kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Sep 13, 2013 #1 Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani? Attachments ukuti.jpg 41.4 KB · Views: 458
Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani?
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Sep 13, 2013 #2 Watoto wangu wanapenda sana hii kitu nahisi na hivi wako likizo watakuwa wanacheza sana.
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Sep 13, 2013 #3 kakuruvi said: Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani? Click to expand... siku hizi watoto wanacheza PS, PSP, PSVita, leapstar/frog....... cc. Young Master, @c6
kakuruvi said: Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani? Click to expand... siku hizi watoto wanacheza PS, PSP, PSVita, leapstar/frog....... cc. Young Master, @c6
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Sep 13, 2013 #4 Za Mr, Naisi hizi kakuruvi said: Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani? Click to expand...
Za Mr, Naisi hizi kakuruvi said: Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani? Click to expand...
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 13, 2013 #6 Kuna moja mnaeka duara kama hiyo then anaingia mmoja mmoja kuonesha maringo yake hahahahahhAh utoto raha sana
Kuna moja mnaeka duara kama hiyo then anaingia mmoja mmoja kuonesha maringo yake hahahahahhAh utoto raha sana
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Sep 13, 2013 #7 kakuruvi said: Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani? Click to expand... Fixed Point said: siku hizi watoto wanacheza PS, PSP, PSVita, leapstar/frog....... cc. Young Master, @c6 Click to expand...
kakuruvi said: Hii sikuhizi hasa mjini haipo sana kwani watoto wanaangalia isidingo, je wewe ulishacheza hii wakati wa usiku mbaramwezi ikiwa kubwa angani? Click to expand... Fixed Point said: siku hizi watoto wanacheza PS, PSP, PSVita, leapstar/frog....... cc. Young Master, @c6 Click to expand...
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,824 Reaction score 23,626 Sep 14, 2013 #8 Inawezekana ukuti, inawezekana ringaringa rozy
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Sep 14, 2013 #9 Si kila cha zamani ni kibaya, tukienjoy kweli!