wapi sukari inauzwa elfu 5? Siasa za uwongo mwisho 2015. Maisha yanakuwa magumu kama hufanyi kazi unawaza tu kuandamana.anawalinda wanyonge kivipi? wakati maisha kila siku yanazi kupanda bei na kilo moja ya sukari inauzwa hadi sh. 5000
ww usije ukadhani kwasababu wewe upo mjini ukadhani kila kitu ni rahisi.wapi sukari inauzwa elfu 5? Siasa za uwongo mwisho 2015. Maisha yanakuwa magumu kama hufanyi kazi unawaza tu kuandamana.
nimekuuliza wapi? Hujajibu umekuja tena na wimbo wa milion 1. Agiza kiroba kingine nitalipa.ww usije ukadhani kwasababu wewe upo mjini ukadhani kila kitu ni rahisi.
hii nchi kuna sehemu watu wanahaingaika sana. na unaweza ukajua labda sio tanzania.
na kuhusu swala la kufanya kazi na unavyo ona maendeleo yote tanzania yameletwa na watanzania kwa kufanya kazi. na serikali hamna kitu ilicho tusaidia zaidi zaidi imetuongezea tu madeni kila mtanzania saizi anadaiwa sh. mil 1 na kila siku deni linazidi kupanda na haelewi hiyo hela alikopa vipi. na atalilipa vipi.
unajua kwasababu wewe unakunywa viroba unajua kila mtu anakunywa.nimekuuliza wapi? Hujajibu umekuja tena na wimbo wa milion 1. Agiza kiroba kingine nitalipa.
unapoteza nguvu na muda wako kwa kujitekenya na kucheka mwenyewe.Naum Wana JF
Kwanza ninapongeza hatua za Rais JPM(PhD) za kuleta mabadiliko ya kweli kiuchumi,kijamii na kiutendaji serikalini ambayo kwa kiwango kikubwa wananch wanafurahia na kushiriki keki ya taifa. Tunakusihi kamwe usigeuke jiwe!...Tunashuhudia jinsi ujenzi wa miundombinu kadhaa ikiendelea kubadili taswira ya nchi yetu na zaidi umedhihirisha wewe ni raisi wa watu wote. Umekuwa nembo ya umoja,amani,uhuru na demokrasia ambapo tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakikukebehi pasipo na kudhurika kama ilivyo kwa nchi za kifashisti. Tumeshuhudia jinsi Mahakama na Bunge vikifanya kazi zake kwa uhuru na weledi...na zaidi uanzishwaji wa Mahakama ya mafisadi na uamuzi wa utekelezwaji wa serikali kuhamia Dodoma.
Kwa upande mwingine wa shilingi...wajenzi wa ukuta wamegeuka kama walivyokuwa wajenzi wa mnara wa babeli....hawaelewani,wamesambaratika na kutapatapa!
-Kinara wa ukuta katokomea,hajulikani alipo kwa sasa...amekasimu madaraka kwa kiaongozi mdogo ambaye kimsingo siye msemaji wa ukuta. Hadi sasa hatuna uhakika kama yupo nchini au ughaibuni japo kuna habari kuwa yupo ng'ambo!
-Tunashangaa sasa waliotaka kushiriki ukuta wanamtumia Kingunge kutenegezeza mazingira ya mazungumzo. Badala ya Kingunge kuwaambia waache upuuzi wa ukuta yeye anakimbilia kulia lia kwa Maraisi wastaafu wamshauri Raisi azungumze na watu ambao wameapa wataandamana kumkomesha Raisi sababu ni 'dikteta'
- Zaidi tumeshangazwa na wabunge wa ukuta wamejaa Dododoma na wamethibitika kula posho kuanzia tar.22 Ogasti...na taarifa za kuaminika ni kuwa hawakosi kamati, wanahudhuria bila kukosa ili kupata fedha kuziba mashimo yaliyotokana na kumkimbia Naibu spika...!
-Imethbitika pasipo shaka ukuta hauna Baraka za wananchi...! hili halihitaji ubishi zaidi wananchi wanafikiri ukuta ni chama kipya cha siasa!
-Kibaya zaidi wasadikika wa ukuta hawajui linaloendelea
Sasa kijana Lowassa,Mbowe na Kingunge wanaanzisha maandamano halafu wanamtuma Kingunge kushawishi mazungumzo...kwanini Kungunge asiwaambie chadema waachane na ukuta?...funguka dogo!unapoteza nguvu na muda wako kwa kujitekenya na kucheka mwenyewe.
