Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
poleni sana haya ndo matokeo ya maambo ya ajabu ajabu ............Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mkuu hata huyu mzee alijaribu kutabiri ila sijui hivi sasa ni waziri wa nini?Isanga, kumbe humu unakuwa against na serikali ili CDM wakuajiri kama red briged. Naandika nilichoshuhudia kisayansi si kutoa maneno kama kasuku tu
utampa presha mleta mada"Tunachohitaji sio wingi wa watu bali watu wenye moyo na maendeleo." Source: Kijiji Chetu.
By the way, kila penye vijana 10, 8 hawapo tayari... assuming 2 wapo tayari! Hiyo ni 20%. Ikiwa mji una vijana 50K, 20% yake ni 10,000 wanaodhania kuwa tayari kuingia mtaani! Hiyo idadi bila shaka inazidi idadi ya polisi wote nchi nzima!!!
Mimi naona polisi ndio sasa wanafanya maandamano ya UKUTA badala ya wananchi bila kujijua, na tena wameanza mapema zaidi hata kabla ya tarehe yenyewe.Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Jibu la kisayansi kabisa hilo. Akajipange upya"Tunachohitaji sio wingi wa watu bali watu wenye moyo na maendeleo." Source: Kijiji Chetu.
By the way, kila penye vijana 10, 8 hawapo tayari... assuming 2 wapo tayari! Hiyo ni 20%. Ikiwa mji una vijana 50K, 20% yake ni 10,000 wanaodhaniwa kuwa tayari kkwa UKUTA! Hiyo idadi bila shaka inazidi idadi ya polisi wote nchi nzima na kwahiyo mnatakiwa kuhofia hata kama ni vijana 9 kati ya 10 hawapo tayari bado collection ya jeshi la kijana mmoja toka kila walipo vijana 10 sio jeshi dogo! Mbaya zaidi, huyo mmoja anakuwa tayari kwa lolote!
Watu hawana kazi wewe unadai wameshindwa maisha!!?CHADEMA kilichakufa tayari. Wanataka kutumia vijana walioshindwa maisha kuandamana.
Lakini hiyo demo ni salam hata kwa nchi jirani wajue TZ sio nchi ya mchezo.