iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 369
- 253
Nini kinachoendelea Gaza?
Kabla hujatoa maoni yako juu ya mgogoro huu ndani ya Israel na Gaza. Tafadhali sana jaribu kuangalia hoja hizi na kisha utafakari:
1. Gaza ilivamiwa na Israel mnamo mwaka 1967 na toka kipindi hicho Israel inaimiliki kinyume cha sharia nchi nzima ya Gaza na ukanda wake.
2. Gaza imezungukwa katika pande zake zote tatu na Israel ambao wameblock pande hizo zote tatu kwa kutumia jeshi lao la anga na jeshi la majini.
Upande wa ne ni border ya Egypt ambapo jeshi la Misri pamoja na majeshi ya Israeli na lile la wasimamizi wa UN na walinda amani wamefunga njia hizo na yeyote haruhusiwi kutoka ama kuingia ndani ya Gaza.
Gaza ni kama gereza kubwa sana ambapo hata ndege mdogo hana ruhusa ya kuweza kuingia humo bila ruhusa ya Israel .
3. Gaza haina kiwanja cha ndege,bandari ya majini au hata kituo cha treni.
4.Wakazi wa Gaza hawawezi kuondoka nchini mwao kwenda mahali popote kwa kuwa hawana passport . Pia kuna vituo vya ukaguzi vya Israeli kila mahali. Pili hakuna mtu yeyote toka nchi yeyote anayeweza kuingia Gaza pasipokuwa na kibali maalumu ama ruhusa toka kwa serikali ya Israel ambayo hata hivyo pia ni ngumu sana kupata ruhusa hiyo ama kibali , sahau kuhusu raia wa kawaida hata vile vile pia wanasiasa wenye nguvu kubwa na ushawishi toka nchi mbalimbali zenye nguvu huwa wanazuiwa kupewa ruhusa ya kuingia Gaza na waisrael. Gaza ni sehemu ambayo kiujumla imetenganishwa mbali sana na sehemu kubwa ya nchi zingine za dunia hii haya yamefanywa na israel.
5.Kila siku inayopita bidhaa zote zinazotumika kwa mahitaji ya watu wa Gaza ni lazima zipitie katika vituo vya ukaguzi vya Israel . Hata maziwa,ngano,madawa na bidhaa zote hupitishwa kwanza katika check point za Israel.Israel hutoza kodi kwa bidhaa zote hizi zinazopita katika vituo vyao vya ukaguzi kwenda Gaza .
6. Gaza ni kama gereza kubwa sana nchi nzima imetekwa na haipo huru. Hata ndani ya Gaza, Israel ina vituo kadhaa vya ukaguzi katika yale maeneo nyeti.Jeshi la Israeli huwanyanyasa na kuwazalilisha rai wa Gaza kila siku wanotaka kupita katika vituo hivyo vya ukaguzi.
7.Umoja wa Mataifa UN umewasihi mara kadhaa serikali ya Israel kuondoa vizingiti hivyo na mamlaka yake ndani ya Gaza Israel imekuwa kama sikio la kufa haisikii .
Zaidi ya maazimio 50 yamepitishwa na UN dhidi ya Israel lakini wana na jeuri hasa kwa kuwa USA daima huwa upande wao hivyo Israel hawajali wala kusikiliza.
8. Vyakula na mahitaji muhimu daima huwa haba kutokana na uingizwaji wa kiwango kidogo mjini Gaza kwa kuwa Israel huchelewesha kwa makusudi, wanahujumu na kuzuia uingizwaji wa bidhaa hizo Gaza. Maduka hayana bidhaa,hospitali hazina madawa muhimu .
Nishati ya umeme ipo kwa uchache sana bidhaa kama petrol na gesi upatikanaji wake pia ni mgumu sana pia . Kiwango cha mfumuko wa bei ni kikubwa kuliko mahala popote duniani kutokana na vitendo vya Israel.Umasikini nao umezidi kuinuka kupita maelezo. Watoto wa Gaza kwa sasa nao wamo katikaorodha ya watoto wanogua utapiamlo kwa kiwango kikubwa duniani.
9.Hakuna madaktari maalumu au vifaa muhimu vya kutibia majeraha makubwa au hata madawa katika hospital nyingi.Wakati huo kila saa inayopita jeshi la Israeli hurusha makombora kuelekea Gaza na raia wasio na hatia hupata majereha na kuumizwa vibaya na mabomu hayo.Raia hawa waliojeruhiwa vibaya huomba na kulia kwenye vituo vya ukaguzi vya israel japo askari wa Israel wawaruhusu watoke nje kwenda kupata matibabu bila mafanikio kwani jeshi la Israeli huwakatalia. Hivyo majeraha haya amabayo yangeweza kutibika hushindwa kupata tiba na matokeo yake hugeuka sugu na baadaye kuwa ni ulemavu wanaoishi nao maisha yao yote.
10.Jamii hii ya Gaza ambayo hapo nyuma ilikuwa yenye hali nzuri kimaisha na utajiri kwa sasa imegeuka na kuwa omba omba na wafungwa ndani ya nchi yao wenyewe .Unaweza kuhisi maumivu ya miili yao,ukandamizaji,udhalilishaji,maumivu ya mioyo ya watu hawa waliovamiwa na kufanywa watumwa na wafungwa ndani ya nchi yao ?
Wamepigania uhuru wao zaidi ya miaka karibia 50 sasa .Kila siku inayopita Israel inajenga makazi mapya kwa raia wake katika ardhi ya Gaza. Kila siku inavyopita matumaini yao ya uhuru,kila siku matumaini yao ya kuishi maisha mazuri kama binadamu ya kawida yanazidi kupotea. Kila usiku unavyofika wanakwenda kulala wakiwa na maumivu na kila asabuhi wanapoamka huamka na majonzi.
Kuelekea mazungumzo ya kutafuta amani, Israel haipo tayari inataka kuchelewesha uhuru wao ili kuzidi kuchukua ardhi yao zaidi kila siku kwa kujenga makazi mapya na nyumba za waisrael.Wapalestina wanalijua hili na wamebaki kutazama tu pasipo msaada. Ni kama mfano wa mwanambuzi anayebaki kutazama tu watoto wake wakiwa wanaliwa na simba lakini hana uwezo wa kuwatetea.Wanatoa machozi ya damu .Huku Israel wakiwa wanawatesa,wanawalaani,wanawadhalilisha,wanawaumiza,kuwanyia dhihaka na kuwaua,tena katika ardhi yao,wapalestina hawana cha kufanya zaidi ya kuwatazama tu na kulia.
Nini unachoweza kusema kwa sasa? Vyombo vya habari vya magharibi vimelipwa na kutengeneza habari ambazo zinaweza kuonyesha dunia kama vile wakazi wa Gaza ndio ambao wamevamia ardhi ya israel na hivyo basi Israel wanapigania uhuru wao toka kwenye uvamizi wa Gaza!!