Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Vp khs mashirika mengine kama PPF, PSPF,GEPF, LAPF etc, au wagalatia wakiwa 20 muislam mmoja ndo sio udini?? toeni upumbavu wenu hapa!

Hawa watu ni wa kuwasamehe tu maana zao la mfumo kandamizi uliojengwa katika awamu tatu za kwanza za utawala wa nchi hii. Hawawezi kabisa kuamini kuwa kuna muislamu anaweza kushika nafasi yeyote kwenye uongozi wa mashirika au serikali kwasababu ndio mfumo ulivyowajenga kuamini.
 
Mkuu,stop with racisting,,,,,,hv unafuatilia uteuzi anaoufanya Magufuli?Dr alipigiwa kelele sasa keshaondolewa bado mihemko ya nini?
 

Shukrani Mkuu, Niseme ukweli nilishangaa kuwa comment hii ni ya Lusungo? Hahahaha anyway Ukweli utatuweka Huru. Lets Fact speak for themselves na si chuki tu. Laiti Watanzania tungekuwa tunatanguliza Professionals zetu ktk utendaji na utoaji huduma na si imani au kabila la mtu, maybe tungekuwa tunakaribia kuwafikia kina Singapore na Malaysia
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.

Nadhani kama chama CHADEMA mnaweza kulichukua hili kwa kupitia wabunge wenu mkapeleka hoja binafsi bungeni ili Dr Dau achukuliwe hatua kwa kuajili waislamu, wapemba na watu wa Kisarawe. Tusisubiri serikali kwa jambo kama hili maana waislamu, wapemba na watu wa Kisarawe wamejaa pale kwenye shirika nyeti.
 
Je?na teuzi anazofanya Magu nazo tuite udini,acha ubaguzi mkuu,umeenda mbali ukaona udini haitoshi ukaamua kuwagusa mpaka wapemba,duh kuna mijitu mi racist by proffesional
 
ndugu JAGIRO Umetoa joto lako sawa tumesikia... Lakini MIRADI yote inaonekana na itazalisha matunda haswa katika wakati maalum !! (huwezi ukalima leo na ukavuna leo jioni) !!

Halafu nawe JAGIRO una element ya udini na ukabila maana umewalenga wa PEMBA !! jee wao siwatzzz?
jUST BE FAIR !!
 
Siku tukiacha udini hii nchi ndio itapiga hatua.hongera kaka
 
Siku tukiacha udini hii nchi ndio itapiga hatua.hongera kaka
 
Kwa Dr. Dau kuwa na hisia za udini au kuamini kuwa 'waislamu wamedhulumiwa' hilo halina mjadala. Ni mmoja wa watu walioshirikiana na Prof. Njozi wakati wote wapo UDSM kuandika kile kitabu pendwa cha wenzetu 'Mwembechai Killings'. Humo, Njozi kamshukuru Dr. Dau kwa mchango wake.

Hivyo kama anatuhumiwa kwa udini, mimi sishangai. Maana anayotuhumiwa kuyatenda, ndiyo yanayolalamikiwa kwenye hicho kitabu pendwa.
 
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.

Hawa wagalatia wana tabu Sana, halafu dizaini anavyowazungumzia hao wapemba,utadhani wapemba sio RAIA wa tz labda,
 
Sometimes shallow minded people should desist from contributing issues. This guy has laid facts bare.Given the fact that he is from within why should we doubt him?The govt should carry out staff audit,including investigating how employment opportunities were offered.
 

Safari hii mtawekewa mkristo mwenzenu, maana nyinyi ndio wenye hati miliki ya kila kitu, kuhusu wapemba watafukuzwa warudi kwao,maana sio RAIA wa tanzania,so hawana haki ya kuajiriwa ndani ya tz
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Tumeyasema mala nyingi humu juu ya ouzo wa dau ila alijiandaa vizuri sana kujilinda kwenye mitandao na media nyingi kwa kutumia nguvu ya fedha. Tunaomba ufanyike uchunguzi huru bila kumhusisha CAG, kwani ana maslahi binafsi, ili ukweli huu ujulikane. Pesa za wananchi zinachezewa na kikundi cha watu wachache. hii haikubaliki
 
Waandishi wa habari hawawezi kuongea ukweli kuhusu NSSF maana wao ni wanufaika wakubwa wa shirika hilo. NSSF cup ni michezo baina ya vyombo vya habari na NSSF. Ni fursa ya kila mwahabari kupata viposho vya NSSF wakati wahariri wanapelekwa kutembelea miradi ya NSSF iliyoko kila mahali. Hapo nao hupiga hela. Nani atamfunga paka kengele?
 
Wivu tu na umeshajulikana lengo lako.tupe mfano wa vyeo ambavyo viliundwa bila kufuata utaratibu.nashangaa sana mmempiga vita dr dau kaondoka lakin bado mnawashwa.

Wajinga Sana hawa wagalatia
 
Eti ameajiri hadi wapemba!...mleta Uzi Ni mpuuuzi kupitiliza...
 

Jamaa ni mbaguzi na mdini aswa,alivyowataja hao wapemba,utadhani labda sio RAIA was Tanzania, Ana chuki mno ya kidini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…