UKUTA: CHADEMA Rukwa kufanya mikutano 449

UKUTA: CHADEMA Rukwa kufanya mikutano 449

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,072
Reaction score
134,443
Chadema mkoa wa Rukwa wamesisitiza kwa kutoa tamko zito la kuungana na Kamati Kuu kwa kutekeleza maandamano na kufanya mikutano ya amani mkoani humo. Mwenyekiti wa Chadema amesema kuwa operesheni ukuta itapiga mikutano 449 siku ya Septemba 1.Mwenyekiti amewaomba wanachama na watanzania wote waliotelekezwa na CCM kujitokeza kwa amani.Naye katibu amesema hamasa ni kubwa sana mkoani humo.Amesema pia kuwa mikutano itakuwa katika namna zote,kwa mikutano mikubwa,ya kijiji kwa kijiji au hata penye watu watano watafanya mikutano
 
Ruzuku za hazijulikani zinatumika vp,chama hakina ofisi kwa miaka zaidi ya 20 sasa ,mi nadhan mngefanya maandamano ya kufanya harambee ili mpate hela za kijenga ofisi zenu kwanza.
 
Kila ra heri
Rukwa nimeona mnaheshimu watu hata wawili wana haki ya kupinga udikteta uchwara
 
Naomba watakao shikishwa UKUTA
Siku hiyo wasipewe Tiba ktk hospitari za Serikali
Maana huu ni upumbavu.
Vijana wanafanya vitu kwa shinikizo la Viroba na kufuata mkumbo.
 
Mnataka mmuuue kwa presure Baba Jesca
Kweli akili nywele kila mtu nazake
Auliwe na Wanywa viroba kweli
Mtu kisha sema amesha ua nyoka
Umebaki mkia ukicheza tu.

Mnawashangiria mjipange kuwaonea huruma
 
Maandalizi yote mikoa yote yanakaribia kukamilika .Hakuna kurudi nyuma tena tukutane 01.09.2016 Operesheni #UKUTA
 
Chadema mkoa wa Rukwa wamesisitiza kwa kutoa tamko zito la kuungana na Kamati Kuu kwa kutekeleza maandamano na kufanya mikutano ya amani mkoani humo. Mwenyekiti wa Chadema amesema kuwa operesheni ukuta itapiga mikutano 449 siku ya Septemba 1.Mwenyekiti amewaomba wanachama na watanzania wote waliotelekezwa na CCM kujitokeza kwa amani.Naye katibu amesema hamasa ni kubwa sana mkoani humo.Amesema pia kuwa mikutano itakuwa katika namna zote,kwa mikutano mikubwa,ya kijiji kwa kijiji au hata penye watu watano watafanya mikutano
Nasubiri baada ya 8/8 msajili atoe presi Mupyaa
 
Polisi mkoa mzima hawafiki 300, sasa labda wqlipue nyuklia mkoa mzima
 
UKUTA,hii ni kwa mujibu wa taarifa channel ten,he busara ni kuwapiga au kuwaambià wakutane kwa amani wasivunje sheria? Mkoa mmojà mikutano 491...
Nchi Nzima?
 
Back
Top Bottom