Madaktari feki ni wengi sana nchi hii, akiwemo huyo mama. Inabidi sasa tuanze kuanisha nani ni daktari wa ukweli na nani ni feki, hasa kwa wanasiasa wetu. Mtu anaweza kupata hata cheo kikubwa kwa kuaminiwa kuwa ni daktari wa ukweli kumbe hana lolote. Hii pia inachangia kwenye poor performance sehemu mbalimbali.