We ni kama tomasoMimi bado siamini kama UKUTA upo
Subiri tar 31 uone[emoji12] [emoji12] [emoji36] [emoji36] tunachoshana tu na maneno ila ukiingia street vijana,wazee,na wengine wanafikiria mambo mengine tofauti
Kabisa mkuuWe ni kama tomaso
Atajuta kuwachezea Chadema! Mbinu mwanzo mwisho. Mimi nawskarobisha kwenye mkesha huko Makete. Tutachinja mbuzi 20 na Ng'ombe wawili kwaajili ya supu na nyama choma.Kikicha wakute Barbara zote tumejaaa.Mnazidi kumchosha bob mjue...jeshi la mtu mmoja
HahhahahaaaaAtajuta kuwachezea Chadema! Mbinu mwanzo mwisho. Mimi nawskarobisha kwenye mkesha huko Makete. Tutachinja mbuzi 20 na Ng'ombe wawili kwaajili ya supu na nyama choma.Kikicha wakute Barbara zote tumejaaa.
Ntaendelea kuwapa mikakati zaidi kuhusu ukuta. Wasanii watakuwepo kutumbuiza kwanyimbo mbali mbali za amass kwenye mikesha hiyo inayaoendelea kuratibiwa nchi nzimaAtajuta kuwachezea Chadema! Mbinu mwanzo mwisho. Mimi nawskarobisha kwenye mkesha huko Makete. Tutachinja mbuzi 20 na Ng'ombe wawili kwaajili ya supu na nyama choma.Kikicha wakute Barbara zote tumejaaa.
Dreams can come true...! Make it happenhuo mkesha ni kama pasaka vile nataman niende dar kushirik nipo dodoma huku mtoto mchanga anazaliwa anaijua ccm
Dah! Lugha hizi!.......viwanja vitatu jangwani , mwembeyanga na Tanganyika pekazi.
Hawana kazi nyingine ni huo mkesha utakuwa wa kunywa viroba vya bure na kuporomosha matusi kwa watanzania waliojipumzikia majumbani.Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar