Ashki Majununi
Member
- Nov 27, 2014
- 73
- 21
Ndio nini hiki ulichokiandika sasa yaani wewe kila neno unaanza na herufi kubwa au ndio masharti ya Lumumba hayo???Akiwa Kama Waziri Wa Wizara Hiyo Majukumu Yake Ni Yapi? Anatakiwa Kusimamia na Kutekeleza au Kubuni? Jaribu Kutumia Hata Akili Kidogo Tu Kuliko Kulalamika Wewe Mama. Huoni Kama Mgao Wa Umeme Umepungua? Huoni Kama Umeme Umefika Vijijini Kwa Wingi Na Kwa Muda Mfupi. Kwenye Mambo Ya Msingi Achana na Siasa Za Maji Taka Zisizokuwa Na Tija. Ndo Nyie Msiolitakia Mema Hili Taifa.
Angalia Sana We Mama(Salary Slip)
Naona kama Ngeleja anasafishwa hapa! Si nae mwakan anakuja na ndoto zake au?
Hivi katika matajiri wa nchi hii Menginyupo hata kwenye kumi bora? Yeye utajiri wake labda ni wa kubadilisha wanawake tuMengi yule mzee aliyetaka apewe gesi ya bure iti kisa yeye ni tajiri hapa nchini.
wazazi wako wamefanya kosa kubwa sana kukutoa mirembe kabla hujapona sisi hatuwezi kukubali kutumia na ccm kama toilet paper kama unavyotumiwa weweNikumbushe mengi anawalipa kiasi gani kumpakzia uongo muhongo?
Kwa bahati nzuri Prof Muhongo hahongeki. Itakuwa shughuli pevu kwa MengiMengi pole sana muhongo namba nyingine hawezekaniki yeye ni mtu wa kazi wewe majungu.
kama analivyombadilisha dada yakoHivi katika matajiri wa nchi hii Menginyupo hata kwenye kumi bora? Yeye utajiri wake labda ni wa kubadilisha wanawake tu
Mkuu Kill 3, nenda kwenye hoja bana. Hiyo haikusaidiiwazazi wako wamefanya kosa kubwa sana kukutoa mirembe kabla hujapona sisi hatuwezi kukubali kutumia na ccm kama toilet paper kama unavyotumiwa wewe
hata sisi tunajua wezi na waongo kama Muhongo lazima wawe na wapambe kama wewe JK asipofukuza Muhongo ntatembea uchi mpaka Ikulu.Kwa bahati nzuri Prof Muhongo hahongeki. Itakuwa shughuli pevu kwa Mengi
Kwani mmiliki wa Nipashe ni nani?
Kwa bahati mbaya sina dada. Na kama ningekuwa na dada nisingemwacha anatembea na zee lililokosa busarakama analivyombadilisha dada yako
lazima wagonjwa wa akili tuwasemeMkuu Kill 3, nenda kwenye hoja bana. Hiyo haikusaidii
kama zee mpe mke wako kwa dakika tanoKwa bahati mbaya sina dada. Na kama ningekuwa na dada nisingemwacha anatembea na zee lililokosa busara
Fuatilia kwenye mamlaka husika utajulishwa kinachoendelea. By the way nimetoka jana Dodoma na sijaexperience tatizo hilo labda wakati ule mitambo ya pale Mtera ilivyoharibikaHapa Dodoma mgawo mkali wa umeme usio rasmi unaendelea hakyanani tena!
Ni Reginald Abraham Mengi
Nipashe hawawezi kwenda kinyume na bosi wao. Hakika Mengi anatumia kila aina ya silaha aliyonayo kupambana na Prof Muhongo
Hiyo si kazi yangukama zee mpe mke wako kwa dakika tano