Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

Watu wa pwani bana! Yaani hakuna wawezacho ila ni MAJUNGU,UVIVU,UONGO,LAWAMA,KUOMBEA MABAYA WALIOFANIKIWA,UMBEA(Kwa hili huwezi tofautisha mwanaume na mwanamke)wote wapika majungu tu,They are more likely in personal attacks than addressing issues.Wanapenda kuishi kimatonyamatonya,wakiomba "FAVOURITISM"siyo kufight binafsi.Hapa hakuna hata wanaojiita wasomi nothing ni walewale.UTAMADUNI WA KIJINGA.Kuna mambo mengi ya kukaa na kuaddress kuhusu maisha yetu binafsi na nchi mpaka sasa sisi kama taifa tunajivunia KUUZA NCHI Tu.Nothing else.Fellow Tanzanians please change.UBAGUZI WONT TAKE YOU SOMEWHERE !
 
Watanzania wengi ukisema ukweli watakwambia ni uchochezi au majungu. Lakini lazima ifike wakati watu wajitambue. Huwezi kujiingiza kwenye bunge kubwa kama hilo la afrika mashariki wakati huna kitu cha kuchangia. Wanatuaibisha sana hawa watu. Na huu mtindo wa kujipachika udaktari upo Tanzania tu. Kwani ni lazima mtu uitwe daktari?
 
Sio watu wa pwani ni watanzania kwa ujumla wetu ndio tabia zetu ndio maana tunashindwa kuiendeleza nchi tumekalia majungu kuombeana mabaya nk kama ni mbegu ya kupanda basi kuwa mtanzania ni mbengu mbaya ya , wanaadam
 
Tatueti matatizo yenu na jamii zetu.Achanaeni na maisha binafsi ya watu hata ninyi mna maisha yenu yakiwekwa public ni afadhali ya hayo majungu mnayopiga
 
Sio watu wa pwani ni watanzania kwa ujumla wetu ndio tabia zetu ndio maana tunashindwa kuiendeleza nchi tumekalia majungu kuombeana mabaya nk kama ni mbegu ya kupanda basi kuwa mtanzania ni mbengu mbaya ya , wanaadam

Thanks mkuu.Ni mabadiliko tu ya Elimu yetu ndiyo yatakayotutoa hapa.Unaimpart knowledge na kumshape unavyotaka awe.BASI !
 
Mbona hata mgomvi wake ana Bipolar Disorder. Watakuwa wote wagonjwa wa akili.
Mbunge huyu wa Afrika Mashariki alifukuzwa Marekani na kuzuiwa kuingia nchini humo kwa miaka kumi +,pia inasemekana hayupo sawa kiakili.Anaye mfahamu vizuri atatueleza zaidi.
 
Kwa nini mtu afikie hatua ya kujipachika udokta badala ya kusoma kwa bidiii ili atunukiwe PhD ya ukweli? hatuwezi kuunga mkono uchakachuaji huu. Ndio maana tunapata matatizo makubwa tunapoenda kimataifa. Unashangaa mtu ni Dk lakini hakuna kitu kichwani.
 
hon.%20nderakin%20d.%20perpetua%20kessy.jpg

Mbunge huyu wa Afrika Mashariki alifukuzwa Marekani na kuzuiwa kuingia nchini humo kwa miaka kumi +,pia inasemekana hayupo sawa kiakili.Anaye mfahamu vizuri atatueleza zaidi.
============================

SOURCE: Guardian

Huyu mama namfahamu kiasi. ni ACTIVIST wa nguvu, na ana mawazo INDEPENDENT. nafamhamu amesoma Marekani na ameishi huko kwa muda mrefu, hizo taarifa za yeye kufukuzwa US tuliwahi kuzisikia wakati anafundisha hapa UDSM, na zilitumika nguvu nyingi sana kumuondoa hapa chuoni, kwa hoja kama hizo. tulisikia pia kwamba "kufukuzwa" kwake US ilikuwa ni njama za "mume" (boyfried?) wake, ambaye aliamua "kumshughulikia" baada ya kutokea kutoelewana kati yao. kwa hiyo natambua kwamba kuna watu wako nyuma ya hizo harakati za "kumshugulikia" mwalimu Ndera. kuondoka kwake hapa UDSM kuliendana na matukio ya kushangaza, kitu kinachonifanya niamini kwamba kuna watu wako nyuma ya hii kitu