UBARIKIWE SANANaum Wana JF
Kwanza ninapongeza hatua za Rais JPM(PhD) za kuleta mabadiliko ya kweli kiuchumi,kijamii na kiutendaji serikalini ambayo kwa kiwango kikubwa wananch wanafurahia na kushiriki keki ya taifa. Tunakusihi kamwe usigeuke jiwe!...Tunashuhudia jinsi ujenzi wa miundombinu kadhaa ikiendelea kubadili taswira ya nchi yetu na zaidi umedhihirisha wewe ni raisi wa watu wote. Umekuwa nembo ya umoja,amani,uhuru na demokrasia ambapo tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakikukebehi pasipo na kudhurika kama ilivyo kwa nchi za kifashisti. Tumeshuhudia jinsi Mahakama na Bunge vikifanya kazi zake kwa uhuru na weledi...na zaidi uanzishwaji wa Mahakama ya mafisadi na uamuzi wa utekelezwaji wa serikali kuhamia Dodoma.
Kwa upande mwingine wa shilingi...wajenzi wa ukuta wamegeuka kama walivyokuwa wajenzi wa mnara wa babeli....hawaelewani,wamesambaratika na kutapatapa!
-Kinara wa ukuta katokomea,hajulikani alipo kwa sasa...amekasimu madaraka kwa kiaongozi mdogo ambaye kimsingo siye msemaji wa ukuta. Hadi sasa hatuna uhakika kama yupo nchini au ughaibuni japo kuna habari kuwa yupo ng'ambo!
-Tunashangaa sasa waliotaka kushiriki ukuta wanamtumia Kingunge kutenegezeza mazingira ya mazungumzo. Badala ya Kingunge kuwaambia waache upuuzi wa ukuta yeye anakimbilia kulia lia kwa Maraisi wastaafu wamshauri Raisi azungumze na watu ambao wameapa wataandamana kumkomesha Raisi sababu ni 'dikteta'
- Zaidi tumeshangazwa na wabunge wa ukuta wamejaa Dododoma na wamethibitika kula posho kuanzia tar.22 Ogasti...na taarifa za kuaminika ni kuwa hawakosi kamati, wanahudhuria bila kukosa ili kupata fedha kuziba mashimo yaliyotokana na kumkimbia Naibu spika...!
-Imethbitika pasipo shaka ukuta hauna Baraka za wananchi...! hili halihitaji ubishi zaidi wananchi wanafikiri ukuta ni chama kipya cha siasa!
-Kibaya zaidi wasadikika wa ukuta hawajui linaloendelea
Sasa kijana Lowassa,Mbowe na Kingunge wanaanzisha maandamano halafu wanamtuma Kingunge kushawishi mazungumzo...kwanini Kungunge asiwaambie chadema waachane na ukuta?...funguka dogo!
Wewe unataka kuhalalisha ubovu kwa sababu tu mpinzani wako ana mapungufu ?! What a shame ?!You can't be serious!!!! "Demokrasia halisi..." Ipiganiwe na chadema!!!!
Si chadema hii inayokataza mwanachama wake kwenda mahakamani endapo anaona hajatendewa haki na chama chake!!! Si chadema nyinyi msiokuwa na ukomo wa mihula kwenye nafasi ya mwenyekiti!?? Si chadema nyinyi mnaopitisha wagombea urais wa mfukoni badala ya kufuata katiba yenu kumpitisha mgombea kihalali!!?!
Demokrasia gani mna exercise nyinyi wanafiki na waleta fujo!!??
Anyway, tunasubiri kuona nyumbu kadhaa watakaojitokeza kutumika kama toilet paper siku ya tarehe 1 wavunjwe miguu then watelekezwe na chama!!
Sihalalishi, ila nataka muanze na "boriti* lililomachoni mwenu kuliko kukomaa na *kibanzi* kwenye jicho la jirani! Muonyeshe mfano kuwa mnayoyapigania mnayaishi, msiishi kunafikiWewe unataka kuhalalisha ubovu kwa sababu tu mpinzani wako ana mapungufu ?! What a shame ?!
Ni kuwatisha wale vichwa ngumu watakaokunywa gongo na kuvuta bangi ili wapate ujasiri siku hiyo.Sasa haya mazoezi ya kivita mnafanya ya nini kama hakuna waandamaji
mwambie atupe na majibu ya raia 50 kule bukoba, manake wako kimya, mnajiandaa kutwanga watu ambao hawana hata njiti ya kiberiti, jipe moyoWanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA