Ukweli juu ya herufi ""A-Z""

Ukweli juu ya herufi ""A-Z""

King Alfa

Member
Joined
Apr 14, 2019
Posts
10
Reaction score
4
Hivi ni nani aliyegundua herufi A-Z?? wapi aligundua? Vigezo vipi alivyotumia?? Au zilikuwepo naturally?? Ideas please...
 
A-Z herufi zote zinaitwa Alphabet. Ni maneno ya Kigiriki ambapo ndipo maandishi yalianzia (kwa upande wa Ulaya -maana inasemekana Wachina wamekuwa wanajua kuandika kwa zaidi ya miaka elfiu kadhaa). Alpha ndio herufi ya kwanza (ambayo kwa Kiarabu inaitwa Alif). Za Kiigiriki zinaendelea beta=b, theta =c na kadhalika na herufi ya mwisho ni Omega. Kwenye Kiarabu nazo herufi zinafanana na hizo kwa kiasi fulani. Sijui Kiarabu lakini najua kuna Alif, bee tee thee n.k. Wataalamu wa lugha hiyo wanaweza kueleza zaidi
 
Akija mwenye jibu la kueleweka mniite jamani nipate hii elimu ya buree.

Maana hata mwlimu wangu nilishaga muuliza hakuwaga na jibu la kueleweka.
 
Chimbuko la kiswahili ilikuwa shida kuelewa. Hii ya herufi itakuwa balaa
 
Alphabet hizi tunazotumia hii leo ugunduzi wake ulianzia huko Misri (Egypt) mnamo miaka ya 1900 - 1800 BC
 
haya mambo mengine jamani mwisho wa siku mtakuja kuuliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe
 
A-Z herufi zote zinaitwa Alphabet. Ni maneno ya Kigiriki ambapo ndipo maandishi yalianzia (kwa upande wa Ulaya -maana inasemekana Wachina wamekuwa wanajua kuandika kwa zaidi ya miaka elfiu kadhaa). Alpha ndio herufi ya kwanza (ambayo kwa Kiarabu inaitwa Alif). Za Kiigiriki zinaendelea beta=b, theta =c na kadhalika na herufi ya mwisho ni Omega. Kwenye Kiarabu nazo herufi zinafanana na hizo kwa kiasi fulani. Sijui Kiarabu lakini najua kuna Alif, bee tee thee n.k. Wataalamu wa lugha hiyo wanaweza kueleza zaidi

"Alphabet" ni Kiarabu.
Alph = Alif
Be = Be
T = Te

Alif, Be, Te. Ndipo lilipotokea neno "alphabet".
 
"Alphabet" ni Kiarabu.
Alph = Alif
Be = Be
T = Te

Alif, Be, Te. Ndipo lilipotokea neno "alphabet".
Ah naona shangazi umelazimisha neno 'ALPHABET' lionekane asili yake ni kiarabu kwa kujaribu kuunga unga hili umkosoe huyo bwana aliyekuwa upande wa wagiriki lakini inaonekana kwa kiasi fulani yeye kidogo ndio maana inaweza kuja..

ALPHA~A
BET-B
.....
 
herufi hizo zilianza kutumika baada ya kuanzishwa kampuni ya A to Z huko jijini Arusha-Kisongo mnamo mwaka 982 BC

Kama huna jibu bora ukae kimya uwaache wenye kujua. Kama kusema ni dhahabu basi kukaa kimya ni lulu.
 
"Alphabet" ni Kiarabu.
Alph = Alif
Be = Be
T = Te

Alif, Be, Te. Ndipo lilipotokea neno "alphabet".

Assalam aleykum auntie Faiza.

Nami leo nimepata elimu, shukrani dada.

Lakini ninalojambo moja ningependa kujua, je kwa kiarabu herufi; ب na ت zinatamkwa, "Be" na "Te", respectively au zinatamkwa "Ba" na "Ta", kwa sababu katika kiarabu hakuna herufi ya kivokali inayotamkwa "e", zilizopo ni (a,i,u ) tu.
 
Ahahaha...anti somo linahtajika hapoo andaa time eti..!
 
Kuna wajanja walitangulia huku duniani,wametuanzishia mambo kibao ambayo mpaka leo tunayaabudu na hatuwezi kuyaondoa...
 
Back
Top Bottom