Hizi dawa wanazipa promo sana lakini zina madhara makubwa. Kuna mdada ofisini alizaa mtoto wa kwanza hafu akaweka implant, kaitoa Ili azae wa mtoto pili, mwaka wa tatu sasa hajapata mimba. Baada ya miaka kadhaa matatizo ya uzazi Africa yatakua juu sana