Hawatokuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfate mila zao. Jamaa hana hata aibu duh! mwambieni aende Hiyo mifuko mingine apime ufanisi wa utendaji dhuluma uzandiki nk. Nenda katafute data msemaji hiyo movie ulikuwa hujajipanga. pengine hujui nchi inaendaje!!
Nadhani kama chama CHADEMA mnaweza kulichukua hili kwa kupitia wabunge wenu mkapeleka hoja binafsi bungeni ili Dr Dau achukuliwe hatua kwa kuajili waislamu, wapemba na watu wa Kisarawe. Tusisubiri serikali kwa jambo kama hili maana waislamu, wapemba na watu wa Kisarawe wamejaa pale kwenye shirika nyeti.
We fala kweli...Umeona Mashirika mengine ya Serikali walivyojaa Wakristo? Ukitaka kuongea chunguza kwanza. Kachunguze TRA, BIMA, PPF na mengine ndipo uje ukaongee hapa
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Ndugu hakuna jinsi dau asifungwe,syo ushabiki ila haki ya mwizi ni kufungwa na mukubwa kitakachomfunga ni viwanja hewa alivyonunua,mashamba yasiyo na tija,over inflated ya cost ya daraja na majengo,ishu ya nida bilioni 20 nk,msitete mijizi eti kwa sababu tu ni dini yako,
Mbona maimu hatetewi,mbona mramba na yona hawakutetewa,mbona DG wa TBS ekelege hamkumtetea.wezi hali zao kifungo tu Hamna namna
katika watu wapumbavu basi we ni mmoja wapo.
katika suala udini ungetoa facts katika shirika la NSSF kuna waislamu wangapi na wakristo wangapi, then ungelinganisha na mashirika mengine ya kijamii. Udaku mpelekee Shigongo hapa tunataka facts. Non sense
kama mtu anasifa ya kuajiriwa lazima aajiriwa bila kujali kigezo cha dini yake. Napata ukakasi kuona watu wanaongea sana pale waislam wengi wanapopata ajira ilhali wanazo hizo sifa za kuajiriwa.mkuu ajira za upendeleo zilianza mwaka 2006 hadi january 2016,hebu fikiria ni kwanini kipindi hicho ndo dau alianza upendeleo,na wote waloajiriwa iwe ni ngazi ya management au officer kurudi chini ni 9:1 sasa ukitaka kujua kusema mashirika mengine yana management wakristu wengi ni kweli ila kwa nssf management na staff wa kawaida ni kama watu wanavyolalamika,ila mwisho umefika sasa tupige kazi wata ji adjust mdogomdogo
nnina mashaka namleta mada mbona kama eneo kubwa amezungumzia dini na ukabila kwa eneo kubwa kwanza naona angesema yeye dini gani alafu tuangalie na japo shirika lingine kama ppf kama kuna wapemba au wapemba aturusiwi kufanya kazi hili bara turudi kwetu sijamuelewa huyu mtu anayeleta hii mada na if mkaicha kwahiyo wapemba sisi sio watanzaniaUKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF
Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.
Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.
Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.
TAHADHARI
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?
- Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.
- Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo
UDINI
- Udini
- Ubadhirifu
- Kushuka kwa ufanisi
- Kuongeza gharama za uendeshaji
Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.
Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.
Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.
- Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.
- Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.
Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.
Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.
Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.
Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.
- Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.
UBADHIRIFU
Hapa ndipo penye uvundo wa karne.
Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.
Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.
Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.
Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!
Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!
Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.
KUSHUKA KWA UFANISI
Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.
Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.
Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.
Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.
KUONGEZEKA KWA GHARAMA
Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.
Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.
RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA
- Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.
- Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
Sahihi kabisa Mkuu, Amewabagua wapemba kama vile si binadamu wanaopaswa kuajiriwa NSSF endapo wana vigezo vilivyotimia. Mleta mada kadhihirisha chuki + ubaguzi.[/QUOTmimi nimeumia sanaaa kwa hii hoja sisi wapemba inaoneka hatuna haki huku bara na huu uislam wetu
Aliyevurunda huyo kapiga picha na raia namba moja Tanzania. wewe na mi chuki yako isiyokuwa na kichwa wala miguu naona unaongeza tu makapu ya ndimu. Uvivu wa fikra ndio unaokutawala mwenzako tena mwanaume mwenzio anazidi kuchanja mbuga kwenye suala la maendeleo wewe baada ya kujifunza uko nyuma ya keyboard unapiga majungu na malalamiko kama kama Punguani. Unaridhika na buku 4 za ufipa.UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF
Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.
Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.
Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.
TAHADHARI
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?
- Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.
- Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo
UDINI
- Udini
- Ubadhirifu
- Kushuka kwa ufanisi
- Kuongeza gharama za uendeshaji
Futa like yangu imekuja kimakosa ...wewe.Na.woote wwenye TABIA chafu Na ushamba Wa kuquote Habariiiii yoote..So.what..andika tu utaeleweka.unamaanisha.Iyo.TOPIC husikaa..Sijui.Ndo kukimbiaa UmandeeMkuu,stop with racisting,,,,,,hv unafuatilia uteuzi anaoufanya Magufuli?Dr alipigiwa kelele sasa keshaondolewa bado mihemko ya nini?
èUKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF