Hahahaaa polisi watahangaika miezi sita mfululizo mpaka wasahau familia zao,tena ilibidi kila wilaya iweke tarehe yake.
Siku ya kwanza wanaweza kuvaa beji nyeusi au kitambaa cheusi mahali popote walipo,siku ya pili wakafunga midomo kwa plasta
N.;B :
Haya wafanye wakiwa wanaendelea na shughuli zao wakiwa wanaisubiri siku kuu yenyewe