shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,913
Aliyetusaliti nani mkuuTumeshasalitiwa wakuu
Huoni watu wanatafuta suluhu kwa mlango wa nyuma?
Aliyetusaliti nani mkuuTumeshasalitiwa wakuu
🤣🤣Kyela - Ratiba kamili kutolewa j4 , japo kuna tetesi kwamba kituo kikuu cha maandamano kitakuwa NJIA PANDA NKUYU kwa wanaotoka ipinda , usale na boda , wanaotokea Ngonga , bujonde , kajunjumele na wale wote wa kandokando ya ziwa nyasa tutaanzia ipyana darajani , mkutano mkubwa unatarajiwa kufanyika uwanja wa mwakangale , Mungu ibariki Kyela .