo nzi yupo mbele kwa dereva na anataka aifike siti ya nyuma, je, kwa huo mtazamo wako unafikiri ataweza kuifikia hiyo siti kwa kuruka na kuganda hewani na kusubiri siti ya nyuma imfikie mahali alipo kisha atue, bila yeye kusafikiri kutoka mbele hadi nyuma kwenye hiyo siti?
Pili, Kuna ndege inaitwa North American X-15, nafikiri ndiyo ndege inayoongoza kwa speed kubwa, inatembea kwa 7,200 km/h.
View attachment 466011
Hiyo sio speed ndogo mkuu, sasa tuchukulie upo humo ndani, unataka kuniambia utaifeel hiyo speed eti kwa sababu tu ni kubwa?
Kuhusu gravity
Unasema;Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
Kwanza, unatakiwa ujue kuwa force ya gravity huathiriwa na medium (fluids), hapa nina maanisha kuwa kitu kikiwa kwenye fluid(hewa au kimiminika) yeyote huwa kuna force inayokinzana na gravity, inaitwa upthrust, kiwango cha upthrust kinategemea nature ya fluid yenyewe(viscosity), pamoja na mass ya kitu chenyewe.
Halafu pia ujue kuwa gravity haijashindwa kushikilia vitu vidogo, hao wadudu na ndege wanaoruka huruka kwa msaada wa hewa (inayo-offer upthrust kwa msaada wa mabawa yao), and trust me, isingekuwa hewa wasingeweza kuruka. Na huwa wanatumia nguvu kubwa kupata momentum ya kuruka juu kukinzana na gravity, hadi watakapopata desired momentum ndio wanarelax. Lakini kwa wadudu wadogo sana garavity huwa inaeffect ndogo sana kwao(kama jinsi ilivyo kwa unyoya mwepesi unaoelea angani),hii ni kwa sababu hewa inakuwa inaoffer upthrust kubwa inakaribiana mno na gravity. Ndio maana wadudu kama mbu,utaona kama hawathiriwi na gravity, ila sio kweli. Effect huwa ipo ila nayo inakuwa cancelled na upthrust ya hewa.
Mkubwa nakutia moyo..FAHAMU UKWELI KUNTU KUHUSU DUNIA YETU.
Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.
Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;
> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.
> Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
> Dunia inazunguka kuelekea east, hvyo ndege ikipaa west na ikawa inalekea east na ikawa inatembea 500miles/hour basi basi destination yake inatakiwa iwe inaiacha mara mbili maana spidi ya dunia kuzunguka ni kubwa.
kwa upande wa gravity.
> Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
ukweli kuhusu flight mbalimbali
> Hakuna flight inayopita juu ya antarctica, mtu akitokea south africa anaenda south america lazma apitie kwanza europe ili kurefuel kwanini akati kutokana na shape ya dunia yao huyo mtu anaeza akanyooka moja kwa moja.
> Kwa dunia ya flat ukitoka south africa ni straight hadi south america na europe ipo katikati.
> Kwa dunia ya flat antarctica continent ndo kwenye ukingo wa dunia na ukipitiliza umetoka duniani, hivyo basi hata wataalam wanaamini ya kwamba ndege ya malaysia na yenyewe ilipoteza dira na kupita juu ya antarctica hvyo kutoka nje ya dunia.
Wanasema pia ili mwezi upatwe lazma dunia iwe katikati ya jua na mwezi.. ila kuna cases kibao mwezi unapatwa na watu ambao kwa bado ni mchana wanauona mwez juu.....
Hayo ni machache tu kwa leo... the shape of the earth its computerized.. the picture of earth from the moon its made in hollywood studios.
Hakuna kitu kama hicho...!tusitumie notes za shule hapa mkuu... okay kwa mfano upo juu ya semi trailer alaf gari linatembea, upo kwenye kichwa cha semi unataka ufike mwsho! ukiruka juu si utafika mwsho wa semi trailer kama linatembea? wanasayansi wanasema maji ya bahari yanashikiliwa na gravity? hyo gravity ni kubwa kiac kwamba haao samaki wacngeweza kumove.