mbatia huyu bwabwa
Watu wa pwani bana! Yaani hakuna wawezacho ila ni MAJUNGU,UVIVU,UONGO,LAWAMA,KUOMBEA MABAYA WALIOFANIKIWA,UMBEA(Kwa hili huwezi tofautisha mwanaume na mwanamke)wote wapika majungu tu,They are more likely in personal attacks than addressing issues.Wanapenda kuishi kimatonyamatonya,wakiomba "FAVOURITISM"siyo kufight binafsi.Hapa hakuna hata wanaojiita wasomi nothing ni walewale.UTAMADUNI WA KIJINGA.Kuna mambo mengi ya kukaa na kuaddress kuhusu maisha yetu binafsi na nchi mpaka sasa sisi kama taifa tunajivunia KUUZA NCHI Tu.Nothing else.Fellow Tanzanians please change.UBAGUZI WONT TAKE YOU SOMEWHERE !

Tatueti matatizo yenu na jamii zetu.Achanaeni na maisha binafsi ya watu hata ninyi mna maisha yenu yakiwekwa public ni afadhali ya hayo majungu mnayopigaWatanzania wengi ukisema ukweli watakwambia ni uchochezi au majungu. Lakini lazima ifike wakati watu wajitambue. Huwezi kujiingiza kwenye bunge kubwa kama hilo la afrika mashariki wakati huna kitu cha kuchangia. Wanatuaibisha sana hawa watu. Na huu mtindo wa kujipachika udaktari upo Tanzania tu. Kwani ni lazima mtu uitwe daktari?
Sio watu wa pwani ni watanzania kwa ujumla wetu ndio tabia zetu ndio maana tunashindwa kuiendeleza nchi tumekalia majungu kuombeana mabaya nk kama ni mbegu ya kupanda basi kuwa mtanzania ni mbengu mbaya ya , wanaadam
Mbunge huyu wa Afrika Mashariki alifukuzwa Marekani na kuzuiwa kuingia nchini humo kwa miaka kumi +,pia inasemekana hayupo sawa kiakili.Anaye mfahamu vizuri atatueleza zaidi.
Mbunge huyu wa Afrika Mashariki alifukuzwa Marekani na kuzuiwa kuingia nchini humo kwa miaka kumi +,pia inasemekana hayupo sawa kiakili.Anaye mfahamu vizuri atatueleza zaidi.
============================
SOURCE: Guardian
Kitendo cha kushurikiana na watu wa Rwanda kumzushia Shy-Rose ni kitendo cha usaliti
Kwa kifupi ni kwamba ukoo wa Kessy wana akili sana nawajuwa vyema, muangalie hata James Mbatia ni Kessy pia.
Huyo Kessy ni dokta feki kama walivyo madokta wengi hapa Tanzania. Ni kweli yeye ni msomi wa Mathematics lakini sio kwa ngazi ya PhD, na ndio maana pale Mlimani walimshtukia na kumtimua. Lakini pia unapoongea naye utagundua kwamba akili yake haipo sawa sawa. Wanaosema ana faili pale Muhimbili inawezekana ni kweli kabisa.
Wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini alifukuzwa Marekani na kupigwa ban kuingia nchini humo tena. Ila kuna jamaa waliyekuwa wakiishi naye Marekani aliniambia ni mumewe ndiye aliyefanya mipango ili atimuliwe kutokana na tabia yake ya kugawa uroda ovyo.
Jamani Mwalimu wangu wa Hesabu(Algebra) ni kiwa Chuo Kikuu UDSM kawakosea nini tena?
Kwa nini mtu afikie hatua ya kujipachika udokta badala ya kusoma kwa bidiii ili atunukiwe PhD ya ukweli? hatuwezi kuunga mkono uchakachuaji huu. Ndio maana tunapata matatizo makubwa tunapoenda kimataifa. Unashangaa mtu ni Dk lakini hakuna kitu kichwani.
Kuna chizi mwingine nimeona baadhi ya watu wanampigia debe eti awe rais. Nasema kuna siku nchi hii itakuja kutawaliwa na chizi. Wallahi tena!