Nimetoa machache ninayoyafahamu kuhusu Mwalimu Ndera, lakini lengo langu hasa ni kuomba watu wamtathimini mtu kutokana na yale wanayoyajua, kutokana na matendo yake mbele ya jamii. hii habari ya kuwa yeye ni kichaa au ana tatizo la akili, naamini ni sehemu ya propaganda dhidi yake. ni mwanamke mcheshi sana, sema tu ana mawazo yanayojitegemea, kitu ambacho wanaume wengi wasingependa mwanamke wa kiafrika awe hivyo.

nadhani watu bado wanamkumbuka alipokuwa anajitokeza katika vipindi vya TV kama mdau wa ELIMU. binafsi nilifaidika sana na mawasilisho yake na mawazo yake kuhusu aina ya Elimu inayofaa kwa Tanzania. Pole sana Mwalimu Ndera, usikate tamaa, songa mbele...ALUTA KONTINUA!!
 
Kwa kifupi ni kwamba ukoo wa Kessy wana akili sana nawajuwa vyema, muangalie hata James Mbatia ni Kessy pia.
Huyo Kessy ni dokta feki kama walivyo madokta wengi hapa Tanzania. Ni kweli yeye ni msomi wa Mathematics lakini sio kwa ngazi ya PhD, na ndio maana pale Mlimani walimshtukia na kumtimua. Lakini pia unapoongea naye utagundua kwamba akili yake haipo sawa sawa. Wanaosema ana faili pale Muhimbili inawezekana ni kweli kabisa.

Wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini alifukuzwa Marekani na kupigwa ban kuingia nchini humo tena. Ila kuna jamaa waliyekuwa wakiishi naye Marekani aliniambia ni mumewe ndiye aliyefanya mipango ili atimuliwe kutokana na tabia yake ya kugawa uroda ovyo.

Schizophrenic ????????????
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    5.9 KB · Views: 263
Upo sahihi kuhusu kutumika kwa nguvu nyingi kumuondoa huyo mama Udsm, lakini hakuna zaidi ya ukweli kwamba waligundua hakuwa na PhD! Hilo ndilo lililomuondoa Mlimani, na lilikuja baada ya wanafunzi aliokuwa anawafundisha kulalamika kwamba hawamuelewi. Afadhali abaki kuwa activist kwani hata siasa inaelekea kumshinda.
 
Kuna chizi mwingine nimeona baadhi ya watu wanampigia debe eti awe rais. Nasema kuna siku nchi hii itakuja kutawaliwa na chizi. Wallahi tena!
 
Kwa nini mtu afikie hatua ya kujipachika udokta badala ya kusoma kwa bidiii ili atunukiwe PhD ya ukweli? hatuwezi kuunga mkono uchakachuaji huu. Ndio maana tunapata matatizo makubwa tunapoenda kimataifa. Unashangaa mtu ni Dk lakini hakuna kitu kichwani.

cc: Professor wa kichina
 
Binadamu ni lazima tuwe makini sana ktk kuwasilisha matatizo yanayowahusu wengine, tusiwe washabiki wa kushangilia mabaya wansyotendewa wenzetu, ni rahisi sn mtu mmoja kuanzisha propaganda kuwa mtu fulani ni kichaa au mwendawazimu ilhali sio kweli na hadhira ikapokea suala lile ktk mtizamo chanya na kuamini kuwa mtu yule ana matatizo ya akili na ukachukuliwa hivyo na jamii. Wengi wanaoshabikia kuwa huyu mama ana matatizo ya akili naamini hawamjui zaidi ya ushabiki wa kipuuzi uliozoeleka, how come mtu mwenye matatizo ya akili awe mbunge? How come mitandao ya kijamii imwite kichaa ilhali viongozi wake wa bunge la EALA hawamuoni km ni kichaa? Tuongeze umakini ktk kushabikia vitu tusivyokuwa na uhakika navyo unless ipo siku tutaitwa kuvitolea ushahidi
 
Back
Top Bottom