DOTTOJAY
JF-Expert Member
- Sep 12, 2010
- 207
- 124
Najiuliza hawa wanaosema utawala wa Magufuli ni wa kimabavu, je vipi kuhusu Mbowe na CHADEMA yake? Kiongozi asiyetaka kuachia uenyekiti miaka nenda rudi yupo pale pale.
Mtu akijitokeza kugombea anaundiwa skendo,sasa nani dikteta? Hiyo UKUTA ianzie kwao. Udikteta wa Magufuli uko wapi labda mtuambie na sisi tujue. Tunahitaji kiongozi mwenye msimamo na mwenye kufanya maamuzi magumu na kusimamia sheria. Wanasiasa tumuunge mkono rais kuijenga hii nchi. Muweke tofauti zenu pembeni, uchaguzi ulishapita.